Maafisa wa TRA muda huu wanaifunga bar ya catalunya iliyoko mwenge jijini DSM kwakutotoa risiti za mamlaka hiyo ( kieletroniki) licha ya Kua Na mashine hizo na wamekua wakitoa risiti za kuandika kwa mkono licha ya maonyo kadhaa
Meneja wa bar hiyo maarufu jijini aljpoulizwa sababu za kufanya hivyo alisema mashine hizo zimekua zikisumbua katika utendaji kazi jibu ambalo haliwakuridhisha maafisa hao nakupiga kufuli kila kona na wameamriwa kutofanya biashara yoyote mpaka watakapo wasiliana na mamlaka hiyo!
Source Mimi mwenyewe Niko eneo la tukio!