Haipo kwenye manifesto (spelling) ya CCM
Basi ndio maana baraza watu 50, kila mmoja anatumia landcruiser la milioni 250, ni kama 12 Billions, ongeza na samani mpya, majengo, wafanyakazi mwe naweza kupiga makelele kwa hasira. :angry::angry::angry:
Haipo kwenye manifesto (spelling) ya CCM
Eti ni engineer na awamu iliopita aliwa Industry Director for the Government........!!! DuuhJamani hebu nipeni CV ya Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu
Umesahau na vibajaji 400, Kigoma kama Dubai, Maflyovers, airports kila mkoa. Kwa wizara hizi sijui kama watatelekeza ahadi hata moja
...Naona Mama Meghji amekwama mahali? Wenzake wote wawili alioteuliwa nao na mkulu kama wabunge wa viti vyake Kumi wamepata Wizara, yeye imekuwaje?? Kuna mtu alitia neno??
Post za new menber ziinadharauliwa na inachosha kabisa; new members wanapewa majina kuwa wametumwa au ni mafisadi wa CCM kana kwamba JF ni ya CHADEMA; wanaulizwa kwa nini kajisaliji leo na si jana; hujui haya ndugu?
Unless iwekwe sheria na adhabu ya kutowaghasi na kuwaita majina new members wanapo post, na adhabu kali itolewe kwa yeyote anayenyanyapaa post ya member kwa sababu ya upya wake katika JF, usihoji kwa nini kuna guest wengi kuliko members.
Ubalozi unamsubiri
Ila kwenye ardhi kuwekewa muhaya tutapata kweli viwanja?
Huu ndio ukabila usiokuwa na msingi. Je Lugakingira alipokuwa Kamishna wa Ardhi watu hawakupata viwanja? Je kulikuwa na tuhuma zozote za rushwa? Je,Mama Sijaona, ambaye si Mhaya, si ndiye aliyeleta migogoro mingi ya ardhi Mbweni, Bunju na sasa tunahangaika na mgogoro wa Luguruni. Tafadhali elekeza hoja katika utendaji wa mtu na si kabila la mtu.
Hiyo wizara ya ujenzi natamani nikaajariwe leo fasta
Utajenga nini?
Sofia Simba...? Hawa Ghasia? Meghji imikuwajee?
Labda wizara elimu ataimudu maana yy mwalim muda mrefu sana pale udsm chemical and processing eng....kule mawasiliano alilazimishia tuI am happy with this man kwani si mbabe, mtulivu na kama sidanganyiki basi anajua kusikiliza. Wizara hii inahitaji mtu msikivu maana anawataalamu wakutosha so kazi yake ni kuwa coordinate tu the quality which I guess he has.