Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Possible candidate 2015 ni Shamsi Vuai Nahodha. Mara mbili mfululizo Raisi wa Jamhuri ametoka Bara sasa ni zamu ya Zanzibar ili kuendelea kudumisha Muungano

Hatuhitaji muungano ukafie mbali. hatujakosa watanganyika wa kututawala hadi wazanzibar waje watutawale..God Forbid!
 
mkuu hiyo ni katiba ya CCM au?... kwahiyo Rais pamoja na makamu wote watatoka visiwani 2015 if at all CCM will rig again.... or
 
Possible candidate 2015 ni Shamsi Vuai Nahodha. Mara mbili mfululizo Raisi wa Jamhuri ametoka Bara sasa ni zamu ya Zanzibar ili kuendelea kudumisha Muungano

Sio kweli hata kidogo,2015 possible candidate wa CCM atakuwa mkristu(Kwa mujibu wa katiba isiyoonekana ya CCM).
Shamsi Vuai Nahodha anaandaliwa aidha kuwa Rais wa Tanzania 2025 au Rais wa Zanzibar 2020(au Dk.Shein akiamua kustaafu 2015)
 
cham chita kwisa funga domo yake nasaangaa nini mbwa kwisa kula toto yake wewe lia nini?
Nadhani Mwakyembe angepewa Sheria na Katiba ,hasa ikizingatiwa kuwa sasa tunahitaji mabadiliko kwenye katiba na NEC,Celina Kombani sidhani kama ataweza kwani ameonyesha udhafu alipokuwa serikali za mitaa kwa kupewa gari na mtumishi wa halmashauri Bagamoyo
 
possible candidate 2015 ni shamsi vuai nahodha. Mara mbili mfululizo raisi wa jamhuri ametoka bara sasa ni zamu ya zanzibar ili kuendelea kudumisha muungano

hakuna kitu, wazenj wataendelea kutawaliwa kama enzi za mkoloni mpaka wakubali serikali tatu, na wataendelea kuchaguliwa rais na wabara mpaka wakubali kuuwa ndoa yao na ccm.
 
There are currently 2107 users browsing this thread. (435 members and 1672 guests)
 
Rais Kachemsha


WIzara ni mbili tu Ujenzi na Ardhi

POOR THINKING POOR ADVICE

WATCH OUT NEXT MOVE
 
Mzigo mzito saaana, nilidhani atapunguza wizara kumbe ndo kazimwaga za OFFER, hapa tuna kazi, yaani kujifungia kooote huko ndo wamekuja na huu utumbo!!

We acha tu,, mi nimejichokea ngoja nicheze karata.... Naogopa kubwabwaja nisijefungiwa mie.....:target:
 
NA.

OFISI/WIZARA

WAZIRI


NAIBU WAZIRI

.Ofisi ya RaisWN – OR – Utawala Bora
Mathias Chikawe
WN – OR – Mahusiano na Uratibu
Stephen Wassira
.Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Hawa Ghasia.

Ofisi ya Makamu wa RaisMuungano
Samia Suluhu
Mazingira
Dr. Terezya Luoga Hovisa
.
Ofisi ya Waziri Mkuu

Sera, Uratibu na Bunge
William LukuviUwekezaji na Uwezeshaji
Dr. Mary Nagu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

George Huruma Mkuchika.Aggrey Mwanri
. Kassim Majaliwa
.
Wizara ya Fedha


Mustapha Mkulo. Gregory Teu

Pereira Ame Silima

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Shamsi Vuai Nahodha. Balozi Khamis Suedi Kagasheki.
Wizara ya Katiba na Sheria
Celina Kombani.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Bernard K. Membe. Mahadhi Juma Mahadhi.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa


Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. Mathayo David Mathayo. Benedict Ole Nangoro.
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame Mnyaa Mbarawa. Charles Kitwanga.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi


Prof. Anna Tibaijuka,Goodluck Ole Madeye.
Wizara ya Maliasili na Utalii
Ezekiel Maige.
Wizara ya Nishati na Madini
William Mganga Ngeleja. Adam Kigoma Malima.
Wizara ya Ujenzi
Dr. John Pombe Magufuli. Dr. Harrison Mwakyembe

.
Wizara ya Uchukuzi
Omari Nundu. Athumani Mfutakamba.
Wizara ya Viwanda na Biashara
Dr. Cyril Chami,Lazaro Nyalandu.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru Kawambwa. Philipo Mulugo.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Haji Hussein Mpanda. Dr. Lucy Nkya.
Wizara ya Kazi na Ajira
Gaudensia Kabaka,Makongoro Mahanga.
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Sophia Simba,Umi Ali Mwalimu.
Wizara ya Habari, Vijana na Michezo
Emmanuel John Nchimbi. Dr. Fenella Mukangara.
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Samuel John Sitta. Dr. Abdallah Juma Abdallah.
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Prof. Jumanne Maghembe. Christopher Chiza.
Wizara ya Maji
Prof. Mark James Mwandosya
Eng. Gerson Lwinge
 
wala hujakosei, kuna kitu hapo.............:embarrassed:
 
BARAZA JIPYA LA MAWZIRI

1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mathias Chikawe
Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu: Stephen Wassira
2.Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia
3. Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano) Samia Suluhu
2. Ofisi ya Makamu wa Rais – (Mazingira) Dr. Terezya Luoga Hovisa
4. Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge): William Lukuvi
2. Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Nagu
5. Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Huruma Mkuchika
Naibu: Aggrey Mwanri
Naibu: Kassim Majaliwa
6. Wizara ya Fedha Mustapha Mkulo
Naibu: Gregory Teu
NAibu: Pereira Ame Silima
7. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Shamsi Vuai Nahodha
Naibu: Balozi Khamis Suedi Kagasheki
8. Wizara ya Katiba na Sheria Celina Kombani
9. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe Naibu: Mahadhi Juma Mahadhi
10. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Mathayo David Mathayo
Naibu: Benedict Ole Nangoro
12. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
Naibu: Charles Kitwanga
13. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka Naibu: Goodluck Ole Madeye
14. Wizara ya Maliasili na Utalii Ezekiel Maige
15. Wizara ya Nishati na Madini William Mganga Ngeleja 1. Adam Kigoma Malima
16. Wizara ya Ujenzi Dr. John Pombe Magufuli
Naibu: Dr. Harrison Mwakyembe
17. Wizara ya Uchukuzi Omari Nundu
Naibu: Athumani Mfutakamba
18. Wizara ya Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami
Naibu: Lazaro Nyalandu
19. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
Naibu: Philipo Mulugo
20. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Haji Hussein Mpanda
Naibu: Dr. Lucy Nkya
21. Wizara ya Kazi na Ajira Gaudensia Kabaka Makongoro Mahanga
22. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba Umi Ali Mwalimu
23. Wizara ya Habari, Vijana na Michezo Emmanuel John Nchimbi
Naibu😀r. Fenella Mukangara
24. Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel John Sitta
Naibu Dr. Abdallah Juma Abdallah
25. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Prof. Jumanne Maghembe
Naibu: Christopher Chiza
26. Wizara ya Maji: Prof. Mark James Mwandosya
Naibu: Eng. Gerson Lwinge
 
Back
Top Bottom