Na wewe pia ni MPUMBAVU.nukta.
MPUMBAVU NI YULE ANAYEONA UVUNDO AKAJIFANYA HAUONI POLE SANA!!! Change is coming ndugu ukitaka usitake
Na wewe pia ni MPUMBAVU.nukta.
SALAAM ALAEIKUM.Ndugu zangu waislamu wakati mwingine tusishabikie maswala kama ligi ya mpira. Inabidi tuwe analytical. Hivi tumesahau pale Askofu Polikapi Pengo alipomwambia Mkapa kuwa CCM ni kichaka cha majambaz???!!! Wakati Mkapa naye ni Mkristo!!Sasa hapo kulikuwa na udini gani hapo. Hivi kupanda kwa bei ya umeme na hali mbaya tunayoipata sasa hivi inawaathiri wakristo peke yao?? Hela ambazo serikali inataka kuipa DOWANS, hujui itawafaidia akina LOWASA,ROSTAM NA CHENGE?? Sasa hao mapapa watatu na wengine wanyonyaji wanadini hao?
Kama tusiposhikamana pmoja hawa mafisadi wataendelea kutugawa kusudi watunyonye na tubaki na chuki za kidini.
Mafisadi hawana dini,
Amani Katoshi: Labda nimesahau. Hivi kanisa lilitoa tamko baada ya mauaji ya wana CUF? Hivi kulisema kanisa ni Udini? Nikisema kanisa lilishiriki katika mauaji ya kimbari Rwanda(Vatican wamekiri na kuomba msamaha) nitaitwa pia mdini? Na wapi nimeshindwa kuoanisha mambo? Je CUF hawakuuawa kwa sababu ya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi kama CDM walivyouawa Arusha?
SALAAM ALAEIKUM.Ndugu zangu waislamu wakati mwingine tusishabikie maswala kama ligi ya mpira. Inabidi tuwe analytical. Hivi tumesahau pale Askofu Polikapi Pengo alipomwambia Mkapa kuwa CCM ni kichaka cha majambaz???!!! Wakati Mkapa naye ni Mkristo!!Sasa hapo kulikuwa na udini gani hapo. Hivi kupanda kwa bei ya umeme na hali mbaya tunayoipata sasa hivi inawaathiri wakristo peke yao?? Hela ambazo serikali inataka kuipa DOWANS, hujui itawafaidia akina LOWASA,ROSTAM NA CHENGE?? Sasa hao mapapa watatu na wengine wanyonyaji wanadini hao?
Kama tusiposhikamana pmoja hawa mafisadi wataendelea kutugawa kusudi watunyonye na tubaki na chuki za kidini.
Mafisadi hawana dini,
na mtakatifu BENJAMIN WILLIAM KAPA alitimiza yote kwa mujibu wa INJILI..Dini yeyote yenye kutaka kumkingia kifua kiongozi dhaifu, eti kwasababu ni muumini wake, ni dini isiyotoka kwa Mungu. Ni dini mfilisi na siwezi kupoteza muda wangu kujifunza inachofunza.
Kikwete ni dhaifu, na madhara ya madhaifu yake yanampata kila mtu na dini yake. Waliokingiwa madhara ya udhaifu wake ni marafiki zake, wanamtandao na hao ni wa dini zote. Baadhi ya watu wanaofaidika ni pamoja na wale wanaokuja kupiga debe hapa JF. Orodha yao inazidi kuongezeka kadiri kashfa za Kikwete zinavoongezeka na kuhitaji watetezi.
Ipo siku ambayo haihitaji mpiga debe, ukweli utachambuliwa kama karanga na kila mtu atavuna aibu ya misimamo yake ya kipuuzi au furaha yake kwa kusimamia hoja za msingi na mstakabali wa watu na nchi yetu.
Mungu ametupatia nchi, kisha akatuagiza tuilinde na kuitunza. Hatuwezi kuilinda nchi yetu kwa kuruhusu wabakaji waendelee kubaka kadiri ya wanavyotaka na sisi tukaendelea kuwatizama tu.
Mimi baba yangu ni kiongozi mkubwa huko msikitini kwao, na mjomba wangu ni askofu mkubwa huko kanisani kwao, lakini inanisaidia nini mimi kama nchi yangu inaibiwa na ninakaa gizani na baba na mjomba wangu? Upuuzi watuondolee huko....
Viongozi wetu wasipoangalia saa ya kupingana kwa maneno inakwisha na muda wa kupigana kwa vitendo inakimbia kuja... ole wenu mnaocheza na amani iliyojengwa...
akha! ...........
,,,,,,,,,
mahakama ya kadhi vipi? Au wamesahau wanachotaka
Waislamu, Maaskofu waungana
Viongozi wa dini ya Kiislamu wameungana na wenzao wa Kikristo kulaani mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wiki iliyopita na kuwajeruhi wengine kadhaa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana, viongozi hao wa Kiislamu wa Mkoa wa Arusha walisema wanalaani mauaji hayo na kuitaka serikali kuhakikisha inawachukulia hatua haraka waliosababisha mauaji hayo.
Imamu wa Msikiti Mkuu wa Arusha, Mohamed Said, alisema hatua hiyo itasaidia kuepusha baadhi ya watu wasio na nia nzuri kuitumia nafasi hiyo kuendelea kupandikiza chuki.
