zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,239
- 3,939
Hapo Allah amezuia sensa?
Qur'an 55:9
9. Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani
Hapo Allah amezuia sensa?
Qur'an 55:9
9. Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani
Swali hili lijibiwe na wanaoifahamu Qurani si maamuma,Kwani tunahitaji surat na aya za Kurani tukufu.Maana Mufti amewataadhalisha wafuasi wa dini kukiona cha moto kwa Allah kwa wale watakaokubali kuhesabiwa bila kuulizwa Kama ni wafuasi wa dini ya Islam. Inawezekana wameamriwa na mola wao kugomea sensa za makafiri na mapagani.Tupe aya
Swali hili lijibiwe na wanaoifahamu Qurani si maamuma,Kwani tunahitaji surat na aya za Kurani tukufu.Maana Mufti amewataadhalisha wafuasi wa dini kukiona cha moto kwa Allah kwa wale watakaokubali kuhesabiwa bila kuulizwa Kama ni wafuasi wa dini ya Islam. Inawezekana wameamriwa na mola wao kugomea sensa za makafiri na mapagani.Tupe aya
Ni bakwata ndio waliotoa msimamo huoBAKWATA ndio tunayoitambua waislamu kama chombo chetu kikuu.. Hao wengine na wahuni tu kama UAMSHO, AL-SHABAAB, BOKO HARAM na AL-QAEDA.
- hivyo ww mleta mada umekosea kuleta hii thread kwa kuwa umetujumuisha na hao wahuni ktk kama vile sote tunapinga sensa. Mada yako ingekuwa ina mantiki tu endapo msimamo huo ungekuwa ni wa BAKWATA
Mizani na kupunja ndio sensa?Qur'an 55:9
9. Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani
good pointWakati wakristo mkiendelea kudhihaki madai ya haki ya waislamu jaribuni basi kutoa hoja na si vioja.
Hakuna kinachowaumiza roho sana hawa ndugu zetu zaidi ya kuona mashule ya juu, vyuo vya ufundi, vyuo vikuu vinaongezeka kwa kasi ya ajabu, wanajuwa ile 83/17 inayayuka bila fujo wala ugomvi, hapo sasa.
Mizani na kupunja ndio sensa?
Mwanzilishi wa mada! kama wale walio katika mamlaka ya kuongoza masuala ya Waislamu wamewaagiza Waislamu wasishiriki katika sensa, basi ni wajibu wa Waislamu kutoshiriki.
Quran 4:59 O you who believe! Obey Allah and obey the Messenger (Muhammad SAW), and those of you (Muslims) who are in authority....."
Hivi unajuwa kwanini sensa hufanywa? Kwa kukujulisha kwa lugha nyepesi tu, sensa hufanywa ili kuwe na mizani (kipimo) cha kuwawezesha wafanya maamuzi wafanye maamuzi kiuadilifu.
Ingekuwa vipi dunia isingekuwa na waislam, je kungekuwa na Alqaida na boko haramu, je tungeendelea kuwekeza mabilioni kwenye ulinzi wa amani? au ndiyo technologia ya siraha ingekuwa chini sana maana kusingekuwa na changamoto? je tungeendelea kuchekiwa tunapoingia ndani ya ndege? Najaribu tuu kutafakari.
Mfanya maamuzi ni nani hapo serikali au bakwata, na ni maamuzi gani hasa
Elezea zaidi kuhusu ni Sheikh gani na Sheikh gani wanapingana na ni kwa sababu gani wanapingana, lazima kila upande ututajie sababu zao za kupinga au kukubali ili tufikie kwenye hitimisho la uhakika..Umejibu ki'uanazuoni' hongera. Lakini suala la sensa ni halali au si halali, maana viongozi hao hupingana. Allah atahukumu kwa kufuata maagizo ya shehe gani
Imagine, hata sheikh mkuu wa DSM anawapinga kwa nguvu zote hao watu ambao wanakataa sensa. Ni kuwa na akili duni tu.