Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Watanznia mnashangaza saaana. Kuna mada ya kujadili kuwa balali alikufa? Aliyewadanganya kafa nani? Kwa uzi huu mnatuchanganya na majuha wengine wanaodanganyika. Mshikeni mk......were mumbane p.....mbu kama hajaenda kuwaonesha alipo.
 
Hii imejadiliwa humu ndani, Embu tafuta Thread Yake.
acha unafiki na wewe!kwani kujadili kitu kuna mwisho mawazo hubadirika!walicho jadili jana chaweza kuwa tofauti na cha leo!!
 
Kuna mambo mengi yanachanganya kwenye hii habari ya bwana gavana!
Lakini kuna watu wangapi wamekufa Tz hii na watu hawana muda wa kukaa na kuwadiscuss au kua na mashaka kua hawajafa??
Kwanini huyu bwana wapo wengi wanaoamini bado yupo??
Naamini maswali machache ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuyauliza yakipewa majibu ya uhakika, kila mtu ataamini Gavana hayupo tena katika Dunia hii!!!!
1. Kwenye mazishi yake serikali iliwakilishwa na wakina nani????
2. Kwanini waliamua kumzika huko huko, au hawakutaka tumlilie Gavana wetu??
3. Picha za mazishi yake ziko wapi, na alizikiwa wapi???
Wale wanaojiita ndugu zake wayajibu maswali.
 
kama ni yeye kweli au........am not sure ila nlipita tuu kwenye twitter nkakutana na charting za balali ( yeye kweli au sio cjui) na picha imewekwa akiwa shop ( si commit ukweli au uhalisia wake mana sina uhakika hata mimi binafsi). Nashare tuu nlichokikuta twitter........

18 Mar Daudi Balali ‏ @daudibalali

Purchasing groceries in Lauer's Maryland on Friday, 16th March 2012. http://twitpic.com/8y30xe

View photoHide photo

Flag this media
TwitPic.png
TwitPic

Mkuu hiyo picha ni kama adobe photoshop imetumika kwa kiasi kikubwa? Angalia saizi ya kichwa na mwili havilingani hivi. Ni angalizo tu.
 
wahenga walinena-nyumbani ni nyumbani tu,huko aliko ameshachoka kukaa ugaibuni sasa anatamani kurudi home lakini imeshindikana kwasababu anatumika kulinda maslahi ya watu,na kama kuna mtu ana amini kuwa balali alikufa basi huyo ni mwendawazimu!naelewa mengi sana kuhusu balali na ipo siku itafahamika tu,wahenga leo twanena"ukificha maradhi kifo kitakuumbuuua"subirini magamba waende chali itafahamika.
 
Ndugu yangu, magamba kutoka madarakani sahau. Watatumia mbinu zote zilizopo duniani ili mradi tu wasitoke madarakani kwani.uozo uliofichika ni mkubwa hakuna mfanowe ukiwemo huu wa Balali. Hata kwa gharama za damu za watu, pesa na hata kwa ushirikina ili wasitoke.
 
Siwezi sema kama Balali yu hai au la! Ila huyu jamaa anayaejifanya ni yeye kwenye twitter naweza sema ni mzushi anayetaka attention kwa kutumia vigezo vya picha alizoweka.

Picha zote ni fake zilizoungwa kwa photoshop. Ntazichambua mbili ambazo naona ndo popular hata kwenye magazeti zimetoka!

1. Ya kwanza ni hii (kazi mbovu ya photoshop) ambayo anadai alikua anafanya shopping Lauer's Maryland tarehe 16th March 2012! Original ya picha hiyo nimeiweka chini yake ambayo ukiangalia story yake hapa ilitoka December 2009!

Fake!

540977522.jpg

Original!

man-aisle1.jpg

2. Nyingine ni hii ambayo original yake nimeiambatanisha chini yake. Story ya original pic inapatikana hapa

attachment.php

02-cityroom-blog480.jpg

3. na ya mwisho original yake inapatikana hapa

564273876.jpg

Londres_04.jpg

Kuna mambo mengi yanachanganya kwenye hii habari ya bwana gavana!
Lakini kuna watu wangapi wamekufa Tz hii na watu hawana muda wa kukaa na kuwadiscuss au kua na mashaka kua hawajafa??
Kwanini huyu bwana wapo wengi wanaoamini bado yupo??
Naamini maswali machache ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuyauliza yakipewa majibu ya uhakika, kila mtu ataamini Gavana hayupo tena katika Dunia hii!!!!
1. Kwenye mazishi yake serikali iliwakilishwa na wakina nani????
2. Kwanini waliamua kumzika huko huko, au hawakutaka tumlilie Gavana wetu??
3. Picha za mazishi yake ziko wapi, na alizikiwa wapi???
Wale wanaojiita ndugu zake wayajibu maswali.
 
