Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

na huko kuna wahudumu waliovaa vimini? :A S embarassed:
Mhhh unaweza jichanganya ukakuta lijamaa limevaa gwanda lenye nembo ya MP liko mbele yako linauliza "harooooo nikuhudumie nini...?"
 
Mkuu badilisha avatar basi Catalunya umeshapafaham na swaga zitakuwa za town now
hahahaha.....mbona funenga tu hiyo Avatar jombaa...Swagga huwaga hazibadiliki we jamaa,,,We hujashtukia kwamba unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashidwa kutoa kijiji ndani ya mtu?
 
Khaaa! wanawake wazuri wa Chuo cha Ardhi na Chuo kikuu tutawatoa wapi?
 
Hivi hivi vibanda vya gongo navyo vinatumia EFD?
 
Mhe mwigulu usije ukawaona watu wenye bar ukajua wana pesa sana fuatilia watu wengi wenye bar wana maisha ya kawaida sana
 
TRA WANGESE SANA...biashara ngapi hazina risiti...? Tena kubwa kubwa...mazafanta ..
Watu tunauziwa gold za bei bila risiti na hawawafanyi chochote wahindi wale wa posta...ndo sembuse 4000/5000 mxiuuuu
 
Mhhh unaweza jichanganya ukakuta lijamaa limevaa gwanda lenye nembo ya MP liko mbele yako linauliza "harooooo nikuhudumie nini...?"

hizo bar kwa kichwa panzi kama mimi lazma nije nikiwa nimevaa helmet incase nikichezea kichapo..:lol:
 
hizo bar kwa kichwa panzi kama mimi lazma nije nikiwa nimevaa helmet incase nikichezea kichapo..:lol:
Unadhani wanajeshi wamefundishwa kupiga kichwani tu, jaribu at your own risk...
 
Mhudumu naomba tafadhali niitie mtu wa Jikoni, au mwambie aniletee makenge ya mbuzi
na kongolo bomba.
 
Mhudumu naomba tafadhali niitie mtu wa Jikoni, au mwambie aniletee makange ya mbuzi
na kongolo bomba.
 
Back
Top Bottom