Barabara ya Mabatini, Kijitonyama: Nani kala 10%?

wakuu OLESAIDIMU RRONDO masopakyindi tpaul pitieni hapa ..mkuu kaweka maelezo ambayo yanashabihiana sana na maelelzo nilotaka kuyatoa
Mkuu any seasoned proffessional knows that buck passing isnt proffessional.
Kwa barabara tunayoisema sioni kitu complicated pale.
Mbona kuna barabara ya shekilango, barabara ya Sayansi Kitonyama, zote ziko sehemu hizo hizo.

Tukubsliane kuwa kama alivyo comment mtaalam mmoja hspo nyuma ,layer ya lami imepunjwa na kuwa finyu sana.

How about that.
 
Last edited by a moderator:

Kwa barabarz tunayoisema sioni kitu complicated pale.
Mbona kun barabara ya shekilango, barabara ya Sayansi Kitonyama, zote ziko sehemu hizo hizo.

Tukubsliane kuwa kama slivyo comment mtaalam mmoja hspo nyuma ,layer ya lami imepunjwa na kuwa finyu sana.

How about that.

Of course kupunguza layer kama hivo haikubaliki nami pia siungi mkono.. aliyehusika anatakiwa kuchukuliwa hatua..
 
Hii amejengewa ana makinda afike kanisani kiulaini
 
Mkuu Ogah panatakiwa mlalamikaji katika hili.
Mteja wa kazi hii asipolalamika inabidi pengine serikali kupitia vyombo vyake vifanye uchunguzi wake.

Mkuu sasa kama serikali ndio inatoa pesa lakini pesa yake haionekani kuleta thamani tarajiwa na anayetakiwa kutoa lalamiko yuko kimya kweli uchunguzi unahitaji msukumo wa nje???!!!

Hivi madaraka yanayolalamikiwa ya Rais kuwa ni makubwa yana mipaka???!!

Hivi kweli hata kama Client ndio anatakiwa alalamike.....vipi nafasi ya mwananchi kwenye miradi inayotuhusu na inayogusa maisha yetu kila siku?.....na zaidi ya hapo....ni kodi zetu ndio wanazifanyia hivi.....nafikiri Mwananchi ndio Client mkubwa of all.....hivi hakuna channel/nafasi za Mwananchi ku-air upuuzi kama huu unapotokea.....hivi hakuna chombo kinachoangalia interest ya wananchi kwenye miradi kama hii.......yaani ERB, CRB na NCC wako tu kuidhinisha wahandisi, makampuni na vipeperushi.....halafu kazi yao ndio imeisha!!??.......halafu mnadai Wahandisi hamna nguvu?.....please

Juzi tu tumeonyeshwa na Mhandisi Lole Gwakisa jinsi ambavyo JV wamefanya kazi kwa weledi....on the same token......Hivi kama mwanasiasa anakuja na anakulazimisha kufanya kitu sub-standard....mnataka kuniambia Mhandisi mzima hujui hatua za kuchukua??!!......if so......this our country is so rotten....

...ningesha kufa zamani kwa ugonjwa wa moyo.....kama bado nigelikuwa bongo napiga mzigo......
 
lets say ni kweli water table iko juu....je hio barabara ni sehemu pekee yenye water table ya juu kuliko zote ziliwahi kujengwa??

.....exactly!.....yaani sijapata kuona hii....halafu kuna wahandisi......wamekaa kimya as if wanakubaliana na huu upuuzi....

We took some guys to school for that purpose, they had to fukcen now this before!!!!!
Hardman why are you becoming soft on firm issues???!!!

......Asante sana Mkuu........Mkuu hebu imagine huyo ndio mhandisi msimamizi wa hiyo barabara......damn!
 
Acheni kuwanyanyasa WAZAWA. Mmewashupalia utafikiri wao ndiyo wa kwanza Tanzania kufanya wizi kwa kutumia chama tawala cha CCM? Si mlimsifu Magufuli kuwa Mchapa kazi maridadi? Mkamsifu na Meya sijui wa jiji, sasa mnalialia nini? Tulieni dawa iingie vizuri.

Kwanza namsifu walau imepita miezi kadhaa haijaharibika maana kuna yule Waziri kutoka Kondoa sijui alikuwa akiitwa nani miaka ya 90, alitakiwa kujenga barabara ya Morogoro kuanzia Tanki bovu na hakujenga hata mita moja. Pia huyu aliyetakiwa kujenga hadi Msata kwa Rais wetu, bila aibu yoyote, akazila hela zote na hakujenga hata mita moja.

Acheni ROHO KOROSHO bana. CCM oyeeeeee............. na itatawala milele.

Mkuu, yule waziri wa miaka ya 90 aliyekula pesa za barabara anaitwa Nalaila Kiula. Alishitakiwa kwa kuisababishia serikali hasara ya sh bilion 9, akapigwa faini ya tsh milion 1.5 akalipa na kusepa. Tangu wakati huo alistaafu siasa altogether.
 
lets say ni kweli water table iko juu....je hio barabara ni sehemu pekee yenye water table ya juu kuliko zote ziliwahi kujengwa??