Imamu Said aliwaambia wanahabari katika mkutano huo uliofanyika kwenye ofisi za msikiti huo kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa kuelewa kuwa migogoro yao inayaathiri makundi mengine ya watu wasio wanasiasa.
Alisema wanasiasa wanapaswa kutambua kuwa amani iliyopo ikitoweka na wao hawatasalimika.
Wana siri ya pamoja, lengo likiwa ni kuhakikisha wanashika nchi ili kanisa liendelee kushika hatamu na UTAMU wa nchi hii. JK kawanyang'anya utamu kupitia MoU kati ya kanisa na serikali. JK alitaka awanyime utamu baada ya mwaka jana kutaka mali zinazoingizwa na makanisa nchini zilipiwe kodi. Leo wanasema hawamtambui Meya Arusha kisa mauaji. Mbona hawakumtambua Rais baada ya mauaji ya januari 21 ambapo watu 27 waliuawa na wanawake kubakwa. AU NI SIASA ZA UZANDIKI?
Jamani udini huko wapi hapa!!! Aliyekataliwa kutambuliwa na maaskofu ni mkristo wala sio muislamu. Je angekuwa ni muislamu ingekuwaje???? Ni wapi maaskofu wa Arusha wametamka kwamba hawamtaki Kikwete kwa kuwa ni muislamu? Huu ni ujinga uliokithiri na kujaribu kutafuta mchawi wakati ukweli unajulikana!!! Hawa wanasahau kwamba ni kanisa hilo hilo liliowahi kutamka kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu? Mbona waislamu hawakuipinga hiyo kauli? This sounds like cheap politics to me!!!
Tiba
Mijitu yenye fikra fupi inatuhangaisha siku zote ...nchi hii ni nchi nzuri lakini kuna aina ya watu wanataka kutuharibia nchi yetu ...hao naomba walaaniwe wote, na kila mpenda amani aseme ... amina.
Mimi siwezi kuita mawazo yako upupu lakini ni wazi kuwa mawazo yako yamepitwa na wakati.
1. Tanzania hakuna udini na udini unataka kuletwa na wana siasa hasa CCM kwa lengo la kumpiga vita Dr. Slaa kwasababu aliwahi kuwa padre wa katoliki.
2. Agenda hii ya udini ambao haupo utaiangusha CCM huko mbele, kwani huwezi kutukana watu wa dini moja wakati unawahitaji kwenye chama na ni wanachama wengi.
3. CUF ni kweli hawajasema lakini ni muda umepita na kuna mwamko sana Tanzania. Tanzania ya sasa si ya miaka 10 au mitano iliyopita. Hiki ni kitu watu wengi walio madarakani bado inawachukuwa muda kuelewa. Tanzania imebadilika na hairudi nyuma. watu wamechoka na umasikini na kikubwa kinachowasibu ni ufisadi unaofanywa na wana siasa wa kusaini mikataba mibovu. Waliosini hii mikataba ni CCM hivyo ni lazima ilalamikiwe.
Kwa wana CCM dawa ya upinzani si polisi, malalamishi wala udini bali ni maendeleo tu. Bila maendeleo yanayo onekana wananchi watawatoa wadarakani siku moja. kanda nzima ya kaskazini na ya ziwa iko kwenye huu mwamko. Ukitoa Tanga mikoa yote ya Kagera, Mwanza, Shinyanga, Mara, Arusha, Manyara na Kilimanjaro inabadilika na huwezi kuwadanganyishia watu na dini kwani Watanzania hata kwenye familia kuna dini tofauti!. Makanisa hayana utamu wowote Tanzania kwani wenyewe ndiyo wanasaidia nchi hasa vijijini kuanzia shule hadi Hospitali. Miji mingi Tanzania imeanzishwa kwasababu ya juhudi za kimaendeleo ya Kanisa. Hivyo ndugu yangu unatatizo moja tu mawazo yako yamepitwa na wakati!
This was bound to happen, Maaskofu walipoingilia siasa na kutoa such a statement it was totally wrong. This statement if it was made by a group of people wether affiliated with political parties or not, this would have been OK!
NOW ITS THE TIME TO STOP RELIGIOUS LEADERS FROM MAKING POLITICAL STATEMENTS THAT CAN DIVIDE US BEFORE ITS TOO LATE OR WE ARE BOUND TO START KILLING EACH OTHER !!!!
acha ujinga au ficha uppuzi wako usije ukadharaulika, ni dini gani isiyokemea mauaji? angekuwa ni slaa anatawala halafu mauaji kama arusha yalitokea kanisa lingekaa kimyaa?, labda nikukumbushe robert gabriel mugabe ni mkatoliki pure, lakini yeye na kanisa katoliki ni mwiba, kwa kuwa ni jambazi la kisiasa, nenda kasome kuhusu arch bishop ncube na mugabe. kanisa lina support tsavanigai ambaye hata dini yake haijulikani simply tu anatenda haki. sasa watu wenye akili fupi kama wewe tayari unaanza kuyatazama mauaji ya arusha kwa jicho la udini. watu kama nyie ingekuwa enzi za makaburu mlikuwa mnafungiwa magurudume shingoni halafu mnachomwa moto. shame on you
Nani alikuambia kuwa misikiti ina shughuli za kuendeshwa kwa pesa? Uliza vizuri tukujibu.