Barabara ya Mabatini, Kijitonyama: Nani kala 10%?

Tanzania is like a MUD PIT. To live there, to survive, you have to be DIRTY. It's almost shameful to claim spotless cleanliness whilst in a MUD PIT.
Nisameheni kama i come out a bit STRONG lakini, kuna vitu vinaudhi. Yani kila Mtu ni Mchafu kwa njia moja au Nyengine, kuanzia mwanachi anayeruhusu huo upuuzi kutokea hadi Mkuu wa nchi.
Wengi wanaokataa kurudi hiyo nchi vitu kama hivi ndio sababu kuu, HATA ukiwa msafi you will be compromised.Slowly we are turning if not already into a Lawless Banana Republic, where Corruption is so Rampant it's not even shameful to be associated with it.
It's tough working abroad, as everything we do we have to do it better than the natives, and at all times have to be three times more capable just to play on level ground, But it's better than living in such pittance. How does one sleep at night knowing everyday they walk out of their homes instead of making life better for someone else they are going to f**k it up?instead of building a better country for their grandchildren, they are destroying everything on the way just to satisfy their greed? HAYO MAKANISA YANAJAA for what purpose? confession?

......Mkuu nina mission na majamaa hapa wa MCC kwa kipindi kifupi kuweka input kwenye masuala kadhaa ya miradi ya maendeleo in......Liberia, Tanzania & Nepal......nikiangalia Tanzania.....napata shida sana kuamini yanayoendelea.......nitakapokuwepo huko kwa muda mfupi lazima nitawatafuta wadau......
 
Ile barabara lami iliwekwa inchi moja ndo maana imebanduka. Tuanze kuuliza makisio alilipwa kwa inchi ngapi??
 
...kwa upande mwingine nakubaliana na pendekezo alilotoa dada yetu FaizaFoxy ....kwamba.....

......Mkuu nina mission na majamaa hapa wa MCC kwa kipindi kifupi kuweka input kwenye masuala kadhaa ya miradi ya maendeleo in......Liberia, Tanzania & Nepal......nikiangalia Tanzania.....napata shida sana kuamini yanayoendelea.......nitakapokuwepo huko kwa muda mfupi lazima nitawatafuta wadau......
Weka wazi tu mkuu, Tanzania kwa rushwa tu vinara!
 
Tanzania is like a MUD PIT. To live there, to survive, you have to be DIRTY. It's almost shameful to claim spotless cleanliness whilst in a MUD PIT.
Nisameheni kama i come out a bit STRONG lakini, kuna vitu vinaudhi. Yani kila Mtu ni Mchafu kwa njia moja au Nyengine, kuanzia mwanachi anayeruhusu huo upuuzi kutokea hadi Mkuu wa nchi.
Wengi wanaokataa kurudi hiyo nchi vitu kama hivi ndio sababu kuu, HATA ukiwa msafi you will be compromised.Slowly we are turning if not already into a Lawless Banana Republic, where Corruption is so Rampant it's not even shameful to be associated with it.
It's tough working abroad, as everything we do we have to do it better than the natives, and at all times have to be three times more capable just to play on level ground, But it's better than living in such pittance. How does one sleep at night knowing everyday they walk out of their homes instead of making life better for someone else they are going to f**k it up?instead of building a better country for their grandchildren, they are destroying everything on the way just to satisfy their greed? HAYO MAKANISA YANAJAA for what purpose? confession?

Thank you, i can retire now!!!!!
 
Si hiyo tu. Barabara ya bagamoyo - msata ambayo imejengwa kwa fedha nyingi tu na haijaisha imeharibika vibaya sana crocodile cracks all over the road surface. Barabara inayoendelea kujengwa ya Mwenge - Tegeta ni mbovu kupita barabara zote nilizowahi kuona zinajengwa ona mapungufu machache yaliyo dhahiri;
1. Pavement failures on several sections of the road( ruting etc)
2. Road signs improperly installed and some placed on the junction roads
3. Lack of deceleration lanes on major turnings
4. Closed Central reserve at zebra crossings
5. Unnecessary curves close to Bridges
6. Etc

Makosa haya lazima yamesababishwa na;
1. Poor designs
2. Poor Construction
3. Poor supervision
4. Lack of transparancy from project initiation to construction for the projects financed by Japanese grant

Please those are few projects that have been poorly Constructed.
 
