Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,742
- 3,672
Khah!..si rahisi kuamini kuwa Mwapachu anasema hadharani hivi, "NA SASA NIMEAMUA KULIFANYA JAMBO HILI KUBWA ILI MAGUFULI AJUE SASA NIKO NAYE KWASABABU SITAKI SHUGHULI ZANGU NA ZA WASHIRIKA WANGU ZIKWAMISHWE NA SERIKALI"... Ni kuhitimisha kwamba alitoka ccm kwa UCHU WA MADARAKA(apate uwaziri wa mambo ya nje) na anarudi ccm kwa hofu ya kasi ya magufuli KUTUMBUA miradi yake na washirika wake!..