Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Katika mifugo ile ya porini aka nyumbu bas ww ndo yuleee wa mbele anaeongoza msafara. [emoji89] [emoji85]

Yaani wewe k.. ukiona hii ID yangu ikalie mbali kabisa maana kama matusi na shombo zimelala hapa. Kajadiliane na mapeasant wenzako sio mimi. Huwezi kujadili kistaarabu weka hilo tope hapo nyuma pembeni sio kujifanya wa mjini wakati hapa mjini umeletwa na mjomba wako ukiwa above 30.
 
Mwapachu yuko exactly kama walivyo wana CCM walio wengi..
ni kuwaza kupiga dili kutwa
si ajabu na leo kuna fungu kapewa la kurudi CCM
childish Mwapachu full stop
Ndo mwapachu huyu huyu alishangiliwa sana na kuwa referrence point kubwa sana alipohama ccm na nyimbo zake za bruce lee na meneja!
Waliomponda wote walitukanwa sana hapa jukwaani.

Ila waswahili wasemavyo njia ya mwongo ni fupi, na ukweli wa mwapachu ushajulikana.
Sababu zake za kuhama ccm zilinishangaza ila za kurejea zimenishtua sana.
 
To be old is to be stressed and to have a bad memory
 
Kinachokuliza nini? Nyie ndio vibaraka wa wazungu mnaodhani demokrasia ni kubadili vyama na kuleta vyama vya vibaraka wa wazungu. Nimekudharau kabisa.
Huyu nae vipi mbona povu jingi!!!!,Hivi unawezaje kudharau mtazamo wa mtu mwingine???.
 
Watu wengi waliamini EL anashinda akiwemo huyu mwapachu. Na ikawa hivyo. Bahati mbaya hakupewa nchi
 
Kama kigezo ni demokrasia mtu Ana haki ya kuhama chama kimoja na kujiunga au kutojiunga na chama kingine.. Pia demokrasia inamruhusu binadam kurudia chama alichotoka akajiunga tena.... Bas nahis demokrasia hiyo hiyo inampa binadam haki ya kumfata ampendaye aliko na akiona amechemka anaweza kumwacha na kumfata mwingine aliko. HIYO NDIO DEMOKRASIA. Na moja ya maaana ya siasa ni NANI ANAPATA NINI? LINI? NA KWA NAMNA GAN! (WHO GETS WHAT, WHEN AND HOW) kwa hivyo sijamlaum sana mwapachu kwa uamuz wake LAKIN NIMEMWOGOPA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kurudi CCM hakuna anaekataa.
Bali kutaka cheo fulani ndani ya Chama hapo
Ndipo shida ilipo.
 
To be old is to be stressed and to have a bad memory
Mkuu,
Ukisema hivo utamfutia kiki Mzee Kingunge, mzee wa pumzi.
Maana yeye ni mzee kuliko Mwapachu, na wote wamehama ccm kipindi kimoja ili kumpa support boss lowassa.
Tukifuat 'lojik' yako ya umri, Kingunge atakuwa na stress kubwa sana na 'memory' mbaya kuliko Mwapachu.
 
Mwapachu amewaomba wanaccm 'mumsamehe mgange yajayo'....atashukuru kusikia nawe pia umemsamehe
 
Mkuu,
Ukisema hivo utamfutia kiki Mzee Kingunge, mzee wa pumzi.
Maana yeye ni mzee kuliko Mwapachu, na wote wamehama ccm kipindi kimoja ili kumpa support boss lowassa.
Tukifuat 'lojik' yako ya umri, Kingunge atakuwa na stress kubwa sana na 'memory' mbaya kuliko Mwapachu.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Wafanyabiashara wengi wakitoka ccm husumbuliwa tu. Na huyu disturbance zimemrudisha ccm sio kwamba ana kipenda ili mambo yake yamnyookee

na ndio sababu kubwa iliyomrudisha amesema mwenyewe
 
Back
Top Bottom