Kama inaharibika sehemu nyingi hivi hats akirepair wakati wa DLP haisaidii maana muda huo ukiisha tu ni matatizo kibao yatajitokeza. Hivi tunajenga ili kabla hata hatujakabidhi barabara yote iwekwe viraka. No something has to be done sio kwa barabara za halmashauri tu hili tatizo lipo sana kwenye barabara zinazojengwa chini ya wizara ya ujenzi. Kumbuka wabunge walivyolalamika kwenye bunge la bajeti lililopita. Majibu yakawa barabara zimeexpire. Shame
 
Crb wameshatoa tangazo kwenye gazeti. Mtu yeyote akiona ujenzi mbovu ukiendelea mahali atoe taarifa crb
 
Contractor anatakiwa awe na wataalamu wote wanaohusika kwenye ujenzi e.g. Highway Engineer, Pavement and Materials Engibeer, Bridge Engineer etc. Hivyo wakati wa kutenda na kujenga anatakiwa kufanya reviews ya site yenyewe, type of doils and materials, design etc na akiona kuna tatizo anatakiwa kumu-alart the client through the supetvising consultant ili tatizo lipatiwe ufumbuzi. Hivyo kisingizio kuwa water table ipo juu hakikubaliki. Contractor makini na mzoefu hawezi kukubali kujenga barabara ambayo design yake etc ni mbovu. Maana itamuharibia credibility.
 
Kusanyeni data za barabara zote pamoja na picha halisi mpenzi waziri kivuli awe anazionyesha kwenye hotuba zake bungeni na kwingineko kudhihirisha wanachofanya serikali ya ccm sio walichoahidi bali kula hela za walipa kodi kwa 10%
 
Tanzania is like a MUD PIT. To live there, to survive, you have to be DIRTY. It's almost shameful to claim spotless cleanliness whilst in a MUD PIT.
Nisameheni kama i come out a bit STRONG lakini, kuna vitu vinaudhi. Yani kila Mtu ni Mchafu kwa njia moja au Nyengine, kuanzia mwanachi anayeruhusu huo upuuzi kutokea hadi Mkuu wa nchi.
Wengi wanaokataa kurudi hiyo nchi vitu kama hivi ndio sababu kuu, HATA ukiwa msafi you will be compromised.Slowly we are turning if not already into a Lawless Banana Republic, where Corruption is so Rampant it's not even shameful to be associated with it.
It's tough working abroad, as everything we do we have to do it better than the natives, and at all times have to be three times more capable just to play on level ground, But it's better than living in such pittance. How does one sleep at night knowing everyday they walk out of their homes instead of making life better for someone else they are going to f**k it up?instead of building a better country for their grandchildren, they are destroying everything on the way just to satisfy their greed? HAYO MAKANISA YANAJAA for what purpose? confession?

