Dr Bashiru,Prof Manya na wabunge wa kuteuliwa kupewa ubalozi kupisha uteuzi wa baraza mawaziri

Skyway

JF-Expert Member
May 19, 2019
274
299
Mjadala wa wabunge Dodoma ni mkali na hakuna jinsi Rais atafanya haya
1, kuvunja Baraza la mawaziri au
2: kufanya mabadiliko ya baraza wizara ya FEDHA kutokana na majibu ya kiburi ya waziri wa fedha kwa wabunge, WIZARA UCHUKUZI kashfa ya SGR na RIBA wakandarasi Tanroad
 
Ubaya wa serikali ya tanzania ni kwamba,
Siyo rais aliyewaweka wateule wake bali ni wateule wamemweka rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala wa wabunge Dodoma ni mkali na hakuna jinsi Rais atafanya haya
1, kuvunja Baraza la mawaziri au
2: kufanya mabadiliko ya baraza wizara ya FEDHA kutokana na majibu ya kiburi ya waziri wa fedha kwa wabunge, WIZARA UCHUKUZI kashfa ya SGR na RIBA wakandarasi Tanroad
Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao wewe unalalamika.
 
Mjadala wa wabunge Dodoma ni mkali na hakuna jinsi Rais atafanya haya
1, kuvunja Baraza la mawaziri au
2: kufanya mabadiliko ya baraza wizara ya FEDHA kutokana na majibu ya kiburi ya waziri wa fedha kwa wabunge, WIZARA UCHUKUZI kashfa ya SGR na RIBA wakandarasi Tanroad
Watakaoondoshwa washtakiwe, wafungwe na kufilisiwa mali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bado manya ni mbunge wa kuteuliwa? Nilidhani alitenguliwa alivyotolewa wizara ya madini kipindi kile

Ila huyu jamaa ni kauzu kweli, Kuna siku anatupiga pindi pale udsm Kuna kadada akakauliza swali kakawa kanarembua rembua jamaa akakachana " acha kunirembulia rembulia mi nna mke mzuri nyumbani na sitakagi mazoea na vitoto vidogo"
 
Mjadala wa wabunge Dodoma ni mkali na hakuna jinsi Rais atafanya haya
1, kuvunja Baraza la mawaziri au
2: kufanya mabadiliko ya baraza wizara ya FEDHA kutokana na majibu ya kiburi ya waziri wa fedha kwa wabunge, WIZARA UCHUKUZI kashfa ya SGR na RIBA wakandarasi Tanroad
Utashangaa hakuna kati atakayofanya kati ya hayo. Hii ndio tanzania nalo litapita halafu muda wa kuprint tshirt na kulipa wasanii umekaribia na mambo yataendelea kama kawaida. Bunge la 2026 tutapitisha malipo ya wajukuu na watoto wa viongozi
 
IMG_20231106_061026.jpg
 
Hivi bado manya ni mbunge wa kuteuliwa? Nilidhani alitenguliwa alivyotolewa wizara ya madini kipindi kile

Ila huyu jamaa ni kauzu kweli, Kuna siku anatupiga pindi pale udsm Kuna kadada akakauliza swali kakawa kanarembua rembua jamaa akakachana " acha kunirembulia rembulia mi nna mke mzuri nyumbani na sitakagi mazoea na vitoto vidogo"
Ahahahahah sisi walimu wa vyuo tuna mtihani mkubwa sana!

Huku St. Augustine Kuna Pini za hatari sana, sema vijana hatuangalii vishundu Wala nini sisi ni kazi tu kufundisha watoto Ili Taifa letu like na watu wenye uwezo..kikubwa ni kumsaidia Mhe. Rais wetu Daktari Samia S. Hasan
 
Nchi imeoza kwa kuweka makada kwenye mambo nyeti ya serikali
 
Back
Top Bottom