Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Hapana kama una elimu ya msingi ya picha utagundua siyo photoshop ila ukiniambia ni picha ya zamani naweza kukubaliana na wewe
Hata kama ndo kuphotoshop, hapo full kuchemka
Hapana kama una elimu ya msingi ya picha utagundua siyo photoshop ila ukiniambia ni picha ya zamani naweza kukubaliana na wewe
Hata kama ndo kuphotoshop, hapo full kuchemka
Naomba mjadala wa balali ufungwe. Watanzania hatuna destuli ya kuwasema vibaya watu waliotangulia mbele ya haki.
uGONJWA WA UFISADI!!
Kajificha mahali anakula kuku zake kwa mrija. Hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha kwamba alikufa.
Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?