grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Hata serikali inawaheshimu maana ndiyo wanachangia Bajeti ya Nchi kwa kiasi kikubwa...Wa tz mnapenda pombe saa hizi uko baa?
Serikali yenyewe haibughudhi wanywaji ndiyo maana ikaruhusu kila bar iwe na parking ya magari, bodaboda nk ingawa serikali hiyo hiyo inasema kulewa na kuendesha gari ni kosa la jinai.