Khaa!! Bongo usipoijua vizuri utakufa kwa stresses. Ukitaka kuishi kwa amani na furaha usijali sana hayo mengine. Fanyakazi kwa bidii jitahidi family yako inapata mahitaji yake kwa ubora basi utaishi miaka mingi. Lakini ukitaka ufe upesi kama SI MWANASIASA basi uweunafuatilia vitu kama hivi. Bongo kilakitu ni siasa, si kwenye taasisi za elimu, dini, hadi vyombo vya dola kote siasa. Tumekuwa mazuzu kwani ubongo wetu unajazwa information za kisiasa zisizo na faida kwetu. Tunadanganywa tu. Ndiyo maana hata hata hatujui wajibu wetu kwa mazingira yetu
wenyewe. Hujawahi kusikia sherehe ya kuzindua mabanda mawili ( madarasa) yaliogharimu milioni 2 inaunguza m1??? Kwanini wasitumie hiyo kujenga banda la 3?? Mheshimiwa anatumia kwenye safari ambayo anakwenda kutoa mchango elfu50?? Kwani asiurushe kwa simu kama anania ya dhati ya kusaidia?? Kuna haja ya kuchukua waandishi wa habari lukuki na kuwalipa kwa minajili ya kurekodi tukiohilo?? Hujawahi kusikia mradi wa maendeleo unafanyiwa hujuma ili mtu aonekane ameshindwa?? Mfano juzi hapa uingereza kuna mtz ameiombea team ya tz hadharani ifanye vibaya ili watz tujue kuna udhaifu ndani ya chama cha riadha (RT). Muda mwingi katika maisha tunajifunza/tunasoma vitu visivyo na maana kabisa, angalia local social networks na blogu zetu zimejikita kwenye malengo ya kisiasa na udaku. Lini tutajifunza kutunza barabara za lami ili zidumu badala ya kulalamika nani kala 10%? Lini tutajifunza kufanya kazi zetu ziwe za kimataifa na kuacha kulalamika kwamba wanaofanya hivyo ni frimazon?? Hatuoni watu wakibomoa barabara nzuri ya lami kisa mtoto kagongwa na gari?? Hatuoni kingo na alama za barabara zikiharibiwa katika mradi wa njia ya kasi Dar ambao hata haujaisha?? Tunayazungumzia kisiasa tu majanga yote iwe mafuriko, magonjwa ya mlipuko nk. Tusijidanganye kuwa tumerogwa. Tumeyataka wenyewe kwa kukumbatia na kutegemea kuishi kwa uccm, ucdm, ucuf, uact.... HAO WOTE NDIYO WA KULAUMIWA.
 
Hizi barabara nyingi hazifate taratibu za kawaida za ujenzi....hazifanyiwi usanifu....wala hazisimamiwi ipasavyo wakati wa ujenzi. Kuna baadhi zinasimamiwa na TanRoads ila ni yale yale.

Wakuu barabara nyingi zinazojengwa hapa mjini ni balaa tupu hata miezi sita wakati mwingine hazifiki.Nina mfano wa barabara hizi;
1.Barabara ya kutoka hongera bar kwenda Sayansi pale Kijitonyama,sijui hata kama miezi mitatu ilifika.
2.Barabara ya kutoka Temeke kwenda Buza Tanesco.
3.Barabara ya kutoka Buza kwenda Jet.

Hii ya st Mary's mkuu ni ya kipekee.....ilifumuka matabaka ya chini......ikawa kama tope limewekwa barabarani kisha likafunikwa kwa lami.

Hahaaaa nenda ya kule tabata st marys ndo utashangaa

Wondering kama tunaweza kupata mwandishi mmoja akaandika kitu fulani....kuanzia zilipojengwa, gharama, design period nk. Zikafanyiwa technical auditing hivi....

Mkuu. I wanted to post something like this a long time ago mkuu lakini kuhusiana na ile barabara tokea shule ya msingi k,nyama na kutokea mwananyamala that was poorly built, nilichukizwa kupita maelezo

Swadakta mkuu,

Design life ya lami mara nyingi ni miaka 20 kwa code zetu, unless iwe ni staged construction.

....mazee...that is a very good point!....however, kwenye defect liability period hatutegemei kuona failure kubwa za aina hii.......hebu jiulize lifespan ya flexible pavement kama hii ni miaka mingapi kwanza......!

Ni kama ile kilwa road. ....hadi leo bado inafumuka.
Hiyo barabara ni ya kuirudia yote na si repairs kama unvyosema mkuu.
Barabara imechanika toka Afrika Sana hadi junction ya barabara ya kwend Uzuri.
Na mengi ya magari yanayopita hapo ni madogo, hii ni barabara ya mchepuko kupunguza traffic toka Bagamoyo Rd.
Nasema hapo 10% imetulia.

Siamini kama ni ishu ni wataalam. Tatizo ni mfumo usioruhusu weledi kuchukua nafasi yake.
Pia siku hizi watu wakisikia mradi hawafikirii utakuaje na utaleta manufaa gani kwa umma....wanawaza kula tu. Kuanzia planning....procurement...na construction ni kufikiria ulaji tu.

