zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
umepewa akili na utashi wa kuchambua mambo usiwe kama juha asiyefahamu kutofautisha mambo
Umeulizwa nani ali-engineer mauaji ya Rwanda? jibu swali wacha porojo.
umepewa akili na utashi wa kuchambua mambo usiwe kama juha asiyefahamu kutofautisha mambo
Jamani udini huko wapi hapa!!! Aliyekataliwa kutambuliwa na maaskofu ni mkristo wala sio muislamu. Je angekuwa ni muislamu ingekuwaje???? Ni wapi maaskofu wa Arusha wametamka kwamba hawamtaki Kikwete kwa kuwa ni muislamu? Huu ni ujinga uliokithiri na kujaribu kutafuta mchawi wakati ukweli unajulikana!!! Hawa wanasahau kwamba ni kanisa hilo hilo liliowahi kutamka kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu? Mbona waislamu hawakuipinga hiyo kauli? This sounds like cheap politics to me!!!
Tiba
Nimepapenda hapa. Hata ya mahakama ya kadhi yabakie huko huko misikitini.Taarifa hiyo, ilinukuu ibara ya 19(2) inayosomeka,"Kazi ya kutangaza dini kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi na shughuli za uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya mamlaka ya nchi"
.
Hiyo ni stetimenti ya jumla sana "wakristo kutomtaka Kikwete"! Kama ndivyo hivyo basi itabidi ukubaliane na madai ya wapinzani kwamba kaingia madarakani kwa hila maana haiwezekani kwamba kura milioni 5 alizopata ni za waislam. Na kama ndivyo basi kura zilizobaki (milioni 3) ndizo waligawana wagombea wa upinzani. Elimu ya idadi ya watu (demography) inakataa mtazamo huo.
Kila mtanzania anayeshadidia udini ni vema akafanya tathmini kujua
1) Hana ndugu ambao ni wa dini tofauti na yake
2) Hana watu wa dini nyingine waliochangia kwa yeye kufika alipo sasa
3) Atakuwa na raha timilifu ikiwa Tanzania itakuwa na watu wa dini yake tu (mfano kama ni mpira wananchi wote wawe mashabiki wa Yanga), hakuna diversity.
Ni vema sisi watanzania wa kawaida tukatazama nje ya kile wanasiasa wanakisema, wao kula yao inatokana na siasa na wako tayari kutumia chochote ili mradi masilahi yao yanalindwa. Leo hii CCM watatumia kete ya udini kwa ku-side na waislamu lakini mkiwaomba mahakama ya kadhi hawawezi kuwapa maana wanajua kesho watawahitaji wakristo na wapagani.
Mamlaka ya baba kwenye familia hayatokani na dini anayosali bali uwezo wake wa kukabili changamoto za familia yake. Kikwete atende yale yatakayotoa majibu ya kero za watanzania. Hii habari ameifikisha mbali nchi inategemea hiyo mbali kwa kuelekea wapi.
Mbona wapinzani wanapowashambulia kina EL, AC, Mzee wa Kikofia, Gavana n.k hamsemi kama ni udini???
Wengi wetu hapa hatutakuwepo miaka 50 ijayo, je ni Tanzania ya kuchinjana ndio tunataka kuwaachia watoto wetu???
Tafakari!!!!!!!! chukua hatua.
Yaani hata yale majinamizi makuu (Ujinga, Umasikini na Maradhi) hayajamalizwa tayari watanzania wanakaribisha jinamizi jingine.
I wanna know whether you are happy with the current political situation in Tanzania. You might have been not going to school that's why you have encountered such a myopic problem. Hivi wewe na hao mashee mlionunuliwa hamkuona kuwa kuna ukweli kuwa Meya alichaguliwa kibadhirifu? Mbona naibu wake amestep down kwakukiri kulikua na tatizo? Ninyi mnatatizo kwanza la unafiki na kisasi kingi.
EPA, KAGODA, DOWANS ambayo zinawaathiri hata familia zenu ila ninyi hamuezi jua gharama kwasababu madrasa hata chini ta mti mnaweza kusoma wala hamna haja ya kutumia computer hivyo hayawaathiri, ninyi ni watu wa giza tu.
Wakristo wanamkataa Kikwete si kwa sababu ya uislamu wake, bali kwa ajili ya kukumbatia mafisadi na kutelekeza maendeleo ya walala hoi. Ikiwa waislamu wanamtetea Kikwete katika upuuzi wake wa kutojali wajibu wake kama kiongozi wa nchi, wakimpigia debe kwa sababu tu ni mwislamu mwenzao basi hapa mdini ni nani? Je ni wakristo au hao waislamu (na kweli si waislamu wote wanaokubaliana na upuuzi)Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.
Bakwata wao wako after Kadhi na OIC they don't bother what is happening so long haihusu Kadhi mkuu ungewasikia kama askari wangeingia msikitini na mabuti shame on them.
Wana siri ya pamoja, lengo likiwa ni kuhakikisha wanashika nchi ili kanisa liendelee kushika hatamu na UTAMU wa nchi hii. JK kawanyang'anya utamu kupitia MoU kati ya kanisa na serikali. JK alitaka awanyime utamu baada ya mwaka jana kutaka mali zinazoingizwa na makanisa nchini zilipiwe kodi. Leo wanasema hawamtambui Meya Arusha kisa mauaji. Mbona hawakumtambua Rais baada ya mauaji ya januari 21 ambapo watu 27 waliuawa na wanawake kubakwa. AU NI SIASA ZA UZANDIKI?
Ni change gani hiyo inayokuja? kwi kwi ..delusional fool.MPUMBAVU NI YULE ANAYEONA UVUNDO AKAJIFANYA HAUONI POLE SANA!!! Change is coming ndugu ukitaka usitake
Ni change gani hiyo inayokuja? kwi kwi ..delusional fool.
