Ni kweli kabisa mkuu,lakini mbona kumekuwa na dharau sana ?,watu wamepiga na wanapiga kelele sana lakini kama ni kumpigia mbuzi gitaa,au labda mpaka yatokee machafuko ndo watu wakumbuke kwamba kuna kelele zilikuwa zinapigwa ?Jambo baya halihalalishwi na jambo baya jingine
Mimi mkuu sipendagi kabisa mtu kupewa kazi kwa sababu ya kabila, dini, kanda ama kwa vigezo vya itikadi yoyote ile, mtu apewe kazi kwa vigezo na sifa zinazokubalika na siyo upendeleo ambao mwisho wa siku ni kuleta utengano ktk jamii, jambo ambalo halina afya hata kidogo kwenye umoja wa kitaifaNi kweli kabisa mkuu,lakini mbona kumekuwa na dharau sana ?,watu wamepiga na wanapiga kelele sana lakini kama ni kumpigia mbuzi gitaa,au labda mpaka yatokee machafuko ndo watu wakumbuke kwamba kuna kelele zilikuwa zinapigwa ?
Safi sana mkuu umemjibu vizuri na kiuungwana sanaWakati mwingine muwe mnakaa kimya kama mnaona kabisa mawazo yenu si ya kujenga, kwanini mkubali kuwa mbolea ya kukuza utengano? kwanini ukubali kuwa mfia dini, kwanini ukubali kuwa mfia chama na kwanini ukubali kutoambilika juu ya mtu fulani? kuna ubaya gani au ugumu gani ukachagua kuruhusu akili yako ikafanya kazi na kusimamia ukweli na haki, madikteta huwa wanaingizwa madarakani na watu kama nyie wafia dini, chama na kutoambilika juu ya mtu fulani..Ndugu yangu duniani umekuja peke yako na utaondoka peke yako, kama huwezi kuifanya dunia kuwa sehemu bora ya kuishi ni bora pia usiiharibu, usishiriki kufifisha tabasamu katika nyuso za watu kwa ajili ya kutetea ujinga
Wenye mpunga wengi ni watu wenye asili ya Asia au Waarabu, kwa upande wa wabantu hakuna mpunga ni kama hao akina john n.k, hata ukiangalia matajiri 10 wanaoongoza Tanzania ni mmoja tu mzawa ambaye ni Reginald MengiNi sawa wameachwa nyuma lakini kwanini asilimia kubwa wenye mpunga ni Waislamu?
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Sawa mtu apewe kazi kwa sifa zinazostahili,lakini unataka kusema kwamba hawa akina juma huwa hawana sifa zinazokidhi kiasi kwamba ratio imekuwa 90:10 ? Na kwa nini pale ambapo kwenye shirika pakionekana angalau ratio 60:40 (wakristo:waislamu) basi kunakuwa na kelele kwamba pana udini ?Mimi mkuu sipendagi kabisa mtu kupewa kazi kwa sababu ya kabila, dini, kanda ama kwa vigezo vya itikadi yoyote ile, mtu apewe kazi kwa vigezo na sifa zinazokubalika na siyo upendeleo ambao mwisho wa siku ni kuleta utengano ktk jamii, jambo ambalo halina afya hata kidogo kwenye umoja wa kitaifa
Kweli kabisa hasa tido na Charles ndio wanasimamia huu udiniBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
chuki tu na wivu hamna lolote
Basi msilalamike acha wenye ofisi zao waajiri wanao wataka mtulie.Mzaramo yako ngoma ofisni anaenda kufanya nini?
Wewe si ufate wanakouza hayo madude mradi wanafanya biashara halali usiwapangie mtaji ujawatafutia wewe pambana na hali yako.Kuna mgahawa nimeingia leo asubuhi eti hawauzi soseji kisa wateja wao wa kiislam wanalalamika.....PSHHHHH
Na sisi je? Siendi tena kununua kitu pale.
Tatizo ukiishi na muislam atataka ubadilishe lifestyle yako iendane na mahitaji yake. BULL!
