Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Si bora huyu anajaza waislam wa makabila mbalimbali , Kuliko yule anayejaza kabila moja sekta zote .
 
Ni kweli si wakati wote Samaki Mmoja akioza wote wameoza Ila kwa Asilimia kubwa ubaguzi wa dini na makabila Kwenye Sekta binafsi ni changamoto Kubwa sana.
Sikatai ubaguzi haupo.

Kuna mahali nilikosa kazi pamoja na kupita kwenye usaili sababu sikuwa msabato.
 
Mm hapo kwa MO umetudanganya. Reghebisha coment yako.
 
Vip kuhusu
Ivonna kamutu
Wasiwasi mwabulambo
Charles Hillary
Baruan Muhuza
Baraka Mpenja
Mtoa post ndo mdini kwendraaaaa
 
badilisha din naww uwe muislam upate neema iyo cz matajir wakubwa wote tz ni waislam na sifa moja kuu ya uislam.. muislam nduguye muislam mwenzio so muache awasaidie waislam wenzake.. km umemind tafuta zako mali uwajil wa din yko cz ni hiyar yko
Uwajil [emoji117] Uajiri

Nawewe hujui kusoma na kuandika kama Muddy? [emoji23]
 
Umeangalia upande mmoja tu
Mbona kuna wanaotubagua ki makala na ukanda kwa kuwapa vipawa mbelea ziwa nyasa lakini pako kimya
 
Sunnah ni jambo ambalo muumin akifanya anapata thawab na akiacha kufanya haesabiwi dhambi.

Hiyo si ndio sunnah...au wasemaje sheikh?
 
Yaan hawa jamaa cyo kabisa tena xaiv nawachukia xana yaan hata kwenda kufanya tu field pale hupat nafasi daaahhh [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Safi sana anachokifanya Bakhressa. Hivi Charles Hillary alisilimu eeh?
 
Yaan hawa jamaa cyo kabisa tena xaiv nawachukia xana yaan hata kwenda kufanya tu field pale hupat nafasi daaahhh [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kamuambien nabii tito wenu mfungue kampuni yenu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…