Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Unakusudia watanganyika ni watu wa hovyohovyo? Hili ni moja wewe ni mbaguzi hatari sana na kama jina lako BEEF, mpumbavu bora ya mjinga. Mimi ni mzaliwa na mkulia wa Zanzibar
 
Unakusudia watanganyika ni watu wa hovyohovyo? Hili ni moja wewe ni mbaguzi hatari sana na kama jina lako BEEF, mpumbavu bora ya mjinga. Mimi ni mzaliwa na mkulia wa Zanzibar
Acheni tabia za hovyohovyo mkikaa Jamii za watu. Uzuri Nimeishi na kulelewa na wakurya. Wakurya mtoto wa kiume anaheshimika sana mtoto wa kike Lazima uwe na heshima iliyotukuka Sasa mzaramo ukitoka Dar. Ukaingia musoma ukataka uishi Kizaramo Lazima uumie. Wazungu wanakawaida wakiwa wanaenda mahali Lazima Wajue mila na tamaduni za eneo husika hata kwa kugoogle apate kuelewa anapokwenda.

Tatizo wa bongo mnapenda kuishi kimazoea matokeo yake mnalalama mnabaguliwa ACHA TABIA ZA HOVYOHOVYO UKIWA MIJI YA WATU
 
anzisha cha kwako.
matabaka ya udini hayataisha kamwe.
maana ndo miongozo ya maisha yetu.
 
ndio mnavyodanganyana huko masjid? nyie mko busy na madrasa elimu mtaijulia WAP
tena muombe mungu nyerere aliwabeba kwa kitsifisha shule za wakristo ili nyie msome
tunajua kaz yenu n kufundshana judo na kareti na kifuga ndevu elimu haipo
hadi sasa MNA chuo kikuu kimoja tu aibuuu
 
Kwa hili nadhani itabidi walione mapema Na walipatie ufumbuzi maana ni wazi hili lipo hata counter zao za pale ferry booking office pia azam TV utakutana zaidi Na sura za kipemba tu
Kumbe Wapemba wana sura zao?
 
Udini na ukabila ni majanga tarajiwa ya nchi hii. Yanafanyika chini kwa chini, yanaonekana lakini hatujayakemea. Kabila la mwenye mali huamua makabila na dini ya wafanyakazi wake.
 
Mbaguzi akibaguliwa ndio huita ubaguzi!
Mara hii mmeusahau mfumo kristo?
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku

Udart (mwendokasi) wamejaa wasukuma
 
Walikufukuza kwa sababu ya fogery. Wewe kwa nini utumie jina la athumani wakati ni mkristo? Kwa nini ufoji? Walikutimua kwa sababu hiyo na nia yako ovu.
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Huo msumeno wako unamaanisha kuwa kwa vile Magu ni mkatoliki basi kina samia wake benchi awaweke kina daudi wote???
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…