masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,588
barabara hiyo iko chini ya halmaahauri ya jiji...alafu kumbuka lami iliwekwa kwa sababu ya hyo anayeishi hapo karibu iron lady spika....kweli barabara zote huko ovyo hata ile ya makumbusho kupitiaa kwa akachube ovyoooo.....ila nmegundua wa tz hatupendI kutengeneza kitu kika dumu wao wanataka iaribike wapige hela tena kwa hapo ndo unakuta badala ya kwenda hatua 7 mbele tunarudi nyumaa...viongozi wetu syo wazalendo
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.
Nani kala 10% hapo?
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.![]()
Nani kala 10% hapo?
Sijui wasimamizi wa kazi hiyo walikuwa wapi mpaka kazi ikaharibika hivi!Kati ya barabara mbovu niliyopata kuishuhudia toka hatua za mwanzo mpaka kukamilika kwake ni hii barabara.
Ilijengwa wakati wa masika kali, drainage system hakuna,..
Yaani ni shidaa,..
Heri sasa hivi ina walau lami.
Zamani yalikuwepo makorongo yenye mavumbi na tope mvua zikinyesha.
Nilishawahi kunasa na gari yangu hapo ikabidi niwape masela buku 10 kuisukuma.
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.
Nani kala 10% hapo?
![]()
Mkuu hii barabara ni substandard kwa hali ya kutisha.
Aliyejenga analiangusha jina la wakandarasi, na aliyekela 10% vile vile kwa kuikubali baarabara hii.