Mkuu any seasoned proffessional knows that buck passing isnt proffessional.
Kwa barabara tunayoisema sioni kitu complicated pale.
Mbona kuna barabara ya shekilango, barabara ya Sayansi Kitonyama, zote ziko sehemu hizo hizo.

Tukubsliane kuwa kama alivyo comment mtaalam mmoja hspo nyuma ,layer ya lami imepunjwa na kuwa finyu sana.

How about that.

Nakubaliana na observation ya Lole Gwakisa kuhusu layer ya asphalt.......wafanye core sampling/test ili ukweli ujulikane......

crackings za aina hii zinatokea endapo underneath layer ziko weak or weakened (i.e. as a result of poor pavement layers structural design), poor mix design ya asphalt concrete au barabara yenyewe kupitiwa na heavier traffic loads than what it was designed to withstand.......sasa zaidi kama msimamizi haelewi hiyo......basi we are doomed......
 
Last edited by a moderator:
wakuu OLESAIDIMU RRONDO masopakyindi tpaul pitieni hapa ..mkuu kaweka maelezo ambayo yanashabihiana sana na maelelzo nilotaka kuyatoa

ni kweli kabisa mkuu, nchi hii imeoza kutoka kwenye shina hadi kwenye ncha. anayetoa tenda, mjenzi, msimamizi na mkaguzi wote wamekula ndoani za 10%, hawawezi kufurukuta. wa kuwajibishwa hapa ni rais/waziri aliyeenda kuifungua barabara hii kwa mbwembwe huku akiona kabisa kwamba imejengwa chini ya kiwango.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli hata kama Client ndio anatakiwa alalamike.....vipi nafasi ya mwananchi kwenye miradi inayotuhusu na inayogusa maisha yetu kila siku?.....na zaidi ya hapo....ni kodi zetu ndio wanazifanyia hivi.....nafikiri Mwananchi ndio Client mkubwa of all.....hivi hakuna channel/nafasi za Mwananchi ku-air upuuzi kama huu unapotokea.....hivi hakuna chombo kinachoangalia interest ya wananchi kwenye miradi kama hii.......yaani ERB, CRB na NCC wako tu kuidhinisha wahandisi, makampuni na vipeperushi.....halafu kazi yao ndio imeisha!!??.......halafu mnadai Wahandisi hamna nguvu?.....please

Juzi tu tumeonyeshwa na Mhandisi Lole Gwakisa jinsi ambavyo JV wamefanya kazi kwa weledi....on the same token......Hivi kama mwanasiasa anakuja na anakulazimisha kufanya kitu sub-standard....mnataka kuniambia Mhandisi mzima hujui hatua za kuchukua??!!......if so......this our country is so rotten....

...ningesha kufa zamani kwa ugonjwa wa moyo.....kama bado nigelikuwa bongo napiga mzigo......
I can understand the frustration, kwa kuiona kazi hii ilivyo mbaya na hakuna formal action
The problem na nchi hii kwa sasa ni kukosa uwajibikaji, hasa pale panapoonekana kabisa kuna shady deals.

A contractor in his right mind would never allow this to happen.
Mimi nina uhakika hili tatizo lime-register in the proper channels na hatua kuchukuliwa.
Na bahati mbaya huyu mkandarasi ninamfahamu, na ni the "cowboy" type, na najua si mhandisi.
 
ni kweli kabisa mkuu, nchi hii imeoza kutoka kwenye shina hadi kwenye ncha. anayetoa tenda, mjenzi, msimamizi na mkaguzi wote wamekula ndoani za 10%, hawawezi kufurukuta. wa kuwajibishwa hapa ni rais/waziri aliyeenda kuifungua barabara hii kwa mbwembwe huku akiona kabisa kwamba imejengwa chini ya kiwango.
Inabidi aombwe Mzee Pombe Magufuli aitembelee, atamla nyama mkandarasi na wasimamizi wake!
 
Utawasikia wapambe wake... magufuli jembe!!!! Yaani kuna baadhi ya Watanzania wanachekesha sana mtu ana madudu kibao kashindwa kusimamia utendaji wa wizara yake halafu bado wanamuona ni jembe!!!!

Hii ilikuwa ni dili tupu....alafu eti kwa kazi nzuri mkandarasi akaongezewa kile kipande cha Hongera Bar hadi jingo la science kupita Tatedo/Lukagingira.....kaishia kuweka changarawe na vumbi la lami kasepa....inaniuma hii barabara inapita nyumbani kwangu kabisa
 
ni kweli kabisa mkuu, nchi hii imeoza kutoka kwenye shina hadi kwenye ncha. anayetoa tenda, mjenzi, msimamizi na mkaguzi wote wamekula ndoani za 10%, hawawezi kufurukuta. wa kuwajibishwa hapa ni rais/waziri aliyeenda kuifungua barabara hii kwa mbwembwe huku akiona kabisa kwamba imejengwa chini ya kiwango.

