Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
naomba mungu anipe maisha marefu nishuhudie hii sinema ya ufufuo wa Balali.
 
kuweni na subira - siku ccm ikisambaratika mtayajua mengi sana.
 
hahahahahahaha lowasaa waonyeshe we ni nani walikuwa hawakujui!!!!
 
nilishasema movies ni nyingi tutashindwa kuchagua tuangalie ipi tuache ipi, subirini tu
 
lowasa anasubiri akabidhiwe barua na nape, atatupatia picha kamili ya kilichojiri.
 
Tunamwomba huyo mbunge adai uthibitisho wa kifo cha Balali, na Osama
 
Haki ni Msingi mkubwa wa Maendeleo na Mwizi na mchawi Mla Rushwa na Mhujumu Uchumi na Jambazi na FISADI wote hawatakiwi ktk jamii KWAPAMOJA TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA DHULUMA TANZANIA!
 
Spika alicheka na kuuliza je? siku akiwatokea usiku mtafanyaje (muhubiri 7:7.8)( KWELI JEURI HUMPUMBAZA MWENYE HEKIMA NA RUSWA HUUHARIBU UFAHAMU )..........Maana neno la mungu li hai tena lina nguvu tena lina ukali kuliko upanga uwao kuwili tena lachoma hata kuzigawa nafsi na roho na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake tena lijepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo (waebrania 4:12:13)
 
Mh!Anaeamini huyu mtu kafa ni mmoja wao!
 
Sasa Osama hata ukifaham alipo itakusaidia nini wewe mdanganyika. Acha ushabiki wa kijinga, tunaemuhitaji wabongo ni Balali, full stop.

Mbona unatukana tena, yaani utaki kupanua mawazo yako!?
 
Hiki ni kitendawili sijuwi wakukiteguwa nimeishiwa nguvu kauli ya sipika mweshimiwa makinda kwa kauli yake alipo sema (akija watokeya usiku) bado sijamsoma aliamanisha nini aliitowa hii kauli alipo maliza wazili kujibu ingawa naye alijibu kwa kujikanyaga kanyaga
 
Alifanyiwa plastic surgery naskia yupo hapahapa mjini anakula pensheni tu.Tunakula naye pweza wa mezani kitaa wala hatustukii picha.Usicheze na magamba wewe wana mafaulo ya kijinga kweli utadhan watabaki madarakan milele asee!
 
kuna tetesi hili fisadi lipo na limetulia,tunaomba tufanyie kazi hilo
 
Hiyo ndo mboga yenyewe ambayo mapacha watatu wamedhamiria kuimwaga.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…