Yeyote anayemshangaa Mwapachu leo basi hakufikiri vizuri wakati kipindi cha uchaguzi alipojiunga na Lowasa na Kingunge,it was so clear kwamba kuna tatizo mahala sio bure,lakini kwakuwa watu walifunikwa na wingu ambalo mpaka sasa sijalielewa bado ilikuwajekuwaje?2020 ni mbali sana. maisha ni magumu, ni wachache wenye kuvumilia....