HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
Ni kweli karudi ccm, mwananchi online nao wameandika
Bado yule Dr Hawa Sinare.
Ni kweli karudi ccm, mwananchi online nao wameandika
Naamini sasa kuwa unapozeeka uwezo wa kupambanua mambo unapungua, huyu mzee sasa kachokaAnarudi kwa sababu anaogopa shughuli zake na za washirika wake zisianguke...... Lol...
Nimerudi kwa sababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba CCM ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama.
Wakikubaliwa sitaamini tena na tena wanasiasa na vyama vyao ingawa siwaamini sasa ila itakuwa level nyingine ya unafiki hii.Kwani kosa lake ni nini si nihaki yake? Lowasa,kingunge sumaye wanaweza rudi si ajabu.
kwani wewe unaelewa nini?Na bado, kuna watu huwa hawaelewi tunaposema Chama Dola tunamaanisha nini!
Mkuu hujaona video fb?Hakuna kitu kibaya Mpwa kama kutojiandaa kimaisha, unategemea blaa blaa ndio uishi, ni hatari sana, kwamfano nanihii akiondolewa kwenye Uwaziri leo hii ataishije? au kwa mfano wale Wakuu wa Mikoa na Sefue pia wataishije thereafter? Labda kama walikua na plan B ambao wengi wao kwa kweli hawana. Matokeo yake ndio haya kuwa mropokaji japo kutoka moyoni mwangu kabisa nashindwa kuamini kama ni kweli hii statement ni ya kwake.......huenda pia kuna mchezo wa kutuhamisha toka kwenye ishu ya uchaguzi wa Meya Dar na House Arrest ya Maalim Seif.
Harafu huyu Babu alihama kwa mbwembwe nyingi lo ni muda.Namuonea huruma babu Kingunge haujui hata la kufanya anashindwa amlaumu nan
Harafu huyu Babu alihama kwa mbwembwe nyingi lo ni muda.
Na sasa nimeamua kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali kwa sababu tu huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu.[/QUOTE]
Kumbe serikali inakwamisha shughuli za watu kwa kuwa siyo wanachama wa ccm?
Na hapo ukichunguza ndipo utajua ni kwa nini hatupigi hatua kama nchi kwa sababu wenye vyeo (wafanya maamuzi) ni waoga na wasaliti/fitina.Hawa ndio wanafiki wauza nchi, mtu kama huyu hafai kuwa hata kiongozi wa familia eti "Nililewa mahaba ya Lowassa, nililewa ahadi ya Lowassa kunipa uwaziri wa mambo ya Nje. Niliamini mafuriko ya Lowassa ambayo yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi. Tulikubaliana na wenzangu kwamba wiki mbili zamwisho tuihame CCM kwa wimbi kubwa ili kuitikisa na kuitoa madarakani. Lakini baadhi wakaogopa na hadi sasawengine wamebaki CCM na wana vyeo.
Kwa Hawa sinare sidhani! Yule ana life Kali mjini... Anaendesha Bentley na Lamborghini kitambo sanaBado yule Dr Hawa Sinare.
Hahahaha mkuu nimecheka hadi machozi dah.Leo na Kiswahili kaongea tena kizuri kabisa na methali juu, huwa anajifanya hata Kiswahili hataki kuongea dadadeki!
Still.Siyo swala la kusoma au kutokusoma Its esconomy, Stupid! alisema B. Clinton, hata fisadi Lowasa ni swala la muda tu, kwa kifupi hawa wote ni wezi hivyo wanafikiri wakirudi na kujisalimisha CCM watapona Magufuli ameshaanza kubana pole pole leo mashamba yetu yamerudishwa na kubwa klk yote ni IPTL Magufuli amesema anavunja mkataba sasa huwo mzunguko wa wizi ni mkubwa sana!