na kwa mkubwa km huna mtaji kwel haoni faida yako yy hela kwanza mengine baadaeImekuaje tena huko,wamemuomba hela nini?maana jaama kwa kukaba hawajambo.Kaenda chama cha wanyang'anyi,anategemea nini? Hesabu zimegoma. hahahahha.
TANZANIA ni nchi ya FURAHA SAAAAAAANA !!!Nothing wrong if done in a free country
Hata lowasa aweza rudi chezea siasa wewe.Bado tuna imani Na lowassa yeye Na aende tu atuachie lowassa wetu, ni aibu kwa taifa Kuwa Na wazee aina ya huyu Juma
Hajaandika wakati hapo kuna statement chini ina jina lake?
Ndiyo maana nikauliza hii statement kaandika yeye au anapakaziwa tu?
At this rate sioni tofauti ya the gentry and the social climber Tanzania.
Kina Mwapachu wamemkaribisha na kumtambulisha Nyerere Uingereza alivyoenda kusoma.
Wao ndio walikuwa matawi ya juu tangu enzi za ukoloni.
Sio watu waliokuja mjini juzi.
Wakitoa habari kama hizi wanaaibisha wasomi, wanaojiita wajanja mjini, vipanga wa foreign etc.
I would expect this from the Johnny come lately kina Sumaye, but I guess politics never ceases to surprise.
Biashara zake na Washirika wake zisikwamishwe na Serikali.......kama alimua kuiacha ccm kwenda ukawa kwaajili ya uwaziri wa mambo ya nje swali ni je! ameirudia ccm kwa lengo gani!,?
Hakuna kitu kibaya Mpwa kama kutojiandaa kimaisha, unategemea blaa blaa ndio uishi, ni hatari sana, kwamfano nanihii akiondolewa kwenye Uwaziri leo hii ataishije? au kwa mfano wale Wakuu wa Mikoa na Sefue pia wataishije thereafter? Labda kama walikua na plan B ambao wengi wao kwa kweli hawana. Matokeo yake ndio haya kuwa mropokaji japo kutoka moyoni mwangu kabisa nashindwa kuamini kama ni kweli hii statement ni ya kwake.......huenda pia kuna mchezo wa kutuhamisha toka kwenye ishu ya uchaguzi wa Meya Dar na House Arrest ya Maalim Seif.Duh mbona sisi tusiowahi shika hata cheo cha ukatibu kata hatuhangaiki hivi? Inakuaje wazee wasomi na walioogelea kwenye vyeo miaka nenda rudi wana kuwa waoga wa maisha namna hii?
Aisee Ndio maana nchi hii kupata maendeleo bado sana!!
Umegonga kwenyewe mkuu...ulijuaje hili sakata!!!?????Haionekani kama lugha ya Balozi Mwapachu but anyway, alihama CCM kwa njaa zake na kama karudi basi ni kwa sababu ya utaratibu uleule wa kwake....KUGANGA njaa! na bila shaka MAERSK wanadaiwa kodi.
Mkuu nimechangia tu kama tetesi ,Mwapachu hichi siamini kama yeye ndie kaandikaMkuu kuna uhakika kuwa ni yeye kaandika? Japo kurudi CCM anaweza kurudi lakini siamini kama anaweza kuwa mbumbumbu namna hii. Watakuwa watu wamemchomekea baada ya kujua karudi CCM
Kwani kosa lake ni nini si nihaki yake? Lowasa,kingunge sumaye wanaweza rudi si ajabu.Tuseme hii habari ni ya kweli....
Kwani hawezi kuishi bila ya kuwa CCM?
Yaani baada ya kuondoka kwa drama vile sasa anaamua kurudi tena?
Body language inatisha, speech incoherent. Blood shot eyes. I shudder to diagnose presumptuously.
basi vizuri kajiondoa chama kipate kupumua ila ccm ikimpokea basi tutapigilia msumari wa mwisho ule uchunguzi usemao watanzania ndo wanaongoza kwa unafikiBiashara zake na Washirika wake zisikwamishwe na Serikali.......