This was bound to happen, Maaskofu walipoingilia siasa na kutoa such a statement it was totally wrong. This statement if it was made by a group of people wether affiliated with political parties or not, this would have been OK!
NOW ITS THE TIME TO STOP RELIGIOUS LEADERS TO MAKE POLITICAL STATEMENTS BEFORE ITS TOO LATE OR WE ARE BOUND TO START KILLING EACH OTHER !!!!
Mapambano,
I dare to call you Mapambano a.k.a. Makamba!
You seems to be one of those CCM hooligans who are still day dreaming about Single Party ruling which is now a history!
Please wake up now and witness the move of changes prevailing now in Tanzania.
Lazima ujue kuwa swala la mgogoro wa Umeya wa Arusha halina uhusiano wa kidini hata chembe. Wanaotaka kuingiza udini ni mambumbu na malimbukeni WALIOFILISIKA KISIASA na ambao kwao CCM kushindwa kwenye Uchaguzi ni kitu kisichowezakana!!! Huu ni upuuzi na upambaf ambao hatuwezi kuukubali.
Ujue tu kwamba Maaskofu kuzungumzia swala la MAUAJI YA ARUSHA ni haki yao kikatiba wakiwa ni sehemu ya jamii au umma wa Watanzania.
Hivi unataka kutuaminisha kuwa Askofu au Padre akizungumzia mstakabali wa Amani,Upendo na Mshikamano ndani ya Tanzania ni dhambi? CCM lazima mjue kuwa Viongozi wa kidini ni sehemu ya Jamii ya Watanzania ambao wana uhuru wa kutoa mawazo yao kuhusu mwelekeo wa Siasa za nchi hii. Wao ni viongozi wa kiroho wa haohao Wanasiasa wanaowabeza kwa sasa.
Acheni upuuzi wenu wa kupayuka na kuropoka kama vile mmekunywa denge au gongo. Kauli za Makamba na Mary Chatanda kuwa Uchaguzi wa Meya Arusha hautarudiwa na kwamba Maaskofu wanaotaka siasa WAVUE MAJOHO WAINGIA KWENYE SIASA NI MATUSI KWA VIONGOZI WA DINI.
Nimeshasema MAKAMBA ANA MTINDIO WA UBONGO,NI BORA CCM WAKAMPELEKA MIREMBE MENTAL HOSPITAL AKACHUNGUZWE AKILI ZAKE MAANA ANAONEKANA KUHATARISHA MSTAKABALI WA CCM. Kama Waziri wa Mambo ya Ndani amekubali kuna tatizo kwenye swala la Umeya kwanini MAKAMBA akatae kuwa hakuna tatizo na CHADEMA waende mahakamani? Hakika huyu Makamba ni HATARI, Makamba ni MNAFIKI,MWONGO,MPAYUKAJI,MZUSHI NA KIZABIZABINA! Ni UWENDAWAZIMU kusema kuwa Uchaguzi wa Meya Jiji la Arusha ulikuwa Huru na Haki ilhali MADIWANI WA CHADEMA hawakuwepo kwenye Uchaguzi huo ukizingatia kuwa CHADEMA ndiye MWAKILISHI WA WANANCHI WA JIJI LA ARUSHA kwenye Bunge la JMT.
Akili na Utashi wa kawaida kabisa kwa mtu mwenye AKILI TIMAMU ATAONA KUWA UCHAGUZI WA MEYA ARUSHA ULIKIUKA MISINGI NA TARATIBU MUHIMU KABISA ZILIZO WAZI. CCM WALITUMIA MAMLUKI KUTOKA TANGA KWA JINA LA MARY CHATANDA AKIJIFANYA NI DIWANI WA ARUSHA MJINI WAKTI SI KWELI. JE,HIVI CHADEMA NA WAO WANGEAMUA KULETA MADIWANI KUTOKA NJE YA ARUSHA WAKAIPIGIA KURA CHADEMA,CCM MNGEKUBALI????
Kuna watu wachache CCM wenye hekima angalao kidogo. Tumeona LOWASA akilonga mapema sana hata KABLA YA MAUAJI YA ARUSHA KUWA UMEYA ARUSHA NI TATIZO UNAWEZA KUPELEKEA IVORY COST NYINGINE NDANI YA TANZANIA HIVO CCM na CHADEMA WAKAE PAMOJA WATATUE MGOGORO HUO. KKY MAKAMBA NA NUNDU LAKE AKAPAYUKA AKABEZA NA KUKATAAA MAONI YA KADA MKUU LOWASA!
Tumemsikia MALECELA NA NAHODHA WAKIKIRI KUWA MGOGORO UPO NA LAZIMA CHADEMA NA CCM WAKAE PAMOJA WAMALIZA HILI TATIZO. BADO MAKAMBA AMEKOMAA KUWA CHADEMA WAENDE MAHAKAMANI!!!!!!!!!!!HUYU MZEE NI KICHAA PERCE!!!