BAKWATA na Mauaji Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAKWATA na Mauaji Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdau, Jan 8, 2011.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Am just curious......hivi BAKWATA wanaweza kutoa tamko la kulaani mauaji yaliyotokea Arusha???
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaweza kutoa tamko kama wana akili na utashi wa kutoa tamko! Hawalazimiki kutoa tamko lakini ni vyema wafanyehivyo kama sehemu ya jamii ya watanzania.
   
 3. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wamaanisha nini Bakwata kutoa tamuko.Je waliotoa tamuko hawakuwashirikisha ?
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,913
  Likes Received: 12,067
  Trophy Points: 280
  Bakwata wao wako after Kadhi na OIC they don't bother what is happening so long haihusu Kadhi mkuu ungewasikia kama askari wangeingia msikitini na mabuti shame on them.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mimi natowa tamko la kuwalaani wote walioanzisha na kushadidia maandamano yaliyozuiliwa na polisi kufanyika.

  Walaaniwe wote waliolazimisha ya fanyike na damu za hawa waliofariki ziwasute maisha yao yote.
   
 6. k

  kayumba JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Subiri, kama wanatakiwa kusema watasema!
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Naona Bakwata ya Wakristo wametoa tamko lao; vipi ulimaanisha haya?

   
 8. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BAKWATA ni chombo ya WAGALA ambao wako Serikalini

  pia msisahau kuwa BAKWATA iliunda na Serikali

  majority ya waislam hawaitambui

  In otherwords Bakwata is just one of many organisations kama vile Baraza kuu, Shura ya Maimam, SUPTAM na wengineo sema BAKWATA wanaenjoy kupewa niceties na serikali

  And dont get me started on Sheikh Mkuu wa BAKWATA wa DSM....


  I means seriously Bakwata inaongozwa na mtu iliterate halafu mnataka muone Tamko lao?


  Hivi mnawa rate so high hawa jamaa?
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa kama mnasema Bakwata imeundwa na serikali, mbona mnataka serikali iwaundie mahakama ya kadhi? hivi mna akili timamu kweli?
   
 10. C

  CITYBOY Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwehu kilakitu huzungumza na hawezi kukaa kimya.Maaskofu si wanaubia na cdm ndo maana hawishi maneno.Wakati huohuo mnasisitiza tusichanganye dini na siasa.Hapa mtoa hoja hana jipya zaidi ya kuleta mpasuko wa kidini.SHAME ON YOU.
   
 11. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapana, Kwanza ni vema ukajiuliza BAKWATA ni nini na wapo katika jamii gani. Ukielewa hilo ndipo unaweza kutoa angaliza aidha liwe HASI au CHANYA, ila yatupasa kuziheshimu taasisi za dini kuliko ushabiki wa vyama vya siasa.
  Ni maoni yangu binafsi kwa hili.
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tamko halina uzito sana, kitu muhimu ni kurekebisha pale palipo kosewa. Na wengi wanao toa matamko huwa ni kwa unafiki na kujikosha kwa kutafuta u maarufu wa kisiasa
   
 13. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kuna vitu vinaitwa MALENGO na MKAKATI_lengo la wanaharakati wote kwasasa nikuona kunakuwa na Mabadiliko ya Kiutawala_mambo mengine yote ni Mikakati_hali kadhalika tuandikapo Posts huwa ni Mikakati kwa ajili ya mambo fulan tunayoyalenga_ni vema kufikiri sana kabla hujafanya jambo_kwa post hii nadhan umetuma wakati ukijisaidia choon_haimsaidii yeyote hata familia yako hainufaiki kwa post hii_otherwise mnatukatisha tamaa waislam tuliomo chadema kwamba inawezekana chadema ni ukiristo na sisi tunawasindikiza kwenye move zenu_kwann harakat za kisiasa zizungumzie iman wakat wanaharakat ni wenye iman tofaut na tunaunganishwa na MALENGO? Hii inanitia shaka na kunifanya niamin kuwa inawezekana mh. Zitto yupo sahih kuwa kuna udin ndan ya cdm_nimekuwa kwa muda mrefu nikikemea mambo haya na kuwaomba mods kupinga vitu_lakin posts zinazofutwa ni zile zinazokemea mambo haya ndizo hufutwa
   
 14. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Uko Nchi gani?
   
 15. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kanisa heri linyamaze na kufunga mdomo maana kila nikikumbuka mauaji ya kimbari Rwanda huwa nasikitika sana Kanisa linapoongelea juu ya haki! kila nikikumbuka mauaji ya Mwembechai Dar, na kauli alieitoa Padri Lwambano kuwa Serikali iwashugulikie Waislamu wa Msikiti wa Mwembechai na siku ya pili Polisi waliitikia wito huo na kuuwa wananchi wenzetu! nasikitika tena Kanisa kuhubiri haki!

  Kila nikikumbuka mauaji ya raia huko visiwani na kauli ya Muadhama Kardinali Pengo kuwa waliouliwa na Polisi huko Zenji ndio wabebe lawama kwa kutokutii amri ya Serikali ya kutokuandamana!!

  Sasa, leo Kanisa na Baraza la Maaskofu watakuwa na ubavu gani wa kujitokeza na kulaani mauaji ya Arusha?

  Kuna watu wengine wapumbavu watakao fikiri kuwa mimi nafurahia mauaji ya Arusha lakini kwa hakika kila binaadamu mwenye hisia hatafurahia kitendo hicho cha Askari wetu kufyatua risasi za moto na kuua wananchi! ni tendo la kulaaniwa lakini sio Maaskofu wajitokeze leo ghafla na kutoa kilio cha kinafiki! kwanza waombe msamaha kwa maovu waliofanya huko nyuma kwa kuunga mkono maamuzi ya Serikali ya Benjamin Mkapa ya kuuwa raia wa nchi hii na ndipo wafungue ukurasa mpya wa kudai haki za wananchi kinyume chake itakuwa vigumu kuelewa lengo la Kanisa ni nini!

  BAKWATA si chombo halali cha waislamu wala chombo hiki hakina ridhaa ya Waislamu bali Serikali inaibeba kwa amri ya Mwalimu Nyerere ambae kwa hakika ndie alie asisi mwaka 1968 huko Iringa baada ya kuvunja jumuiya ya Waislamu ya EAMWAS! ambayo iliwaletea Waislamu maendeleo makubwa na kutaka kujenga chuo kikuu cha kiislamu cha Afrika Mashariki ndipo Nyerere akafikia uamuzi huo wa kuivunjilia mbali! soma: Mwembechai Killings

  Hivyo BAKWATA walaani au wasilaani hiyo sio issue kwa Waislamu bali Waislamu wanajumuiya zao zinazowakilisha maslahi yao na kama kutoa kauli basi ni viongozi wao ndio watatoa lakini sio BAKWATA!
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wishful dreaming!
   
 17. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Cityboy hebu rudi tena.....Maaskofu wana ubia na CDM au wana 'memorandum of understanding' na serikali kama mlivyokuwa mnadai hapo awali?
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Wee ZOMBA kujiuzulu kwa Michael Kivuyo unatoa tamko gani?. acha ushabiki na itafika mahali tutakupuuza mshamba mkubwa wewe
   
 19. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari ya mwembechai ilikuwa na maslahi kwa kundi moja katika jamii, habari ya Arusha ina maslahi kwa taifa zima
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Jan 8, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Unataka kuniambia kuwa viongozi wa dini hawaruhusiwi kukemea uovu uliofanywa na vyombo vya Serikali, km Jeshi la Polisi, eti kwa hofu ya kuogopa kuchanganya dini vs siasa?
   
Loading...