Na wewe wataku-Kolimba,shauri yako.Kwani wewe hujui kwamba Balali hajafa mpaka upige kelele.
Jamani wana JF sijui kama nanyi mlisha isikia hii! nitaanzia mbali mpate picha
Juzi baada ya kazi ni niliingia sehemu furani kupata chakula ilikuwa mida ya mchana, kwakuwa ni katikati ya mji kulikuwa na wafanya kazi wengi kidogo pale.
kama mnavyojua wabongo na story za siasa kwa hivi sasa ni balaa, basi kukawa na kundi furani linazungumzia Tume zisizo leta majibu za Tanzania, katika matukio mbalimbali. Dada mmoja akauliza hivi ule uchunguzi wa mauaji ya Prof aliyeuawa kwa risasi mlangoni kwake nao bado eeh?
hapa ndipo sasa tittle yangu inapoanzia! jamaa mmoja kajibu akasema haiwezi letwa habari hiyo hata siku moja kwani:
YULE PROFESA ALIUWAWA BAADA YA KUTEMBELEA MAREKANI KATIKA JIMBO FURANI HUKO ALIMWONA GAVANA WA B.O.T ANAYEDAIWA KUFA, KISHA AKAJA KUMWAMBIA BOSI WAKE PALE UD, KUHUSU ALICHOKIONA, mmh BOSI AKANYANYUA KITU MKONGA (TTCL) MPAKA KWA MKUU WA KAYA.
jamaa kaendelea kutonya: HAPO NDO MAUTI IKAWA ADHABU YAKE !
MMH ILIKUWA MPYA KWANGU NIkaAZIMIA KUWAULIZA GREAT THINKER'S JE! MLISHA ISKIA HII? au imekaaje?