Contractor anatakiwa awe na wataalamu wote wanaohusika kwenye ujenzi e.g. Highway Engineer, Pavement and Materials Engibeer, Bridge Engineer etc. Hivyo wakati wa kutenda na kujenga anatakiwa kufanya reviews ya site yenyewe, type of doils and materials, design etc na akiona kuna tatizo anatakiwa kumu-alart the client through the supetvising consultant ili tatizo lipatiwe ufumbuzi. Hivyo kisingizio kuwa water table ipo juu hakikubaliki. Contractor makini na mzoefu hawezi kukubali kujenga barabara ambayo design yake etc ni mbovu. Maana itamuharibia credibility.
 
Sasa hao ma contractors wa kizalendo wasipopewa hizo contracts wanavyokuja juu na kulalamika bana?!

Wakati ndio walitakiwa wajipambe, TZ balaa....

Wapiiiii, viongozi wenyewe hawana uchungu na nchi yao sembuse hawa walalahoi contractors? Mtu badala ya kutengeneza barabara yeye anaweka udongo wa ufinyanzi ukikauka anapaka lami (mafuta ya taa na dizeli).
 
Crb wameshatoa tangazo kwenye gazeti. Mtu yeyote akiona ujenzi mbovu ukiendelea mahali atoe taarifa crb

EBO!! WTF? hii nchi watu wameweka nini kwenye MABICHWA YAO? How does a common mwananchi know that the ongoing construction is below standard?What use is there to hire consulting firms?tunaowalipa mabilioni kusimamia hizi barabara?
Soon tutaanza kusikia Mahakama ikiwaomba wananchi kuripoti lawyer anayekosea arguments mahakamani,hospitali zikianza kuwaomba wananchi watoe taarifa za daktari anayekosea ku-prescribe dawa, TCAA wakiomba wananchi watoe taarifa za marubani wanaokosea kufuata air corridor n.k,

Haya ni mambo ya kitaalamu, yanahitaji TRAINED EYE, isiyokuwa Tainted na CORRUPTION,, kuweza kusimamia,sio untrained eye ya mwananchi wa kawaida.
 
Contractor anatakiwa awe na wataalamu wote wanaohusika kwenye ujenzi e.g. Highway Engineer, Pavement and Materials Engibeer, Bridge Engineer etc. Hivyo wakati wa kutenda na kujenga anatakiwa kufanya reviews ya site yenyewe, type of doils and materials, design etc na akiona kuna tatizo anatakiwa kumu-alart the client through the supetvising consultant ili tatizo lipatiwe ufumbuzi. Hivyo kisingizio kuwa water table ipo juu hakikubaliki. Contractor makini na mzoefu hawezi kukubali kujenga barabara ambayo design yake etc ni mbovu. Maana itamuharibia credibility.

Na maajabu zaidi, utaona contractor huyohuyo aliyeboronga anapewa kazi zaidi na zaidi na zaidi, huku akipewa sifa lukuki na hao vichwa maji mliowachagua waiongoze hiyo nchi.
 
Khaa!! Bongo usipoijua vizuri utakufa kwa stresses. Ukitaka kuishi kwa amani na furaha usijali sana hayo mengine. Fanyakazi kwa bidii jitahidi family yako inapata mahitaji yake kwa ubora basi utaishi miaka mingi. Lakini ukitaka ufe upesi kama SI MWANASIASA basi uweunafuatilia vitu kama hivi. Bongo kilakitu ni siasa, si kwenye taasisi za elimu, dini, hadi vyombo vya dola kote siasa. Tumekuwa mazuzu kwani ubongo wetu unajazwa information za kisiasa zisizo na faida kwetu. Tunadanganywa tu. Ndiyo maana hata hata hatujui wajibu wetu kwa mazingira yetu
wenyewe. Hujawahi kusikia sherehe ya kuzindua mabanda mawili ( madarasa) yaliogharimu milioni 2 inaunguza m1??? Kwanini wasitumie hiyo kujenga banda la 3?? Mheshimiwa anatumia kwenye safari ambayo anakwenda kutoa mchango elfu50?? Kwani asiurushe kwa simu kama anania ya dhati ya kusaidia?? Kuna haja ya kuchukua waandishi wa habari lukuki na kuwalipa kwa minajili ya kurekodi tukiohilo?? Hujawahi kusikia mradi wa maendeleo unafanyiwa hujuma ili mtu aonekane ameshindwa?? Mfano juzi hapa uingereza kuna mtz ameiombea team ya tz hadharani ifanye vibaya ili watz tujue kuna udhaifu ndani ya chama cha riadha (RT). Muda mwingi katika maisha tunajifunza/tunasoma vitu visivyo na maana kabisa, angalia local social networks na blogu zetu zimejikita kwenye malengo ya kisiasa na udaku. Lini tutajifunza kutunza barabara za lami ili zidumu badala ya kulalamika nani kala 10%? Lini tutajifunza kufanya kazi zetu ziwe za kimataifa na kuacha kulalamika kwamba wanaofanya hivyo ni frimazon?? Hatuoni watu wakibomoa barabara nzuri ya lami kisa mtoto kagongwa na gari?? Hatuoni kingo na alama za barabara zikiharibiwa katika mradi wa njia ya kasi Dar ambao hata haujaisha?? Tunayazungumzia kisiasa tu majanga yote iwe mafuriko, magonjwa ya mlipuko nk. Tusijidanganye kuwa tumerogwa. Tumeyataka wenyewe kwa kukumbatia na kutegemea kuishi kwa uccm, ucdm, ucuf, uact.... HAO WOTE NDIYO WA KULAUMIWA.

