mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Siwezi kukulaumu kwa kudhani kuwa Bakwata ndiyo wasemaji wa Waislam.
Historia ya Waislam na Bakwata imetoka mbali na kuna kisa kirefu vipi iliundwa na kwa madhumuni gani.
Nimepata kueleza mara kadhaa humu ndani historia ya Bakwata, serikali na Kanisa.
Hivi sasa uongozi wa Waislam uko nje ya Waislam ndiyo maana mnatusikia.
Kama tatizo la kugeukageuka kwa Bakwata basi jua ni hao Bakwata.
Waislam sisi shabaha yetu iko sawia tunakijua tunachopigania.
Kama unafuatilia utaona Waislam wanamwita Mufti kuwani Mufti wa Bakwata.
Maana yake yeye ni kiongozi kwa hao walioanzisha Bakwata na kumweka yeye na mfano wake madarakani.
Usiyapuuze haya maneno yangu.
Fanya utafiti utapata ukweli.
kwa kweli walimu wa nchi hii wana kazi ngumu sana, kufundisha watu wenye akili ngumu kama hawa si mchezo. Embu jifunzeni kwa wakristu ukienda kwenye seminary nyingi utakuta kuna walimu waislamu wanafundisha kinachoangaliwa kule ni uwezo wa mtu lakini nyi shule zenu mmejaza waislamu tu bila kuangalia uwezo wao wa kufundisha kigezo cheni kikubwa ni kuvaa suruali fupi badala ya uwezo wa mtu.