Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

we are waiting for the updates of the names, please once you get them let jf be informed immediately
 
Kesho wanachama wa CCM wataandamana nchi nzima kumpongeza JK kwa baraza zuri la Mawaziri
 
Makunga amezungumzia changamoto za CCM kutimiza ahadi na ilani yake, na kuwa na uchumi imara.
 
Ebwana kumbe jf tunaipenda nchi na tuko nyuma ya viongozi wetu hata kama tunatofautiana kimaono, good tanzanians
 
Asante Baba-Enock, huwezi amini jinsi ninavyoipenda hii kazi ya uandishi, ni njaa tuu ndio imenikimbiza, na kwa vile naelekea kuwa fiti, nitarudi kuifanya kwa mapenzi tuu, bila kutegemea hata senti moja kwenye fani hii.

Pasco, you are one of the best journalists I know, but ndio vile tena kwenye nchi yetu hiyo industry hailipi unless uwe kanjanja na ukubali kulamba viatu vya mafisadi, lakini hongera kwa kufanya kazi nzuri kwenye mazingira magumu ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom