usingizi umetoroka!!!Duu halafu fasta ukaja huku...!!!
Kweli???Mimi night mover kama popo
Sijaona swali lolote la maana ulilomuuliza mshana. Zaidi nilichojifunza kuhusu wewe ni kwsmba una wivu na ni mtu mbinafsi. Nadhani unaumia kuona uzi wa mshana unavutia watu wengi Zaidi. Uwezo wako hata katika kuandika ni mdogo. Sikujui wala simjui mshana ila nimefuatilia ubishani wenu nikagundua mshana anapoteza muda wake kubishana na mtu was ajabu sana.Huna jipya,ila nafsi yako inakusuta ulivyoteseka kwa maswali yangu na kushindwa kujieleza au kuyajibu,umebaki unahangaika tu na kashfa za kitoto kama Kuku aliyekatwa Shingo kisha akaachiwa.
Clever king hilo jina jivue. Uwezo wako mdogo sana. Hii inajionyesha hata hapa kwenye jibu lako kwa huyu bwana. Yani hata wewe mwenyewe hutambui wala kukumbuka ulianzaje? Fuatilia comments zako za kwanza utagundua naongea nini. We we comment yako ya Kwanzaa kabisa ilikua ni kumshambulia mshana kwamba anadanganya watu. Hiyo ndio ilikua comment yako ya Kwanzaa kabisa. Na yapili hivohivo. Ya tatu hivohivo. Tena mshana wala hakuhamaki baada ya comment yako ya Kwanzaa tu yeye alichofanya alikukaribisha na kukuuliza ulipotelea wapi. Lakini bado ukamjibu kwa kumshambulia. Yeye hakuhamaki tena akakujibu vizuri Lakini ukamshambulia tena. Mshana amekuja kuhamaki baadae sana baada ya kuona ni kama anajikomba kwako. Hilo nalo hulioni? Au ulikua unaandikiwa? Jibu lako kwa huyu bwana linaonyesha linathibitisha sasa ni kwa jinsi gani una upeo mdogo sana Au ni mbishi aliyerithi. Kuna comment moja mshana kasema kafuatilia posts zako kagundua una Uwezo mdogo sana. Nakubaliana nae kwa asilimia Mia moja. Una uwezo mdogo sana kaka.Scroll up uone alivyokwepa kujibu maswali yangu ya msingi,au na wewe ndio wale wanaompigia Debe ili kuvutia "Customer?" Naona umekuja na kuegemea upande mmoja!!
Well said taamu. My analysis of the guy is he is too envious and selfish. Nadhani atakua aliwahi kuweka uzi ukakosa comments nyingi. Anasumbuliwa na wivu huyu clever queen. Hii ni aina ya mtu ambaye ni hatari sana mtu was aina Hii anaweza kuchukia mafanikio ya mwingine kissing cha kumuendea kwa waganga. Natamani Siku nikutane na uzi wake nione uwezo wake ktk kuchambu mamboMjomba kama kitu hukubaliani nacho si unaacha.ningeshauri uanzishe mada yako.UIITE HAKUNA UCHAWI DUNIANI.kuliko kuanzisha bifu na mtu na kuona ana faidi.kama wanaomsapoti ni wapuuzi ungewaacha tu,maana ni wengi mno kwenye post.mbona mkiulizwa kuhusu mungu pia mbakosa fact.anzisha mada yako mkuu kupinga uchawi na mambo ya kufikirika.
Well said taamu. Tatizo huyo clever queen Anasumbuliwa na wivu na chuki. Natamani nikutane na uzi wake nione uwezo wake ktk kuchanfanua na kuhoji mambo ulivo. Bila shaka nitakutana na ninachokitegemeaMjomba kama kitu hukubaliani nacho si unaacha.ningeshauri uanzishe mada yako.UIITE HAKUNA UCHAWI DUNIANI.kuliko kuanzisha bifu na mtu na kuona ana faidi.kama wanaomsapoti ni wapuuzi ungewaacha tu,maana ni wengi mno kwenye post.mbona mkiulizwa kuhusu mungu pia mbakosa fact.anzisha mada yako mkuu kupinga uchawi na mambo ya kufikirika.
Very irrelevant comment really. Sometimes choosing to keep quite helps. SionI relevance ya Hii
Nimekaa kule visiwani sijawahi kukutana na mchawi wa bara...!kimsingi kule wanajitosheleza na wana wateja wengi toka bara.....ukimkuta mchawi wa bara kule jua kafanya kolabo na majiniMkuu mshana jr, kwa mfano wachawi wa bara hutumia njia gani kufika visiwani Zanzibar au hawaendi kabisa kule??
Asante sana Moral H kwa kuligundua hiliClever king hilo jina jivue. Uwezo wako mdogo sana. Hii inajionyesha hata hapa kwenye jibu lako kwa huyu bwana. Yani hata wewe mwenyewe hutambui wala kukumbuka ulianzaje? Fuatilia comments zako za kwanza utagundua naongea nini. We we comment yako ya Kwanzaa kabisa ilikua ni kumshambulia mshana kwamba anadanganya watu. Hiyo ndio ilikua comment yako ya Kwanzaa kabisa. Na yapili hivohivo. Ya tatu hivohivo. Tena mshana wala hakuhamaki baada ya comment yako ya Kwanzaa tu yeye alichofanya alikukaribisha na kukuuliza ulipotelea wapi. Lakini bado ukamjibu kwa kumshambulia. Yeye hakuhamaki tena akakujibu vizuri Lakini ukamshambulia tena. Mshana amekuja kuhamaki baadae sana baada ya kuona ni kama anajikomba kwako. Hilo nalo hulioni? Au ulikua unaandikiwa? Jibu lako kwa huyu bwana linaonyesha linathibitisha sasa ni kwa jinsi gani una upeo mdogo sana Au ni mbishi aliyerithi. Kuna comment moja mshana kasema kafuatilia posts zako kagundua una Uwezo mdogo sana. Nakubaliana nae kwa asilimia Mia moja. Una uwezo mdogo sana kaka.
Du, wewe uliishafanyiwa hivi?Unaingia kwenye kula kiapo kwanza kisa unasaini maagano baada ya hapo kuna dawa unalishwa kisha unapelekwa
Yes nilikuwa nikipitia maswali ambayo watu wanakuuliza ili kujua majibu yako ndio nikakutana na huyu clever queen. Nikafuatilia sana lkn nikashindwa kabisa kuona point ktk maandishi yake zaidi ya kuona kwamba uwezo wake ni mdogo sana lakini pia uwezo huo mdogo umegubikwa na wivu, ubinafsi na chuki. Mtu mwenye uwezo mdogo akiwa na ziada ya hivo vitu vitatu juu yake anakuwa Mtu Hatari sanaAsante sana Moral H kwa kuligundua hili
Wewe unamtukana mshana jr? Atakuingilia usiku umelala, hapo ndo utapambana nae hahaahaaaaaa..........Wewe tukana mpaka mwisho wa dunia, lakini ukidanganya tu, mimi na wewe.
Porojo tena za kitoto, eti mijitu mirefu baharini.
Wewe una miaka mingapi umri wako? Kama ni over 18 basi akili zako zimedumaa na ni sawa na mtoto wa miaka 11.