Thubutu warudi wapi wameshahau hata jinsi ya kufundisha
Acha kufundisha, kufanya research si unajua tena publish or Perish sanasana wanaweza wakaenda sabbatical kwanza, wakitoa uvivu, kufundisha kazi bwana
Thubutu warudi wapi wameshahau hata jinsi ya kufundisha
Kadogoo wangeliweka waislamu 32 wakristo 17 ungelisikia humu wangelikuja watu kuanza kudai eti Kikwete mdini hili hawalioni ujinga mtupu!! Kuna thread moja imeanzishwa jukwaa la siasa nayo inahoji kwanini waislamu makamu, waziri wa fedha na ulinzi sasa nini hii!!! Tanzania kazi sana
Wale wale, sasa hapa unafikisha ujumbe gani?
Mkuu sina nia mbaya ila nafikisha ujumbe tusibaguane kidini maana kuna thread nyingi humu zimekaa kudhalilisha waislamu just kwasababu mtu style yake ya uongozi anapendelea kufanya kazi na watu fulani. Kuna thread nawashukuru MODS wameitoa ilikuwa inahoji kwanini waislamu makamu rais , waziri wa fedha na waziri wa ulinzi nikuulize alikuwa anafikisha ujumbe gani hapo?
The major concern was the size of the cabinet. It is as big as ever!!
Only the size? Are sure? Buberwa alikusaidia kukujibia maswali siku ile kwenye kipima joto cha Masako mimi nikadhani umeshachangamka kumbe bado tu?
Wizara ya ardhi sio issue ya internal politics ila ni performance issueWizara kama Ardhi kuwekwa mama Tibaijuka mimi naitilia shaka kwani ijapokuwa yes mama tibaijuka ana good international experience but believe me internal politics are so much different from international politics. Hivyo basi anaweza kujiharibia au akajijengea sifa huyu mama. She is likely akaja kuwa the future good candidate wa urais baadae kama siasa za kuchakachua hazijatumika. Hivyo simpongezi nasubiria utendaji wake.
Lets be mature wajinga ni wakupuuzwa! Mimi nimekuuliza wewe ulikuwa unafikisha ujumbe gani? Badala ya kunijibu unaniuliza yule kilaza mwingine alikuwa anaimanisha nini....its a bit too low for my standards kujibishana mambo ya kiimani
Kuwa na Amani
Hivi hata mimi bado najiuliza inamaana JK kafanya performance appraisal akaona Sophia simba yuko juu zaidi ya mama sita!! SijuiNimebaki kucheka kuona Mama Sophia Simba kapewa Wizara, Kikwete haishi kutushangaza watanzania!! Of all the people anaangukia kwa huyu mama!!
Vipi Mama Margareth Sitta alichemka katika hii wizara? Au Mkuu kaona kuwapa Bw. na Bi. wizara itakuwa noma?
There are currently 2879 users browsing this thread. (454 members and 2425 guests)
Dear Guests:ranger:
:director::director:Kusoma tu akutalikwamua TAIFA LETU:yield:, :yield:MCHANGO WAKO NI MUHIMU SANA:typing::typing::typing:
JOIN JF :A S 41::A S 41:, TOA MCHANGO WAKO:A S 109::A S 109: WA MAWAZO TUJENGE TAIFA LA KESHO:welcome::welcome::A S thumbs_up: