Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Dah mashine za EFD ni balaa aisee. Hakuna mtu hataki lipa kodi ila tuone return babake.
 
Dah mashine za EFD ni balaa aisee. Hakuna mtu hataki lipa kodi ila tuone return babake.
 
Da ni pigo kwetu wateja.

Waatoa chakula kizuri sana pamoja na huduma .

Wao pamoja na Calabash, Hisaje wako juu jijini Dar.

Hata hivyo kuna kaharufu ka ile biashara ingine kubwa zaidi hapo.


kataje haki ka harufu
 
kwa kakobe mbele, katalunya nyuma,

wakuu nilikuwa mwendaji pale katalunya lakn kabiashara kenyewe ni kapi, nitoeni tongotongo
 
Pia wameanza kumfata kama wiki sasa na nimekutana na maafisa wa TRA wiki iliyopita
 
Hebu fikirieni nchi hii ilivyo kimagumashi. Wanashindwa kutoza kodi kwa migodi wanakimblia baa tena wanaifunga. Kwani hizo bia
si zina bei elekezi na tayari zimelipiwa kodi? Wakati mwingine hao viongozi wa TRA wawe wanajiangalia mienendo yao.
 
Karibuni sana 7&7ipo karibu na kituo cha ovacado jeshini ni boonge la bar upate kitu roho inataka na utulivu wa hali ya juu chakula ndio usipime hamtajutia

na huko kuna wahudumu waliovaa vimini? :A S embarassed:
 
Back
Top Bottom