Wee endelea kuwashadadia hao mashehe ubwabwa waliopewa elfu 5 watoe huo utumbo wao ilhali akina ustaadh Kikwete na RA wanakamata ilioni 100 za Dowans..sasa hapo kwa mpumbavu ni hisabu ngumu sana kuielewa.
Meya alichaguliwa kihalali, kwani hata Rais si walimkataa wacha Meya.
EPA = Mkapa
KAGODA = UWT
DOWANS = Mpaka sasa hakuna mmoja wenu aliyeleta evidence ya kuwa Dowans wamefanya kosa, kama wewe unaweza tuambie Dowans wamekosa nini?
Delusion is when you see a crisis in the making and then you turn a blind eye to them hao maaskofu wenu wamefanya kosa kuingilia siasa wewe unawaita masheikh walitahadharisha kuwa wapumbavu. Mpumbavu yule anayeona kosa akajifanya halioni. Kikwete na RA wanatafuna mabilioni pamoja na Edward Lowassa na Chenge dugu moja mama na baba sasa basi kama upumbavu ndio sote tuseme wapumbavu maana ufisadi hauna dini. tuondolee pumba zako hapa!!!
Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.
acha ujinga au ficha uppuzi wako usije ukadharaulika, ni dini gani isiyokemea mauaji? angekuwa ni slaa anatawala halafu mauaji kama arusha yalitokea kanisa lingekaa kimyaa?, labda nikukumbushe robert gabriel mugabe ni mkatoliki pure, lakini yeye na kanisa katoliki ni mwiba, kwa kuwa ni jambazi la kisiasa, nenda kasome kuhusu arch bishop ncube na mugabe. kanisa lina support tsavanigai ambaye hata dini yake haijulikani simply tu anatenda haki. sasa watu wenye akili fupi kama wewe tayari unaanza kuyatazama mauaji ya arusha kwa jicho la udini. watu kama nyie ingekuwa enzi za makaburu mlikuwa mnafungiwa magurudume shingoni halafu mnachomwa moto. shame on you
Ulikuwa wapi wewe?? Nimekutafuta sana leoNi change gani hiyo inayokuja? kwi kwi ..delusional fool.
Wee endelea kuwashadadia hao mashehe ubwabwa waliopewa elfu 5 watoe huo utumbo wao ilhali akina ustaadh Kikwete na RA wanakamata ilioni 100 za Dowans..sasa hapo kwa mpumbavu ni hisabu ngumu sana kuielewa.
Kwanza wewe sio muislamu kwa jinsi salamu yako ulivyoitoa ni wazi Kondoo uliyevaa susu ndani ni chui uliyejificha ngozi ya kondoo. Pili uko nje ya topic Kwani hata Mufti Simba alishatamka bayana ni vema viongozi wakawa waadilifu na serikali sasa hivi imekosa viongozi waadilifu sasa sielewi ulikuwa unataka kutuambia nini?
Tatu kama askofu MWADHAMA KADINALI PENGO ANGELIKUWA MWADILIFU yeye angelimlaani yule askofu wake aliifagilia serikali kwa kuwatandika waislamu hadi wakafa pale mwembechai. Pia angelikemea mauaji na ubakaji uliofanyika kule pemba au zile roho kule zilikuwa sio muhimu.
Nadhani hoja yako haina mshiko kaa tena uiandike vizuri.
But in my view, perhaps the single most important collaborator of the CCM government in this crusade
against Muslims has been the Catholic clergy. It is undeniably the Catholic clergy, which has instigated the
CCM government to move against Muslim preachers. The Catholic clergy has since 1993 been strident in
its attack on Muslim preaching, claiming that Muslim preachers and Muslim fundamentalists were a
threat to the peace of Tanzania. Since the adoption in 1984 by Muslim preachers of the method of
propagating Islam using comparative religious study, and the corresponding rise of conversions to Islam
from Christianity, the Catholic clergy has been instigating the government to ban Muslim preaching
popularly known as Mihadhara (public debates), alleging that they were defamatory and insulting to
Christianity.
It is significant to note that although the Catholic clergy has been pushing the government to ban Muslim
preaching since 1993, the CCM government intensified its arrests of Muslim preachers only after January
1998. The response by the CCM government suggests a carefully planned and executed campaign. I do not
think it is fortuitous that the sustained government response followed a challenge by the Catholic priest of
Mburahati parish in Dar Es Salaam in a broadcast over the Catholic-run Radio Tumaini on 8 February
1998. Padre Camillus Lwambano had challenged the government to cease issuing empty promises, to ban
blasphemous preaching and take stern measures against Muslim preachers. Lwambano dared the
government to declare publicly that it had failed to check blasphemous preaching. It was indeed a
provocative admonition. It was also proved to be ominous.
Few people can doubt that Lwambano appears to have been encouraged by the public and official
endorsement the Catholic clergy had received with regard to their grievances against Muslim preaching.
That endorsement had come from a fellow Catholic in the person of the President of Tanzania. On 4
January 1998 at Tabora during celebrations of the Western Diocese of the Moravian Church, President
Mkapa declared war on people who go about distributing cassettes, booklets and convening meetings
where they insulted and ridiculed other religions (Daily News, 5 January 1998). It is relevant that Muslim
preachers are the only people using cassettes and booklets, in addition to public debates, in the propagation
of religion.
Kumbe ulisahau wakati ule watu 27 wapouawa Z,bar alkuwa anaongoza Mkatoliki Benja, na Kanisa halikutoa tamko. Usiwe na kicwa cha panzi au kujifanya msahaulifu.