Sasa wewe umeahindwa nini kukaa kimya? kuliko kuja na porojo zako hapa wewe umeifanyia nini dunia ili iwe sehemu bora ya kuishi. Si kila mtu anamawazo finyu kama yako.Wakati mwingine muwe mnakaa kimya kama mnaona kabisa mawazo yenu si ya kujenga, kwanini mkubali kuwa mbolea ya kukuza utengano? kwanini ukubali kuwa mfia dini, kwanini ukubali kuwa mfia chama na kwanini ukubali kutoambilika juu ya mtu fulani? kuna ubaya gani au ugumu gani ukachagua kuruhusu akili yako ikafanya kazi na kusimamia ukweli na haki, madikteta huwa wanaingizwa madarakani na watu kama nyie wafia dini, chama na kutoambilika juu ya mtu fulani..Ndugu yangu duniani umekuja peke yako na utaondoka peke yako, kama huwezi kuifanya dunia kuwa sehemu bora ya kuishi ni bora pia usiiharibu, usishiriki kufifisha tabasamu katika nyuso za watu kwa ajili ya kutetea ujinga
Sasa kuna ubaya gani kwa Azam kutumikisha Vilaza na akawaacha ambao vichwa vyao vyote vimejaa kitimoto?Sasa kama vichwa vyote vimejaa upande wa wala kitimoto ulitaka awaache na achague vilaza kisa tu anawaonea huruma?
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
Huyo yeye hakufanya ajizi akaamua nchi moja iwe na Balozi mbili Italy na Balozi wa Vatican hahahahaha hakuna anayeuliza ila mleta huu uzi labda alitaka kujua kama sisi upande wa pili tunajua yanayoendelea akaona aandike kuhusu Bakhresa tutakuja tu? Jibu ni kwamba tunajuaUnajuwa Waislam uwa wanajitambua sana tena uwa wako humble ....lakin Tz udini ulianza zamani ...simnakumbuka Nyerere alivyowanyanganyaga wahind Mali zao zote na waarabu pia...kisha akachukua zile Mali nakuzigawa Bure kwa wananchi.
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisaHujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Tido Mhando pia ni muislam wa Bagamoyo.Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisa
Sahihi mkuu na Ivona Kamuntu yule mswalihina kabisaTido Mhando pia ni muislam wa Bagamoyo.
sio kweli kwamba kuna udini,Tunaomba takwimu za wajiriwa wote wa azam,Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
Pwani hakuna wapagani!!..mi mwenyewe msukumaToa uthibitisho kwamba majority ya wasukuma ni wapagani. Kwani huko pwani wapagani hakuna ???
AZAM sio Uislam ni UPEMBA Ukienda viwandani kwake wengi ni WAPEMBAIPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
We jamaa vp. Huko kuna wazaramo kibao hadi leo wanaabudu Kinyankera. Me mwenyewe mtu wa pwaniPwani hakuna wapagani!!..mi mwenyewe msukuma
PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udiniBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
Ila ramadhani wanafunga na idd wanauchapa mpungaWe jamaa vp. Huko kuna wazaramo kibao hadi leo wanaabudu Kinyankera. Me mwenyewe mtu wa pwani