Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Hivi kila mchawi huwa ana usafiri wake ama wengine wanatumia kama sisi 'public transport?'
 
mshana jr naomba next time unitag ktk thread zako ukweli baharini hakufai tuione Tu kwa nje hivi Nina shemej yangu n almarhum kwa sasa yeye hua anapenda kuvua Hua nikienda Zanzibar napenda kumdadisi ya baharini Kuna siku akanihadithia kua unaeza ukajikuta upo chini umezamia na ukasikia kama milango inafunguka nilimmaka!! Skuamini kabisa akanambia Kuna viumbe kama huku nchi kavu na wanaendesha maisha kama tunavoendesha sisi huku acheni Mungu aitwe Mungu
 
Clever king hilo jina jivue. Uwezo wako mdogo sana. Hii inajionyesha hata hapa kwenye jibu lako kwa huyu bwana. Yani hata wewe mwenyewe hutambui wala kukumbuka ulianzaje? Fuatilia comments zako za kwanza utagundua naongea nini. We we comment yako ya Kwanzaa kabisa ilikua ni kumshambulia mshana kwamba anadanganya watu. Hiyo ndio ilikua comment yako ya Kwanzaa kabisa. Na yapili hivohivo. Ya tatu hivohivo. Tena mshana wala hakuhamaki baada ya comment yako ya Kwanzaa tu yeye alichofanya alikukaribisha na kukuuliza ulipotelea wapi. Lakini bado ukamjibu kwa kumshambulia. Yeye hakuhamaki tena akakujibu vizuri Lakini ukamshambulia tena. Mshana amekuja kuhamaki baadae sana baada ya kuona ni kama anajikomba kwako. Hilo nalo hulioni? Au ulikua unaandikiwa? Jibu lako kwa huyu bwana linaonyesha linathibitisha sasa ni kwa jinsi gani una upeo mdogo sana Au ni mbishi aliyerithi. Kuna comment moja mshana kasema kafuatilia posts zako kagundua una Uwezo mdogo sana. Nakubaliana nae kwa asilimia Mia moja. Una uwezo mdogo sana kaka.
Naona mleta mada umekuja na id nyingine ili kujisafisha kwa wateja wako! ila ukae ukijua kwamba kuna watu wameshakushtukia humu,utaendelea kuwaburuza hao hao! eti ulinikaribisha vizuri!! Khaaaa!! Labda ningekuwa sikujui kwa kejeli hapo ningeamini kweli ulinikaribisha vizuri but i know u very well.
 
Very irrelevant comment really. Sometimes choosing to keep quite helps. SionI relevance ya Hii
Kuelewa jambo kunatokana na uwezo wako wa akili na upambanuaji wa jambo,hiyo wewe huwezi kuiekewa kwa sasa coz unasukumwa na mahaba tu kwa mtoa mada.
 
Wewe tukana mpaka mwisho wa dunia, lakini ukidanganya tu, mimi na wewe.

Porojo tena za kitoto, eti mijitu mirefu baharini.

Wewe una miaka mingapi umri wako? Kama ni over 18 basi akili zako zimedumaa na ni sawa na mtoto wa miaka 11.
Aisee! Faiza foxy bora umeligundua hilo,hizi hadithi za mleta mada ni kama zile hadithi za kipindi cha Rtd enzi zileee cha Mama na mwana...orjust a Bed time story.
 
Sijaona swali lolote la maana ulilomuuliza mshana. Zaidi nilichojifunza kuhusu wewe ni kwsmba una wivu na ni mtu mbinafsi. Nadhani unaumia kuona uzi wa mshana unavutia watu wengi Zaidi. Uwezo wako hata katika kuandika ni mdogo. Sikujui wala simjui mshana ila nimefuatilia ubishani wenu nikagundua mshana anapoteza muda wake kubishana na mtu was ajabu sana.
Yaani umekurupuka bila kujielewa!! Bora ungekaa kimya ili kuficha upumbavu wako,
eti wivu kuona thd inavutia!! Khaaaa!! Wa wapi wewe? Think forward and not backward, ur level of understanding and analysing things bado sana,Siku nyingine uwe unaficha kidogo ushamba wako kuliko kukurupuka kama umetoka usingizini,acha kutafuta ligi na mimi Kijana.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwishney....nimeshakupa offer ya matibabu kwa bili yangu sina Rohombaya

Huoni hata haya kuzua uongo wa kitoto ndani ya JF?

Eti mijitu mirefu baharini. Mkalala, kuondoka ndiyo boti ikafanya kazi.

Kwi kwi kwi

Hiyo ni paukwa pakawa.
 
Naona mleta mada umekuja na id nyingine ili kujisafisha kwa wateja wako! ila ukae ukijua kwamba kuna watu wameshakushtukia humu,utaendelea kuwaburuza hao hao! eti ulinikaribisha vizuri!! Khaaaa!! Labda ningekuwa sikujui kwa kejeli hapo ningeamini kweli ulinikaribisha vizuri but i know u very well.
Hivi kwanini unapenda kuzusha mambo? Niliweka dau la laki 5 uthibitishe ID fulani kuwa ni yangu ukaingia mitini, ametokea member mwingine kakujibu kutokana na mtazamo wake unakimbilia kusema ni mimi kwa ID nyingine NAWEKA DAU LINGINE LA 1,000,000/= uthibitishe hili...ukishindwa utakuwa umejidhalilisha kupita maelezo...hakuna kitu kibaya kama mwanaume kuwa mzushi
 
Huoni hata haya kuzua uongo wa kitoto ndani ya JF?

Eti mijitu mirefu baharini. Mkalala, kuondoka ndiyo boti ikafanya kazi.

