Barabara ya Mabatini, Kijitonyama: Nani kala 10%?

I Partially concur with what you have written.
I am what they call type A personality, highly competitive,rightious and would never take bullshit from anyone, i always call a spade a spade,not otherwise. unfortunately these traits made me incompatible with what is going on in my country, hence my decades exodus from the country i love dearly.
Uliyoyasema kuhusu upuuzi wa TZ ni vitu vya ukweli na vinavyoendelea kila siku, na vinawafanya wasafi na wachafu kufanana,hata kama wewe usipokuwa mchafu utachafuliwa by association.Huwezi kuwa kwenye MUD PIT ukajiita msafi, sidhani kama kuna anayeokota chakula jalalani akasema hiki kisafi kwa kuwa hakijachafuka na jalala bado,natumai unanielewa.
Kujiepusha kwako na uchafu wa jalalani hakukusaidii as long as uko kwenye jalala.njia pekee ya kuwa msafi ni kutoka nje ya jalala na kulisafisha au kulisafisha ukiwa humo ndani.

Sehemu ya pili ya comment yako umeelezea vizuri kwa nini walalmikaji na walalamikiwa kuwa wote ni wachafu. Charles de Gaulle once said " politics is too serious a matter to be left to the politicians "
Mkuu , as much as I concur with your position, laki kwa vile umetoka nchi ya wachafu nawe ni mchafu tu.
Akili inasema lazima tujisafishe, tusingojee mtu mwingine toka nje atusafishe, na ndio maana ya whistle blowing ya mada kama hizi.
 
Estim kajenga Tegeta - mwenge rd na bagamoyo - msata. Zote mbovu
Mkuu hiyo ishu yaweza kuwa mada, tena kubwa kuliko hii.
Nimepita majuzi , 1st 10 kilometres toka Msata kuja Bagamoyo ni aibu tupu.
 
Mkuu , as much as I concur eith your position, lskini kwa vile umetoka nchi ya wachafu nawe ni mchafu tu.
Akili inasema lazima tujisafishe, tusingojee mtu mwingine toka nje atusafishe, na ndio maana ya whistle blowing ya mada kama hizi.

I totally agree with you, It took me sometime to adopt to new civilization to understand the level of discipline that is needed to work here.But, i probably am lucky as i left Tanzania that was disciplined,so it wasn't hard a task to up my ante.I am actually annoyed with how low we have sunk. We used to be poorer but with a lot of discipline and adorers. now we are just empty wannabes.

What surprises me is people who passes through that road everyday, dont' act. the residents of the neighborhood, thinks it's ok by not acting. To my knowledge whistle blowing happens for things that are hidden to the public, how does one whistle-blow something as obvious as a ROAD?! blowing secret gas contracts come to mind as a whistle blowing action, it's hidden from general public. THESE ROADS are not even secretive.they are out there. the fact that they are there in the open signify that people are content/dirt.
 
Kwa hakika barbara zote zinazijengwa wilaya ya Kinondoni ni majanga, barabara bora zipo wilaya ya temek halmashahuri yao walijitahidi sana kusimamaia hizo,
kuna siku nilikuwa kinondobi wilayani na nikakutana na hao maengineer wa kinondoni tulibishana sana kuhuzu AKACHUBE ROAD ilivyobomoka yani jamaa hawaoni hata haibu kuitetea , kifupi maengineer wao watakuwa ni vimeo kwa kupiga Hela.
 
Angalia aina ya viongozi unaweza pata pa kuanzia!!!!
 
Wapiiiii, viongozi wenyewe hawana uchungu na nchi yao sembuse hawa walalahoi contractors? Mtu badala ya kutengeneza barabara yeye anaweka udongo wa ufinyanzi ukikauka anapaka lami (mafuta ya taa na dizeli).

Inasikitisha kwa kweli...
 
