Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

The major concern was the size of the cabinet. It is as big as ever!!

I agree with you, 49 ministers/dispute min? why, makatibu wakuu na ma-directors wanafanya kazi gani??

JK ni chakibobu mno, hajifunzi kabisaa? Watoto wetu wana kazi kweli kwani hata Rais wao haelewi kabisa.

Sophia simba,mahanga,wassira,kawamba,nchimbi... hawa ndio tulioambiwa tutaletewa mawaziri wasafiii? usanii mtupu
 
Anyway tuondoke katika hoja ya udini mie my concern ni ukubwa wa baraza nafikiria kodi yangu tu sitoshangaa kuja kusikia serikali imeongeza kodi katika mishahara yetu ili kumudu kuendesha serikali.

Haipo kwenye manifesto (spelling) ya CCM
 
Post za new menber ziinadharauliwa na inachosha kabisa; new members wanapewa majina kuwa wametumwa au ni mafisadi wa CCM kana kwamba JF ni ya CHADEMA; wanaulizwa kwa nini kajisaliji leo na si jana; hujui haya ndugu?

Unless iwekwe sheria na adhabu ya kutowaghasi na kuwaita majina new members wanapo post, na adhabu kali itolewe kwa yeyote anayenyanyapaa post ya member kwa sababu ya upya wake katika JF, usihoji kwa nini kuna guest wengi kuliko members.

:A S-rap::nono::nono::nono:
 
Wizara nyingine ni department tu, woga wangu ni pesa itakayotumika kuandaa majengo, furniture za kutoka nje, mashangingi yasiyopungua mia hamsini kwa ajili ya viwaziri, vinaibu, vikurugenzi, mafuta na service za hayo mashangingi, allowances, nyumba ndogo, na wizi!!! hivi hizi gharama zingetosha kujenga zile dispensary walizoaahidi!! aah sorry ile ahadi ya kituo cha afya kila kata kumbe haikua ya mwaka huu, zilishajengwa!! haya basi zingetosha kununua japo kivuko kimoja na maabara za shule za kata! maskini
 
Crap
 
LUKUVI na cheti chake cha ualimu bado anaendelea kuwa waziri, tanzania nzuri sana.

Kama wewe ni makazi wa Dar utaona kazi nzuri aliyoifanya huyu bwana mkubwa. Kawaulize Mwananyamala Hospitali na ofisi za ardhi za wilaya za Dar n.k. Amefanyakazi nzuri kuliko kelele tupu za Makamba.
 
Post za new menber ziinadharauliwa na inachosha kabisa; new members wanapewa majina kuwa wametumwa au ni mafisadi wa CCM kana kwamba JF ni ya CHADEMA; wanaulizwa kwa nini kajisaliji leo na si jana; hujui haya ndugu?

Unless iwekwe sheria na adhabu ya kutowaghasi na kuwaita majina new members wanapo post, na adhabu kali itolewe kwa yeyote anayenyanyapaa post ya member kwa sababu ya upya wake katika JF, usihoji kwa nini kuna guest wengi kuliko members.

There are currently 2851 users browsing this thread. (433 members and 2418 guests)

Acha kutisha wageni wewe, maoni yako hayafanani kabisa na jina lako. Suala si kushambulia wageni, suala ni mambo gani wanayokuja nayo kwenye forum, hata wakongwe wakileta mbofu mbofu wanapewa za uso.
 
Hivi kazi ya baraza la mawaziri ni nini hasa? Maana mimi sioni lolote walifanyalo. Tuchukulie tu kwa mfano Wizara ya Ujenzi. Hii inashughulika na nini hasa? Kujenga nyumba, majengo, barabara ama? Maana kila kona bongo mtu unakula vumbi tu. Mikorongo kibao. Kukinyesha mvua ndiyo usiseme kabisa....njia hazipitiki. Kazi yao nini hii wizara?

Haya tuje kwenye wizara ya Ardhi, Nyumba, na Maendeleo ya Makazi. Really? Kazi yenu nini nyie? Kujenga nyumba bora za matofali na vigae au? Maana watu kibao bado wanaishi kwenye vijumba vya udongo. Angalieni makazi ya watu Dar. Nyinyi si mnahusika na "makazi" nyie. Kuna lolote kweli mnalolifanya kuhusiana na makazi? I don't think so. Acheni kamba zenu. Kama mnabisha hebu tembeeni huko uraiani mjionee watu wanavyoishi kwenye hayo makazi yao.

Kiufupi ni kwamba baraza la mawaziri halifanyi kazi. Nani anayebisha?
 
Kama wewe ni makazi wa Dar utaona kazi nzuri aliyoifanya huyu bwana mkubwa. Kawaulize Mwananyamala Hospitali na ofisi za ardhi za wilaya za Dar n.k. Amefanyakazi nzuri kuliko kelele tupu za Makamba.