Kwi kwi kwi

Hiyo ni paukwa pakawa.
Itafika mahali utawehuka ukiona ID yangu..ila si kosa lako ni hayo maradhi unayougua...Nimekupa offer ya matibabu naona unaipotezea
 
Itafika mahali utawehuka ukiona ID yangu..ila si kosa lako ni hayo maradhi unayougua...Nimekupa offer ya matibabu naona unaipotezea

Kuona mijitu mirefu wasiyoiona wengine hizo ni hallucinations na huwapata ma psycho tu.

Tafuta tiba haraka sana.
 
Kuona mijitu mirefu wasiyoiona wengine hizo ni hallucinations na huwapata ma psycho tu.

Tafuta tiba haraka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
Yes nilikuwa nikipitia maswali ambayo watu wanakuuliza ili kujua majibu yako ndio nikakutana na huyu clever queen. Nikafuatilia sana lkn nikashindwa kabisa kuona point ktk maandishi yake zaidi ya kuona kwamba uwezo wake ni mdogo sana lakini pia uwezo huo mdogo umegubikwa na wivu, ubinafsi na chuki. Mtu mwenye uwezo mdogo akiwa na ziada ya hivo vitu vitatu juu yake anakuwa Mtu Hatari sana
Kuna uzi mmoja huyu jamaa Clever (Clever ujinga) ashasema mimi ni taperi,nikauliza kama kuna mwana jamiiforum yeyote nishawahi kumtaperi hapa ajitokeze sikumuona. Kwa kifupi ana hulka ya kishg.
 
Kuelewa jambo kunatokana na uwezo wako wa akili na upambanuaji wa jambo,hiyo wewe huwezi kuiekewa kwa sasa coz unasukumwa na mahaba tu kwa mtoa mada.
Hapa unasema mimi Moral H "ninasukumwa na mahaba tu kwa mtoa mada (Mshana)".
Walimwengu nisaidieni. Hiki kichwa kina ubongo wa aina gani?
 
Clever King hapa umeniita mimi ni Mshana Jr ila ID nyingine.

Hapa umeendelea kusema kwamba mimi ni Mshana ila natumia ID nyingine. Nimejipa "multiple IDs"

Hapa unasema mimi Moral H "ninasukumwa na mahaba tu kwa mtoa mada (Mshana)".
Walimwengu nisaidieni. Hiki kichwa kina ubongo wa aina gani?
Replies zako zimemchanganya lakini pia kiasili ana tabia ya kuzusha na ukimwambia thibitisha anaingia mitini...kuna mdau hapa alishawahi kumsingizia utapeli akaambiwa athibitishe akashindwa
Siwezi kumlaumu sana hili ni jukwaa la wote kwahiyo haliwezi kukosa mengi na tabia tofauti tofauti pia ...lakini mara nyingi watu wenye tabia hizi huwa wana vurugu za kimaono
 
Nimejaribu kujiuliza ninabishana na mtu wa aina gani my analysis of him ended inconclusive. Anasema mimi ni mshana ila nimejipa Id nyingine tu. Hapa nilitaka kuahidi Pound 500 za kiingereza kama atathibisha madai yake. Lakini yeye huyohuyo nikakuta kasema kwamba mimi ni ninasukumwa na mahaba tu kwa mtoa mada mshana, yeye mwenyewe akithibitisha kwamba mimi sio mshana. I was shocked. Ndio mana nikaomba wengine mnisaidie kudescribe bongo ya Huyu bwana
 
Kuna uzi mmoja huyu jamaa Clever (Clever ujinga) ashasema mimi ni taperi,nikauliza kama kuna mwana jamiiforum yeyote nishawahi kumtaperi hapa ajitokeze sikumuona. Kwa kifupi ana hulka ya kishg.
Dada acha kuzusha vitu kwa manufaa ya kuhurumiwa! Acha kuzusha haipendezi.
 
Nimejaribu kujiuliza ninabishana na mtu wa aina gani my analysis of him ended inconclusive. Anasema mimi ni mshana ila nimejipa Id nyingine tu. Hapa nilitaka kuahidi Pound 500 za kiingereza kama atathibisha madai yake. Lakini yeye huyohuyo nikakuta kasema kwamba mimi ni ninasukumwa na mahaba tu kwa mtoa mada mshana, yeye mwenyewe akithibitisha kwamba mimi sio mshana. I was shocked. Ndio mana nikaomba wengine mnisaidie kudescribe bongo ya Huyu bwana
Tulia dawa ikuingie wewe bado sijamaliza dozi,utapona tu,maana umekurupuka na kuandika vitu ili kumfurahisha mtu tu,hivyo vipesa vyako peleka huko Kijijini kwenu zitawasaidia kupunguza ukali wa maisha.
 
Replies zako zimemchanganya lakini pia kiasili ana tabia ya kuzusha na ukimwambia thibitisha anaingia mitini...kuna mdau hapa alishawahi kumsingizia utapeli akaambiwa athibitishe akashindwa
Siwezi kumlaumu sana hili ni jukwaa la wote kwahiyo haliwezi kukosa mengi na tabia tofauti tofauti pia ...lakini mara nyingi watu wenye tabia hizi huwa wana vurugu za kimaono
Acha kuwa nyumbu wewe kufuata na kusapoti kitu bila kutafakari,wapi mtu kazushiwa utapeli? Hizo reply ni ushahidi tosha kabisa kuwa comment zangu zinakuchoma na unajaribu kujisafisha kwa kila njia! But it's too little too late,

Hizo reply ni za mtu aliyekurupuka kama mtoto wa Shule aliyepoteza nauli,kusanya na wengine ili waje wakusafishie njia JF, but remember huwezi kulazimisha watu wote wakubaliane na unachokiamini wewe...Never
 
Back
Top Bottom