Hii issue ni simple Hii ni sawa na JENGO KUBOMOKA!! HUWEZI KUTUMIA ZAIDI YA MILION 1700 KWA BARABARA KAMA HII!! Mhandisi wa barabara wa manispaa atakuwa anahusika!! Hakuzingatia professionalism!! Hii ni hatari kwa pesa za mimi Mlipakodi!! Huyu Mkandarasi ni mzoefu wa kuonga na kuchakachua ubora!! Ununio area, Tabata saint maries, na hiyo nk,nk Hawa wanaitwa Delmonte Wafungiwe na penalt Juu!! Mhandisi mshauri Kikaongoni
 
Kunawanao beza utekelezaji wa ilani yetu ya uchaguzi kuwa hatujafanya kitu, inamaana hawaoni mabarabara.
 
Hii issue ni simple Hii ni sawa na JENGO KUBOMOKA!! HUWEZI KUTUMIA ZAIDI YA MILION 1700 KWA BARABARA KAMA HII!! Mhandisi wa barabara wa manispaa atakuwa anahusika!! Hakuzingatia professionalism!! Hii ni hatari kwa pesa za mimi Mlipakodi!! Huyu Mkandarasi ni mzoefu wa kuonga na kuchakachua ubora!! Ununio area, Tabata saint maries, na hiyo nk,nk Hawa wanaitwa Delmonte Wafungiwe na penalt Juu!! Mhandisi mshauri Kikaongoni
Du kumbe watu wana data, na wako nazo kimya!
Sasa ndo hata ndani ya Kinondoni Municipal kuna wananchi hawapendezwi na uchafu huu!!
 
attachment.php
Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.

Nani kala 10% hapo?
Unamuuliza nani? wakati mkiwa kwenye vikao vyenu huko lumumba si uwaulize?
 
Watanzania hatutaendelea maisha yetu yote, labda wajukuu wa wajukuu zetu ndio wataanza kuleta maendeleo ya kweli.

Utakuta hapo contractor Mtanzania, client Mtanzania, consultant Mtanzania. Wote wizi, waongo, wazembe, wala na wapokea rushwa.

Kuna kuendelea hapo?

Uko sahihi Kabisa. Nafahamu Kampuni iliyojenga barabara ya K/nyama ni Del Monte(T) Ltd, kampuni iliyoandikishwa hapa Tz 1995. Ni moja ya kampuni zenye kufanya kazi za ovyo na nadhani ni moja ya makampuni yanayoshirikiana na watendaji serikalini kupika na kula rushwa. Barabara zao nyingi ni honyo ikiwa ni pamoja na kile kipande cha pale Makongo juu. Watendaji serikali kwa kushirikiana na hawa wezi wanaturudisha nyuma kwa kasi ya kubwa kuliko ile ya kwenda mbele.
 
Wako busy na Big Results Now!!!
Wakati huo huo small results zinawapiga chenga!

It won't mature!!!!!
Because they will need eggs to bake a cake and unfortunatelly these fellows are busy eating chicken supposed to lay eggs for the same!!!
 
I totally agree with you, It took me sometime to adopt to new civilization to understand the level of discipline that is needed to work here.But, i probably am lucky as i left Tanzania that was disciplined,so it wasn't hard a task to up my ante.I am actually annoyed with how low we have sunk. We used to be poorer but with a lot of discipline and adorers. now we are just empty wannabes.

What surprises me is people who passes through that road everyday, dont' act. the residents of the neighborhood, thinks it's ok by not acting. To my knowledge whistle blowing happens for things that are hidden to the public, how does one whistle-blow something as obvious as a ROAD?! blowing secret gas contracts come to mind as a whistle blowing action, it's hidden from general public. THESE ROADS are not even secretive.they are out there. the fact that they are there in the open signify that people are content/dirt.
Mkuu you have been away from Bongoland, it seems for too long.
Huku mambo ni ulaji, lakini ulaji mwingine ni haramu kabisa, kama huu.
Wale wa ju hawajui nini kinaendelea chini yao, mimi sina uhakika kama Mkurugenzi wa Kinondoni anayajua haya ya barabarani.
Tru, whistle blowing is a scretive insider revealer who exposes an illegal act.
Katika hili nia yangu kuonyesha , to the public, yale yasiyotakiwa kufanyika katika miradi kama hii ya barabara.

