BAKWATA na Mauaji Arusha

unachosema haki-apply katika kila situation ndiyo maana kuwa kuna sheria mbali mbali na bylaws pia nia ni kuhakikisha nchi inaenda kwa utaratibu mzuri bila vurugu. Serikali ipo kisimamia sheria na kuhakikisha kila mwananchi habughuthiwi ama sivyo kila mtu au kikundi akiruhusiwa kufanya anavyotaka bila kufuata utaratibu/ sheria zilizopo itakuwa vurugu tu, ndiyo maana wote tunapaswa kuzifuata hizo sheria kwa manufaa ya watu wote. Chadema kuzuiwa kufanya maandamano lakini waliruhusiwa kufanya mkutano ilikuwa ni jambo jema na wangetii kauri ya serikali ili kuhakikisha usalama kwa watu wote. Kama chadema wangefuata hayo leo hii tusingekuwa na watu waliokufa na kuacha familia zao zinateseka huku mbowe na slaa wakifurahia kimoyo moyo kwamba waliyotaka yamekuwa ingawa machoni pa watu wamejibebesha nyuso za huzuni za kinafiki

Boma,

''Wangetii Selikali'' ya nani? Usikuze mambo bila sababu, hivi kuruhusu Chadema au CUF kuandamana ni sawa na kuruhusu kila mtu kufanya anavyotaka? Chama au kikundi huomba maandamano na kuelezea maudhui ya maandamano hayo. Kisha waandaaji wa maandamano hubeba jukumu la kuhakikisha watu wao wanaelewa mipaka na misingi ya maandamano hayo. Baadaye polisi wanatakiwa kutoa ulinzi na kwa kuwepo kwenye maandamano hayo ili kudhibiti hali yoyote ya kukiuka mambo waliyokubaliana.

Kule Arusha hapakuwa na fujo yoyote hadi polisi walipoanza kuwapiga wananchi wasio na hatia. Wangeacha kuwapiga watu wala yasingetokea yaliyotokea. Hivo si vizuri kulaumu tu Chadema. Kumwagika kwa damu ni makosa ya moja kwa moja ya viongozi wa selikali. Sheria inatuzuia kuchukua sheria mkononi sote pamoja na polisi. Iundwe tume ichunguze hawa waliouawa ni kwa nini? Je walikuwa na silaha kiasi cha kutishia kuwadhuru polisi au hata kuwaua wasingewawahi? Walihatarisha maisha ya askari au raia karibu yao? Kwa nini polisi walichagua kuwaua hawa tu? na mengine mengi.
 
mtazamo wako ni sawa ila kimsingi wote polisi nabeba lawama kwa excessive use of force na upande wa chadema nilishasema. hivyo ni muhimu ccm na chadema kukaa pamoja kumaliza tofauti zao kwa manufaa ya watanzania wote na si kwa manufaa ya chama fulani.
 
Sasa kama mnasema Bakwata imeundwa na serikali, mbona mnataka serikali iwaundie mahakama ya kadhi? hivi mna akili timamu kweli?

We ndio utakua huna akili timamu, WAISLAM WAO WANATAKA KIBALI TOKA SERIKALINI KUANZISHA HIYO MAHAKAMA NA WALA SIO SERIKALI IWAUNDIE MAHAKAMA YA KADHI.....hapo akili itakujia tu:welcome:
 
Wapumbavu nilijua tu watajitokeza kujibu.

Unaeza kunipa kopi ya hiyo fomu ya kuomba kibali?? walimpa nani? lol
 
Back
Top Bottom