Umenena vema pokea like hapa hapa
 
Hivi kweli hata kama Client ndio anatakiwa alalamike.....vipi nafasi ya mwananchi kwenye miradi inayotuhusu na inayogusa maisha yetu kila siku?.....na zaidi ya hapo....ni kodi zetu ndio wanazifanyia hivi.....nafikiri Mwananchi ndio Client mkubwa of all.....hivi hakuna channel/nafasi za Mwananchi ku-air upuuzi kama huu unapotokea.....hivi hakuna chombo kinachoangalia interest ya wananchi kwenye miradi kama hii.......yaani ERB, CRB na NCC wako tu kuidhinisha wahandisi, makampuni na vipeperushi.....halafu kazi yao ndio imeisha!!??.......halafu mnadai Wahandisi hamna nguvu?.....please

Juzi tu tumeonyeshwa na Mhandisi Lole Gwakisa jinsi ambavyo JV wamefanya kazi kwa weledi....on the same token......Hivi kama mwanasiasa anakuja na anakulazimisha kufanya kitu sub-standard....mnataka kuniambia Mhandisi mzima hujui hatua za kuchukua??!!......if so......this our country is so rotten....

...ningesha kufa zamani kwa ugonjwa wa moyo.....kama bado nigelikuwa bongo napiga mzigo......
Inabidi TAKUKURU wabipiwe.
Wakati mwingine nchi hii mambo yanaenda kimkanda mkanda mpaka unajiuliza huyu mkandarasi au mhandisi msimamizi wanajua lakini wanafanya nini?
Hapa ni dhahiri uhujumu uchumi?
 
Hahaaaa nenda ya kule tabata st marys ndo utashangaa

Tanzania a.k.a Ibia Serikali kadri uwezavyo tutakulinda tu! Ila ukiiba kuku mitaani ruksa wananchi wakuchome moto!!
 
Unajua pamoja na mengine Kagame huwa namkubali!!!!

...kwa upande mwingine nakubaliana na pendekezo alilotoa dada yetu FaizaFoxy ....kwamba.....

.....................Inaudhi sana.

Nnasema Tanzania ni wakati muafaka kuanzishwa sheria ya kuuwa watoa na wapokea rushwa, bila hivyo tutalalamika usiku na mchana hakuna tija.
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.

Nani kala 10% hapo?

FaizaFoxy na wenzake wanahesabu hiyo ni UTEKELEZAJI wa ilani za CHAMA. hapo wao na akili zao za kuku wanahesabu ndio maendeleo. Kutenegeza Barabara zinazoharibika kwa msimu mmoja.
Kutwa kucha kuhesabu kilometa za LAMI zilizogeuka VUMBI, na yule Chiriku wao Magufuli. Hii ni stahili ya wananchi wa Tanzania, waliokubali kutawaliwa na hawa wapuuzi.
A Nation is what it accepts to rule her.
 
Hivi kweli hata kama Client ndio anatakiwa alalamike.....vipi nafasi ya mwananchi kwenye miradi inayotuhusu na inayogusa maisha yetu kila siku?.....na zaidi ya hapo....ni kodi zetu ndio wanazifanyia hivi.....nafikiri Mwananchi ndio Client mkubwa of all.....hivi hakuna channel/nafasi za Mwananchi ku-air upuuzi kama huu unapotokea.....hivi hakuna chombo kinachoangalia interest ya wananchi kwenye miradi kama hii.......yaani ERB, CRB na NCC wako tu kuidhinisha wahandisi, makampuni na vipeperushi.....halafu kazi yao ndio imeisha!!??.......halafu mnadai Wahandisi hamna nguvu?.....please

Juzi tu tumeonyeshwa na Mhandisi Lole Gwakisa jinsi ambavyo JV wamefanya kazi kwa weledi....on the same token......Hivi kama mwanasiasa anakuja na anakulazimisha kufanya kitu sub-standard....mnataka kuniambia Mhandisi mzima hujui hatua za kuchukua??!!......if so......this our country is so rotten....

...ningesha kufa zamani kwa ugonjwa wa moyo.....kama bado nigelikuwa bongo napiga mzigo......

Tanzania is like a MUD PIT. To live there, to survive, you have to be DIRTY. It's almost shameful to claim spotless cleanliness whilst in a MUD PIT.
Nisameheni kama i come out a bit STRONG lakini, kuna vitu vinaudhi. Yani kila Mtu ni Mchafu kwa njia moja au Nyengine, kuanzia mwanachi anayeruhusu huo upuuzi kutokea hadi Mkuu wa nchi.
Wengi wanaokataa kurudi hiyo nchi vitu kama hivi ndio sababu kuu, HATA ukiwa msafi you will be compromised.Slowly we are turning if not already into a Lawless Banana Republic, where Corruption is so Rampant it's not even shameful to be associated with it.
It's tough working abroad, as everything we do we have to do it better than the natives, and at all times have to be three times more capable just to play on level ground, But it's better than living in such pittance. How does one sleep at night knowing everyday they walk out of their homes instead of making life better for someone else they are going to f**k it up?instead of building a better country for their grandchildren, they are destroying everything on the way just to satisfy their greed? HAYO MAKANISA YANAJAA for what purpose? confession?
 
Back
Top Bottom