Sisi tunapita barabara hizi za michepuko kila siku tukienda CBD kazini, day in, day out, kazi hii tunaiona.

Sijawahi kusikia msafara wa Rais barabara hii, sembuse wa Magufuli au Waziri Mkuu.
Hata hivyo kingunge aliyepo, na anaishi sehemu hizo ni Mama Spika, Anna Makinda.
Tukitegemea kama kiongozi, ingalau angepiga kelele kuwa karibu na nyumbani kwake ameshuhudia uozo wa kikandarasi katika ujenzi wa barabara, lakini kimya.

Hivyo basi, whistle blowing hapa ni kupiga makelele ingalau watu wajue hela yao inavyotumiwa vibaya.
 
Magufuli akiwarudisha site Kwa gharama zao mnalalamika eti ana maamuzi ya kibabe...rudisha hawa site John Pombe Magufuli
 
Mkuu you have been away from Bongoland, it seems for too long.
Huku mambo ni ulaji, lakini ulaji mwingine ni haramu kabisa, kama huu.
Wale wa ju hawajui nini kinaendelea chini yao, mimi sina uhakika kama Mkurugenzi wa Kinondoni anayajua haya ya barabarani.
Tru, whistle blowing is a scretive insider revealer who exposes an illegal act.
Katika hili nia yangu kuonyesha , to the public, yale yasiyotakiwa kufanyika katika miradi kama hii ya barabara.

Sisi tunapita barabara hizi za michepuko kila siku tukienda CBD kazini, day in, day out, kazi hii tunaiona.

Sijawahi kusikia msafara wa Rais barabara hii, sembuse wa Magufuli au Waziri Mkuu.
Hata hivyo kingunge aliyepo, na anaishi sehemu hizo ni Mama Spika, Anna Makinda.
Tukitegemea kama kiongozi, ingalau angepiga kelele kuwa karibu na nyumbani kwake ameshuhudia uozo wa kikandarasi katika ujenzi wa barabara, lakini kimya.

Hivyo basi, whistle blowing hapa ni kupiga makelele ingalau watu wajue hela yao inavyotumiwa vibaya.

Oh, now i understand the whistle blowing from this point of view.

Kama huyo Mkurugenzi wa manispaa ndogo kama kinondoni hajui watu wanaboronga barabara, structure ya uongozi hiyo nchi inatakiwa ibadilike.Na aliyewateupa anahitaji kuwa booted, kwani ndio root of the problem kutuwekea wakurugenzi wasiojielewa.
 
Kwa hakika barbara zote zinazijengwa wilaya ya Kinondoni ni majanga, barabara bora zipo wilaya ya temek halmashahuri yao walijitahidi sana kusimamaia hizo,
kuna siku nilikuwa kinondobi wilayani na nikakutana na hao maengineer wa kinondoni tulibishana sana kuhuzu AKACHUBE ROAD ilivyobomoka yani jamaa hawaoni hata haibu kuitetea , kifupi maengineer wao watakuwa ni vimeo kwa kupiga Hela.

Del Monte ndio wenye tenda ya hizi barabara za mitaani. Namfahamu Bw. Rupia, mmiliki wa Del Monte kama mgawa rushwa wa hali ya juu mno. Hua anagawa bahasha mpaka kwa wafagizi.

Barabara ya Akachube na hii ya Mabatini zina ujazo wa Lami usiozidi hata inch 1. Yaani ni aibu mno kwa kweli, na madiwani + wabunge wamekaa kimya tu! Q
 
Back
Top Bottom