I Partially concur with what you have written.
I am what they call type A personality, highly competitive,rightious and would never take bullshit from anyone, i always call a spade a spade,not otherwise. unfortunately these traits made me incompatible with what is going on in my country, hence my decades exodus from the country i love dearly.
Uliyoyasema kuhusu upuuzi wa TZ ni vitu vya ukweli na vinavyoendelea kila siku, na vinawafanya wasafi na wachafu kufanana,hata kama wewe usipokuwa mchafu utachafuliwa by association.Huwezi kuwa kwenye MUD PIT ukajiita msafi, sidhani kama kuna anayeokota chakula jalalani akasema hiki kisafi kwa kuwa hakijachafuka na jalala bado,natumai unanielewa.
Kujiepusha kwako na uchafu wa jalalani hakukusaidii as long as uko kwenye jalala.njia pekee ya kuwa msafi ni kutoka nje ya jalala na kulisafisha au kulisafisha ukiwa humo ndani.

Sehemu ya pili ya comment yako umeelezea vizuri kwa nini walalmikaji na walalamikiwa kuwa wote ni wachafu. Charles de Gaulle once said " politics is too serious a matter to be left to the politicians "
 
Hizi barabara nyingi hazifate taratibu za kawaida za ujenzi....hazifanyiwi usanifu....wala hazisimamiwi ipasavyo wakati wa ujenzi. Kuna baadhi zinasimamiwa na TanRoads ila ni yale yale.

Hii ya st Mary's mkuu ni ya kipekee.....ilifumuka matabaka ya chini......ikawa kama tope limewekwa barabarani kisha likafunikwa kwa lami.

Wondering kama tunaweza kupata mwandishi mmoja akaandika kitu fulani....kuanzia zilipojengwa, gharama, design period nk. Zikafanyiwa technical auditing hivi....

Swadakta mkuu,

Design life ya lami mara nyingi ni miaka 20 kwa code zetu, unless iwe ni staged construction.

Ni kama ile kilwa road. ....hadi leo bado inafumuka.

Siamini kama ni ishu ni wataalam. Tatizo ni mfumo usioruhusu weledi kuchukua nafasi yake.
Pia siku hizi watu wakisikia mradi hawafikirii utakuaje na utaleta manufaa gani kwa umma....wanawaza kula tu. Kuanzia planning....procurement...na construction ni kufikiria ulaji tu.

Halafu kucha kuchwa watu wako humu ndani kumsifia MAGUFULI.yani nchi hiyo expectations ziko chini kiasi kwamba hata upuuzi ukipakwa rangi na kupuliziwa marashi watu watausifia na kuupigia vigelegele.
 
Na maajabu zaidi, utaona contractor huyohuyo aliyeboronga anapewa kazi zaidi na zaidi na zaidi, huku akipewa sifa lukuki na hao vichwa maji mliowachagua waiongoze hiyo nchi.
Unholy trinity ya rushwa ilishaanzishwa hapo, na inafanyakazi kwa miradi na mitadi.
 
Back
Top Bottom