Hiyo hospitali ya Mwananyamala kuna nini kipya? Je wagonjwa bado hawalali chini?
 
I agree with you, 49 ministers/dispute min? why, makatibu wakuu na ma-directors wanafanya kazi gani??

JK ni chakibobu mno, hajifunzi kabisaa? Watoto wetu wana kazi kweli kwani hata Rais wao haelewi kabisa.

Sophia simba,mahanga,wassira,kawamba,nchimbi... hawa ndio tulioambiwa tutaletewa mawaziri wasafiii? usanii mtupu

Labda ni vice versa
 
Hivi kazi ya baraza la mawaziri ni nini hasa? Maana mimi sioni lolote walifanyalo. Tuchukulie tu kwa mfano Wizara ya Ujenzi. Hii inashughulika na nini hasa? Kujenga nyumba, majengo, barabara ama? Maana kila kona bongo mtu unakula vumbi tu. Mikorongo kibao. Kukinyesha mvua ndiyo usiseme kabisa....njia hazipitiki. Kazi yao nini hii wizara?

Haya tuje kwenye wizara ya Ardhi, Nyumba, na Maendeleo ya Makazi. Really? Kazi yenu nini nyie? Kujenga nyumba bora za matofali na vigae au? Maana watu kibao bado wanaishi kwenye vijumba vya udongo. Angalieni makazi ya watu Dar. Nyinyi si mnahusika na "makazi" nyie. Kuna lolote kweli mnalolifanya kuhusiana na makazi? I don't think so. Acheni kamba zenu. Kama mnabisha hebu tembeeni huko uraiani mjionee watu wanavyoishi kwenye hayo makazi yao.

Kiufupi ni kwamba baraza la mawaziri halifanyi kazi. Nani anayebisha?
Kwa mara ya kwanza unaandika pwenti.....BTW haya yote yalitegemewa kwa jk......wewe mtu na akili zako unaweza kumpa wizara vidole juu Sofi simba? kweli na akili zako umekaa na kutulia kabisaaaa?? yaani mtegemee madudu madudu zaidi ya 2005-2010....poleni watz
 
Duu afazali amelisahau lile li fisi maji la Richmond sijui atalikumbuka tena.... au ndo kalisahau forever
 
Hivi ni wizara gani inawajibika na uwanja wa ndege wa JKIA? Nina beef nayo hiyo wizara maana inaiaibisha Tanzania....

Na nani anawajibika na usafiri na usalama wa watu barabarani? Maana hivyo vibajaji na hao wandesha pikipiki na hivyo vidalala vinachafua mazingira halafu hawana adabu kabisa. Utakuta mtu unaendesha gari mara vruuuuu kibajaji kimekatiza mbele yako....nyambaaaaf kabisa. Nani anahusika na hawa vidudumtu?
 
Kwa mara ya kwanza unaandika pwenti.....BTW haya yote yalitegemewa kwa jk......wewe mtu na akili zako unaweza kumpa wizara vidole juu Sofi simba? kweli na akili zako umekaa na kutulia kabisaaaa?? yaani mtegemee madudu madudu zaidi ya 2005-2010....poleni watz

Huyu mama nimejiuliza sana ila sipati jibu
 
Hivi ni wizara gani inawajibika na uwanja wa ndege wa JKIA? Nina beef nayo hiyo wizara maana inaiaibisha Tanzania....

Na nani anawajibika na usafiri na usalama wa watu barabarani? Maana hivyo vibajaji na hao wandesha pikipiki na hivyo vidalala vinachafua mazingira halafu hawana adabu kabisa. Utakuta mtu unaendesha gari mara vruuuuu kibajaji kimekatiza mbele yako....nyambaaaaf kabisa. Nani anahusika na hawa vidudumtu?

Hapo kuna wakongwe wa kazi Pombe magufuli akisaidiwa na Mwakyembe!! bajaji watazisosolve tu
 
Yaani Dar imegeuka kuwa kichaka cha baa (bar). Ni mitaa michache sana ambayo haina baa. Wewe utaruhusuje kuweka baa kwenye maeneo ya makazi ya watu bana? Sisi usiku tunataka kupumzika kwa amani bila makele lakini kuna mibaa inapiga sijui "mama ntili" sijui nini....ujinga mtupu. Nani anahusika na haya mabaa? Tibaijuka?
 
