Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

Maafisa wa TRA muda huu wanaifunga bar ya catalunya iliyoko mwenge jijini DSM kwakutotoa risiti za mamlaka hiyo ( kieletroniki) licha ya Kua Na mashine hizo na wamekua wakitoa risiti za kuandika kwa mkono licha ya maonyo kadhaa

Meneja wa bar hiyo maarufu jijini aljpoulizwa sababu za kufanya hivyo alisema mashine hizo zimekua zikisumbua katika utendaji kazi jibu ambalo haliwakuridhisha maafisa hao nakupiga kufuli kila kona na wameamriwa kutofanya biashara yoyote mpaka watakapo wasiliana na mamlaka hiyo!

Source Mimi mwenyewe Niko eneo la tukio!

Serekali isiyokusanya kodi huwa inakimbizana na wafanya biashara dogo dogo huku mitaani nukuu mwalimu nyerere
 
wezi wa magari na mishentown watakoooma cjui kijiqe kitahamia wepi ni sheeeder
 
Maafisa wa TRA muda huu wanaifunga bar ya catalunya iliyoko mwenge jijini DSM kwakutotoa risiti za mamlaka hiyo ( kieletroniki) licha ya Kua Na mashine hizo na wamekua wakitoa risiti za kuandika kwa mkono licha ya maonyo kadhaa

Meneja wa bar hiyo maarufu jijini aljpoulizwa sababu za kufanya hivyo alisema mashine hizo zimekua zikisumbua katika utendaji kazi jibu ambalo haliwakuridhisha maafisa hao nakupiga kufuli kila kona na wameamriwa kutofanya biashara yoyote mpaka watakapo wasiliana na mamlaka hiyo!

Source Mimi mwenyewe Niko eneo la tukio!

Unauza magari boss!???
 
Serekali isiyokusanya kodi huwa inakimbizana na wafanya biashara dogo dogo huku mitaani nukuu mwalimu nyerere

Na kuwaacha mabilionea wakiwa na ma-tax exemption ya kufa mtu kila eneo mpk viatu wanavyovaa-this is really bad.
 
wale wezi wa esikro wamesamehewa wanaenda kukimbizana na mtu anayeuza kongoro na ugali wa elifu nne??

na yule seti singasinga yuko wapi??

hii nchi ya matajiri bwana masikini siye tuliye tu
 
wale wezi wa esikro wamesamehewa wanaenda kukimbizana na mtu anayeuza kongoro na ugali wa elifu nne??

na yule seti singasinga yuko wapi??

hii nchi ya matajiri bwana masikini siye tuliye tu

Hii ndo tanzania nchi ambayo majambazi wanakumbatiwa ,wananchi wananyanyaswa
Yan mtu anaiba halafu analindwa na viongozi wa ngazi ya juu kabisa mpaka wa chini aka polisi
 
Ukisoma ripot ya zitto kabwe,misamaa ya kodi ya mwaka huu peke yake ni zaidi ya trion tano,sasa kwenye vibaa utapata hizo pesa kweli?
 
Karibuni sana 7&7ipo karibu na kituo cha ovacado jeshini ni boonge la bar upate kitu roho inataka na utulivu wa hali ya juu chakula ndio usipime hamtajutia
aiseee babayangu iyo karibu na jeshi c wataniua manake nikishaweka kilimanyaro zangu 9 kichwani matusi kwa wing ma mp c watanivunja miguu
 
Aisee mtoa taarifa mkuu rombo ni pale kwa maangulwa au ni pale keni mengeni? ahi! mmeku akwa!
 
Duuuu Sasa Richard Mziray na Cynthia watakula nini ndio ilikuwa kete yake ya mwisho hiyo inayompa ridhiki.

Kwa taarifa yako wala siyo ya Cynthia na Mziray ni ya Uncle wake Cynthia anaitwa Nditi wengine wanasema ni ya jamaa flan injia wa manispaa japo haifahamiki!
 
Da ni pigo kwetu wateja.

Waatoa chakula kizuri sana pamoja na huduma .

Wao pamoja na Calabash, Hisaje wako juu jijini Dar.

Hata hivyo kuna kaharufu ka ile biashara ingine kubwa zaidi hapo.
Hako kabiashara ndiko kanalipa zaidi katika baa nyingi Bongo.
 
Da ni pigo kwetu wateja.

Waatoa chakula kizuri sana pamoja na huduma .

Wao pamoja na Calabash, Hisaje wako juu jijini Dar.

Hata hivyo kuna kaharufu ka ile biashara ingine kubwa zaidi hapo.

Hilo la biashara kubwa ile nyingine mbona inaeleweka na wakubwa wote toka hiyo bar imefunguliwa ila ndio vile wanapendaga kujidai kama hawalielewi hilo... Hiyo EFD wanaikwepa kwa kuwa wanajua watapigwa kodi kubwa ndio maana wanakimbilia risiti za vitabu ili iwe rahisi kukwepa kodi
 
Back
Top Bottom