BAKWATA na Mauaji Arusha


Kwanza wewe sio muislamu kwa jinsi salamu yako ulivyoitoa ni wazi Kondoo uliyevaa susu ndani ni chui uliyejificha ngozi ya kondoo. Pili uko nje ya topic Kwani hata Mufti Simba alishatamka bayana ni vema viongozi wakawa waadilifu na serikali sasa hivi imekosa viongozi waadilifu sasa sielewi ulikuwa unataka kutuambia nini?

Tatu kama askofu MWADHAMA KADINALI PENGO ANGELIKUWA MWADILIFU yeye angelimlaani yule askofu wake aliifagilia serikali kwa kuwatandika waislamu hadi wakafa pale mwembechai. Pia angelikemea mauaji na ubakaji uliofanyika kule pemba au zile roho kule zilikuwa sio muhimu.

Nadhani hoja yako haina mshiko kaa tena uiandike vizuri.
 
Wakatoliki waliposema kikwete ni chaguo la mungu hakuna sheikh hata mmoja aliyediriki kusema wakristo wanaongilia siasa, sasa hapa arusha kuna nini mpaka watoe kauli hii??
 

Kama kanisa halikutenda haki wakati ule, je na waislamu walipize kwa kutotenda haki hata pale penye haki!
This is amazing!
 
Great thinkers always think beyond divide and rule politics. Nina uhakika kuwa ukiona mtu anarukia kushambulia wakristo au waislamu kwa kuwa tu kikundi cha watu wachache wamepewa vijisenti wachafue hali ya hewa kwa manufaa ya CCM Arusha basi ujue hao hawapaswi hata kujua internet maana yake nini. I meant wanapaswa kuwa kwenye ama kundi la viongozi mufilisi ama illeterates.

Wewe umeisha ambiwa CCM Arusha inafadhili Press conference ya masheikh njaa wa Arusha ili wawajibu Maaskofu halafu unarukia kuja statement za ku-generalize waislam wote kuwa wanafiki huoni kuwa unampatia ushindi Mary Chatanda na kundi lake lililoshindwa uchaguzi Arusha na kuamua kutumia Polisi kama kura yao ya veto ya kuendelea kuwa madarakani?. Demokrasia siyo ujanja ujanja katika kupata ushindi bali ni kuweza kushinda hearts and minds of electorates, CCM hawalijui hilo. Ili uwa-win wapiga kura waoneshe kuwa wewe upo kwa ajili yao kwa kufanya kazi kwa kubidii ili kuwaondolea kero zao, ni lazima watakuchagua tu. Vikao vya siri na winning strategy zilenge katika kuwashawishi wapiga kura na si kuwaibia kura na kuwafanya wajinga.
 
Waislamu, Maaskofu waungana
Viongozi wa dini ya Kiislamu wameungana na wenzao wa Kikristo kulaani mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wiki iliyopita na kuwajeruhi wengine kadhaa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana, viongozi hao wa Kiislamu wa Mkoa wa Arusha walisema wanalaani mauaji hayo na kuitaka serikali kuhakikisha inawachukulia hatua haraka waliosababisha mauaji hayo.
Imamu wa Msikiti Mkuu wa Arusha, Mohamed Said, alisema hatua hiyo itasaidia kuepusha baadhi ya watu wasio na nia nzuri kuitumia nafasi hiyo kuendelea kupandikiza chuki.
Imamu Said aliwaambia wanahabari katika mkutano huo uliofanyika kwenye ofisi za msikiti huo kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa kuelewa kuwa migogoro yao inayaathiri makundi mengine ya watu wasio wanasiasa.
Alisema wanasiasa wanapaswa kutambua kuwa amani iliyopo ikitoweka na wao hawatasalimika.

 
na mtakatifu BENJAMIN WILLIAM KAPA alitimiza yote kwa mujibu wa INJILI..
HALELUJAAAAH.
AU KIWIRA COAL MINE NAYO NI MALI YA KANISA?????????????????
 
it is wise 2 direct ur anger towards problems,not people 2 focus ur energies on ansers not excuses
 
Usitukane Uislam wote ndugu yangu! Mimi si Muislam Lakini si afiki wewe kutukana waislam wote. Kwa kifupi kuna Waislam werevu na weledi sana. Wasomi wenye kufikiri kisomi kuliko unavyofikiri. Tatizo tu lililopo hapa ni kwamba baadhi yao wanakosa weledi. kiasi cha mara nyingi kukurupuka na kutumiwa kwa maslahi binafsi. Wengi wanapotoshwa na Mitizamo ya kidini...mathalani mtu akiambiwa labda kanisa fulani zuri lililojengwa pesa imetoka serikalini wanaafiki haraka bila kufanya utafiti kuwa Wakristo wengi ni watoaji sana...USHAURI WANGU KWA NDUGU ZANGU WAISLAM....MSIKUBALI KUTUMIWA NA SI SI EM KWA MANUFAA BINAFSI...SISI SOTE WAKRISTO KWA WAISLAM TUMEPIGIKA NA TUNAENDELEA KUPIGIKA NDIO MAANA VIONGOZI WA DINI WANAVYO PINGA UCHAGUZI WA MEYA ARUSHA SI KWA USHABIKI WA DINI BALI KWA MASLAM YA WOTE. MAANA HUYO MEYA AKICHAGULIWA HAFANYI KAZI KWA MASLAHI YA WAKRISTO TU,CHADEMA TU ILA KWA WATU WOTE WAKIWAMO WAISLAM...HIVYO NI VYEMA KWA IMANI ZETU TUTAFUTE HAKI ZA RAIA NA SI USHABIKI WA KIDINI!!!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE!
 

Hili ndio tamko la viongozi wa kiroho kuwa tunalaani mauaji ya raia wasio na hatia na sio kujiingiza katika siasa kusema humtambui meya it does not making any sense.
 

Nakuunga mkono kabisa ni siasa za uzandik,majunghu, fitna, uzabizabina si unajuwa kwenye mkono wa kanisa panakuwaje? na yale mambo ya makanisa ambayo aibu hata kuyataja humu, si unayajuwa yale ya Papa kuyaombea msamaha na yale ya yule wa Merekanai aliyeolewa, sasa kwenye mkono wa hao kuna usalama tena?
 

Sim Padiri wenu aliifananisha CCM na Taliban au Taliban ni kina nani, au mmesahau?
 
Mijitu yenye fikra fupi inatuhangaisha siku zote ...nchi hii ni nchi nzuri lakini kuna aina ya watu wanataka kutuharibia nchi yetu ...hao naomba walaaniwe wote, na kila mpenda amani aseme ... amina.

Nakuuunga mkono haswa wale wanapoambiwa "msiandamane" wao wanafanya ukaidi, hao ndio wanaotuvunjia amani hapa kwetu.
 
mamaa, hadi sasa hujaona impact ya maandamano katika kupigania demokrasia na uhuru wa tz?
 

Kwani kunakustaafu kwenye upadri? au kufukuzwa na kama yes, kwa sababu zipi, maana inabidi tujuwe huyu anaetaka kuwa Rais wetu, ilikuwa-kuwaje akawa padiri halafu mwana siasa?
 

I agree with you 100%, lets learn from Rwanda.
 

Maaskofu wanakemea mauaji au wanashadidia mauaji?
 
Nani alikuambia kuwa misikiti ina shughuli za kuendeshwa kwa pesa? Uliza vizuri tukujibu.

na wanaoiendesha wanapata wapi pesa? huwa hamtoi hata huduma za jamii? mna umuhimu gani kwenye nchi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…