Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
acha wafu wazikane
Naona Samuel Sitta ndio wamemmaliza kabisa
eeh ndioHiyo sababu aliyoitoa juu ya kupeleka vijana kwenue michezo na utamaduni....mie amenikwaza. Eti shughuli zet nyingi zinaendana na michezo na utamaduni..tumekaa kimichezo na kiutamaduni zaidi loh
VERY VERY POOOOOOOR CABINET EVEr:A S 109::A S 109::hail::hail:
Tusubiri utendaji wao wa kazi. Wanaapishwa lini?
eeh ndio
tunacheza sana sie... sijamuelewa hata mimi mkulu, ila kanifurahisha kwa kiasi fulani
JF inatisha!
Sophia Simba ?????????????????????????????? Sijui kwa nini huyu mama haachwi.
kweli kabisa mkubwa!Wizara ya Kilimo mkubwa kachemsha!!!!....
Uteuzi si mbaya ila ni jambo moja lakini kudeliver ni jambo la lingine tusubiri tuone. Ila kwangu mie uteuzi huu si mbaya I think amekuwa more strategic na objective kapata ushauri mzuri. Sasa Je yeye mwenyewe atapunguza matanuzi ya kwenda nje kila kukicha kwa kodi zetu???