Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,469
Maafisa wa TRA muda huu wanaifunga bar ya catalunya iliyoko mwenge jijini DSM kwakutotoa risiti za mamlaka hiyo ( kieletroniki) licha ya Kua Na mashine hizo na wamekua wakitoa risiti za kuandika kwa mkono licha ya maonyo kadhaa

Meneja wa bar hiyo maarufu jijini aljpoulizwa sababu za kufanya hivyo alisema mashine hizo zimekua zikisumbua katika utendaji kazi jibu ambalo haliwakuridhisha maafisa hao nakupiga kufuli kila kona na wameamriwa kutofanya biashara yoyote mpaka watakapo wasiliana na mamlaka hiyo!

Source Mimi mwenyewe Niko eneo la tukio!
 
Da ni pigo kwetu wateja.

Waatoa chakula kizuri sana pamoja na huduma .

Wao pamoja na Calabash, Hisaje wako juu jijini Dar.

Hata hivyo kuna kaharufu ka ile biashara ingine kubwa zaidi hapo.
 
ah sa makange na kiepe ntakua nakula wapi tena!!! hawa tra wanawivu wa kike..... aaargh
 
Karibuni sana 7&7ipo karibu na kituo cha ovacado jeshini ni boonge la bar upate kitu roho inataka na utulivu wa hali ya juu chakula ndio usipime hamtajutia
 
TRA wana wivu sana na njaa kali, hapo wakidakishwa muda mfupi tu utasikia imekua re opened.
 
Njaa tu zinawasumbua, au mchongo kuna bar kibao hazitoi risit za EFD na maduka kibao makubwa hizo zitakuwa fitna za kubiashara na wivu wa kwa nini wao wauze na wavume kuliko sisi wakongwe
 
Karibuni sana 7&7ipo karibu na kituo cha ovacado jeshini ni boonge la bar upate kitu roho inataka na utulivu wa hali ya juu chakula ndio usipime hamtajutia

Its triple 7 sio 7&7 ni bar Dada ya rose garden!
 
Ebu nielekzeni, mwenge eneo gani, nikatoe hayo makufuri sasa hivi, vijana waendelee kupata msosi wao!
 
Back
Top Bottom