Udini na ukabila ni sawa kesi ya nyani umpelekee ngedere, ni pipa na mfuniko Tanzania uwezi ukaongelea Udini ukaacha ukabila. Au ukaongelea ukabila ukaacha Udini. Maradhi yote hayo yanalitafuna Taifa letu.Mada imezungumzia udini; wewe unazungumzia ukabila.
Ingekuwa vizuri zaidi kama ungejikita kwenye mada.
Cause wakristo ni wengi zaidi nchini so ni kawaida.
Fungua vyako utuoneshe kwa mifano. au nawewe ni mzilankende!!!
anzisha kiwanda chako uwaajiri wakristo pekeeTafuta muuza ice cream za azam kwa zile baiskeli, ukimpata asiye wa kule, nakupa 1m.
mna wivu tu hakuna loloteUmesema Azam media pale wameshindwa kuwajaza akina Bakari kutokana na wachache kuwa wajuzi wa mambo ya utangazaji au uandishi wa habari,tasnia hiyo inahitaji usomi na kujua lugha lakini kwenye udereva au kutengeneza biskuti au kukata tiketi na kuwa konda wa meli hakuhitaji sifa kama za kwenye uandishi wa habari.Kwa kifupi kuna udini sana kwenye makampuni ya mzee huyu,utadhani utajiri wake kaupata kutoka kwa Waislamu pekee-juisi tunywe wote ajira wapewe kundi fulani ,hii wapi na wapi
Mkuu popote pale panapofanyika usaili wa kazi kwa kuangalia zaidi upendeleo wa aina yoyote ni lazima tupige kelele kupinga, ila kuwa ratio sijui asilimia ngapi kwa ngapi hiyo haihalalishi moja kwa moja kuwa kuna upendeleo kwenye usaili, kikubwa hapa pawe na hoja ya kuhalalisha hayo malalamiko yenyewe na siyo hisia badala ya fact, hata huyu aliyeleta hoja hii haijawa na ukweli kwa asilimia zote kwa sababu hajaja na uthibitisho wa kile anachokisema, ila hoja yangu imekuja kama kweli hiki kitu kipo maana ni kitu kinachoigawa jamii, na jambo jingine mkuu ni kwamba unapopinga ubaguzi wakati huo huo wewe unaufanya unakosa uhalali wa kupinga kile unachodai ni ubaguzi, tupingeni ubaguzi wowote mkuu iwe serikalini ama kwenye sekta binafsi, watu wapate kazi kwa sifa na vigezo vinavyokubalika na si vinginevyoSawa mtu apewe kazi kwa sifa zinazostahili,lakini unataka kusema kwamba hawa akina juma huwa hawana sifa zinazokidhi kiasi kwamba ratio imekuwa 90:10 ? Na kwa nini pale ambapo kwenye shirika pakionekana angalau ratio 60:40 (wakristo:waislamu) basi kunakuwa na kelele kwamba pana udini ?
Sote tunapenda amani kwani kikinuka hakuna atakayekuwa salama,si muslam si mkristo,
Sote tushirikiane kuleta amani,utulivu na upendo kwenye jamii zetu yasije kutokea kama ya central africa
nchi gani imelalamika? majungu na wivu tu mi naonaYapo mashirika kibao ya waislam ila hayana ubaguzi wa kiimani. Mimi binafsi ni mpinga ubaguzi wa aina yoyote ile. Yeye si wa kwanza kuleta ndege na hivyo si lazima kupanda zake bro. Ukiona shirika linalalamikiwa mpaka na nchi ujue kunashida hapo.
waislamu wengi wenye pesa/wafanya biashara wakubwa ni wenye asili ya Asia. hii kutokana na historia kwani wazazi wao walikuja kwetu kama wafanya biashara na biashara ikasambaa kaatika generations zilizofuata.Ni sawa wameachwa nyuma lakini kwanini asilimia kubwa wenye mpunga ni Waislamu?