BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

Na nyiynyi mpaka mnataka kila mtu amjue huyo mwanaeagle wing?
 
Siku hizi hakuna Sheikh Mkuu wa Tz?
 
waDar alikunywa chanjo ya Corona, wa Dodoma bado.ile ya madagaska
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…