Wizara nyingine ni department tu, woga wangu ni pesa itakayotumika kuandaa majengo, furniture za kutoka nje, mashangingi yasiyopungua mia hamsini kwa ajili ya viwaziri, vinaibu, vikurugenzi, mafuta na service za hayo mashangingi, allowances, nyumba ndogo, na wizi!!! hivi hizi gharama zingetosha kujenga zile dispensary walizoaahidi!! aah sorry ile ahadi ya kituo cha afya kila kata kumbe haikua ya mwaka huu, zilishajengwa!! haya basi zingetosha kununua japo kivuko kimoja na maabara za shule za kata! maskini
Umesahau na vibajaji 400, Kigoma kama Dubai, Maflyovers, airports kila mkoa. Kwa wizara hizi sijui kama watatelekeza ahadi hata moja
 
Binafsi nimeliangalia baraza la mawaziri nikakosa jibu la kusema sijui nilipongeze au niliponde kwanza kuna wizara kama ya fedha, ulinzi na utumishi zilifaa wawekwe watu ambao hawana sifa ya ubadhirifu na wachapa kazi na wanajua nini wanafanya. Kinachoendelea wamewekwa watu wale wale kwakuwa sifa yao kuu ni kwamba hawasemi kitu. Sasa hili sijui ni jambo zuri au baya. Wizara ya fedha mkulo alifaa abadilishwe kwani ameshindwa kuja na miundo mbinu yenye kufanya tanzania iongeze pato lake, kupunguza madeni na kuweza kukwamuka kiuchumi. Ni afadhali angelimuweka mtu ambaye at least ana taaluma ya uchumi na angalua anaweza kuwa na vision ya wapi tanzania ielekee (hapa naweza kuanza kulia maana tusubirie maumivu tu).

Wizara kama Ardhi kuwekwa mama Tibaijuka mimi naitilia shaka kwani ijapokuwa yes mama tibaijuka ana good international experience but believe me internal politics are so much different from international politics. Hivyo basi anaweza kujiharibia au akajijengea sifa huyu mama. She is likely akaja kuwa the future good candidate wa urais baadae kama siasa za kuchakachua hazijatumika. Hivyo simpongezi nasubiria utendaji wake.

Wizara ya ujenzi kuwekwa na Mwakyembe na magufuli may be an intelligent move kuwamaliza kisiasa kwani wakipewa malengo lukuki na bajeti finyu wanaweza kuja kushindwa kuperform na hivyo basi kumalizika kisiasa. Ila nawaombea mungu awasaidie.

Wizara ya mambo nje Bernard Membe anaiweza sana hii wizara na inamfaa tukubali hata kama mtalalamika kuhusu OIC but the guy anaimudu hii post. Na kuna tetesi he will be the next president.

Wizara ya mambo ya ndani mh no comment Nahodha ni mtendaji ila sijui tumpe nafasi afanye kazi.

Wizara Afrika mashariki mzee wa speed na viwango naona hili goma kasukumiziwa fupa lilimshinda fisi. maana hii wizara ina masuala mengi ambayo watanzania wengi hawayafurahii. Kwanza jumuiya ya afrika mashariki watanzania wengi hatukubaliani na mwenendo unavyokwenda na wanahisi kama Tanzania is to blame kwa kuingia kichwa kichwa so mzee six hili litakuwa kasheshe la kwanza atakalokumbana nalo. Pili mzee wa viwango ana goma la wastaafu wa afrika mashariki wanaolalamika kila siku pensheni zao hazijalipwa nalo hili litamsumbua kichwa kila kukicha.

In summary mie naona wapewe nafasi wafanye kazi ijapokuwa kuna sehemu ni vema wangeliwekwa watu bora zaidi. Na ingelikuwa bora zaidi Kikwete angelipunguza ukubwa wa baraza maana taifa linaelemewa na mzigo mkubwa wa kuzihudumia hiz wizara. Wafanyakazi jiandae kuongezewa kodi maana serikali itahitaji pesa zaidi kuendesha serikali yake.

Nakubaliana nawe hapo Fedha-inaonekana yule PS (sjui mr. Khijjah) is good performer, lkn huyu jamaa Mkulo hamna kitu, kuhusu Utumishi huyu mama anjitahidi haki yake apewe, kumbukeni utumishi is the one of very complex ministry na kwa sasa imetulia ikiratibu isue zake vizuri. Mwinyi kazi kubwa ya Wizara ile ni kutuliza wanajeshi kwani enzi ya vita vya bunduki duniani inapitwa na wakati iliyopo ni vita ya kibiashara tu. Magufuli na Mwakyembe ni safi ila watumie Jeshi la Ulinzi kama makandarasi katika miradi mingi ya barabara, madaraja na viwanja vya ndege itaondoa udhalimu wa makampuni ya kichina na ucheleweshaji wa Barabara kama ilivyo hiyo ya Mandela (I do no kama imeisha au usanii zaidi)
 
Back
Top Bottom