Wabongo tunajua kuwa Bw Balali ni marehemu. Alifariki na kuzikwa USA, hakuna aliudhuria hayo mazishi wala kupatikana kwa picha za hayo mazishi.

Hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter kajitokeza mtu anayedai kuwa yeye ni Bw Balali. Kuna gazeti liliandika kuhusu hiyo ishu. Cha ajabu bado huyu mtu anaendelea kutoa "tweets" kila mara.

Na leo kaweka picha anasoma kitabu pande za kwa obama. Je kama kweli huyu jamaa is indeed ALIVE! inakuwaje hapo ndugu zangu watanzania?

Yote yatajulikana tu we subiri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kitabu anachosoma ni Biblia Takatifu. Alikua Mkristo? Biblia yenyewe ndogoooo!
 
Siwezi sema kama Balali yu hai au la! Ila huyu jamaa anayaejifanya ni yeye kwenye twitter naweza sema ni mzushi anayetaka attention kwa kutumia vigezo vya picha alizoweka.

Picha zote ni fake zilizoungwa kwa photoshop. Ntazichambua mbili ambazo naona ndo popular hata kwenye magazeti zimetoka!

1. Ya kwanza ni hii (kazi mbovu ya photoshop) ambayo anadai alikua anafanya shopping Lauer's Maryland tarehe 16th March 2012! Original ya picha hiyo nimeiweka chini yake ambayo ukiangalia story yake hapa ilitoka December 2009!

Fake!

540977522.jpg

Original!

man-aisle1.jpg

2. Nyingine ni hii ambayo original yake nimeiambatanisha chini yake. Story ya original pic inapatikana hapa

attachment.php

02-cityroom-blog480.jpg

3. na ya mwisho original yake inapatikana hapa

564273876.jpg

Londres_04.jpg

Picha ya mwsho nakataa maana ukiangalia ya Bilali nyuma kuna mtu anapta na hii Nyingine hakuna mtu.
Jipange
 
Siwezi sema kama Balali yu hai au la! Ila huyu jamaa anayaejifanya ni yeye kwenye twitter naweza sema ni mzushi anayetaka attention kwa kutumia vigezo vya picha alizoweka.

Picha zote ni fake zilizoungwa kwa photoshop. Ntazichambua mbili ambazo naona ndo popular hata kwenye magazeti zimetoka!

1. Ya kwanza ni hii (kazi mbovu ya photoshop) ambayo anadai alikua anafanya shopping Lauer's Maryland tarehe 16th March 2012! Original ya picha hiyo nimeiweka chini yake ambayo ukiangalia story yake hapa ilitoka December 2009!

Fake!

540977522.jpg

Original!

man-aisle1.jpg

2. Nyingine ni hii ambayo original yake nimeiambatanisha chini yake. Story ya original pic inapatikana hapa

attachment.php

02-cityroom-blog480.jpg

3. na ya mwisho original yake inapatikana hapa

564273876.jpg

Londres_04.jpg

Wapuuzo nyie yaani mwaka huu tutayaona mengi sana kutokana kwanza Watanzania kuwa na akili za kushikiwa wengi wetu,
1 Mtaaminishaje wananchi waamini kwamba Balali kafa kweli?
2 Ni mazishi ya kiongozi gani hapa Tanzania aliyewahi kufariki na mazishi yake wakawekwa watu wa Usalama wa Taifa ili kuzuia watu kuingia unless una kadi?
3 Ni mazishi gani hapa Tanzania yaliwahi watu kwenda kwenye misiba na kadi ya mwaliko?
4 9dugu zake hadi anafariki na kuzikwa walihudhuria?
5 Balali ni kiongozi mwandamizi wa serkali hadi serikali kuamua kumzika Marekani walikosa fedha ya kumsafirisha kuja kuzikwa kwao Tanzania?
6 Kama alizikwa Marekani kwanini waombolezaji walizuiwa kuingia kwake Dar kulikuwepo na nini cha kuficha?
7 Kwanini mnaua jina a mtu hadi ameamua kujitokeza mwenyewe?
8 Je ikitokea akaonekana au akija Serikali itawaeleza nini Watanzania? 9 Ni mtu anayechezea watu kiasi hicho kama yupo kwanini asitafutwe ili akomeshwe kuweka picha za umbea?
Sababu inaonekana amechoka kufa huko alipo hivyo kaamua kuinua mikono juu kwamba amechoka kufa POOR TANZANIA
 
Kwanini serikali ya jk haitaki kuongelea kabisa swala la huyu jamaa?
 
acha unafiki na wewe!kwani kujadili kitu kuna mwisho mawazo hubadirika!walicho jadili jana chaweza kuwa tofauti na cha leo!!

Yaani kukuambia kuwa imejadiliwa ndio unafiki? unaelewa maana ya unafiki? Jaribu kutumia akili yako ndogo kufikiri mambo ya maana, AU Fikiri kwanza kabla hujaandika chochote, kama hujui lugha tafuta kamusi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom