Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Acha kuwa nyumbu wewe kufuata na kusapoti kitu bila kutafakari,wapi mtu kazushiwa utapeli? Hizo reply ni ushahidi tosha kabisa kuwa comment zangu zinakuchoma na unajaribu kujisafisha kwa kila njia! But it's too little too late,

Hizo reply ni za mtu aliyekurupuka kama mtoto wa Shule aliyepoteza nauli,kusanya na wengine ili waje wakusafishie njia JF, but remember huwezi kulazimisha watu wote wakubaliane na unachokiamini wewe...Never
Naomba tusilete mipasho thibitisha uzushi wa ID mbili ulizosema zangu
 
Yes nilikuwa nikipitia maswali ambayo watu wanakuuliza ili kujua majibu yako ndio nikakutana na huyu clever queen. Nikafuatilia sana lkn nikashindwa kabisa kuona point ktk maandishi yake zaidi ya kuona kwamba uwezo wake ni mdogo sana lakini pia uwezo huo mdogo umegubikwa na wivu, ubinafsi na chuki. Mtu mwenye uwezo mdogo akiwa na ziada ya hivo vitu vitatu juu yake anakuwa Mtu Hatari sana
Screenshot_2016-02-04-17-12-21.jpg
 
Huoni hata haya kuzua uongo wa kitoto ndani ya JF?

Eti mijitu mirefu baharini. Mkalala, kuondoka ndiyo boti ikafanya kazi.

Kwi kwi kwi

Halafu analazimisha watu wote wamuamini! Ukimpinga unakua adui kwake!! Jamaa hajielewi kweli huyu.

Hiyo ni paukwa pakawa.
 
Jibu kwanza ulichoulizwa acha kuruka ruka kama kama Maharage jikoni.
Nafikiri una shida tena kubwa tuu..thibitisha kile ulichonituhumu kumiliki ID zaidi ya moja nimekuwekea na Dau la 1.5m
 
Nafikiri una shida tena kubwa tuu..thibitisha kile ulichonituhumu kumiliki ID zaidi ya moja nimekuwekea na Dau la 1.5m
Shida unayo wewe uliyeamua kunitafuta kwa mara nyingine! Jibu swali wewe, Hizo pesa zitumie kujishughulisha badala ya kushinda jf
 
we mshana wewe mbona unakuja na mikanganyiko kila siku,haya sasa hebu nifafanulie hapa huku kwetu kanda ya ziwa hasa sisi watu waziwani ziwa victoria kwanza tunaamini mv bukoba ulizamishwa kichawi na kuna baadhi ya wavuvi huwa wanaiona usiku inapiga masafa,naolewako ukiropoka unapotea,pili shughuli zetu za uvuvi bila kwenda kwa mganga au mtaalam huvui ng'oo au lazima mauzauza yakutokee,ndomana kunawengine bila kidole cha ndugu zetu walipungukiwa madini ya melani kwenye ngozi kufungwa kwenye upande wanyavu hawapati kitu au bila kafara ya mwanadamu huambui
 
Siku nyingine acha kuzushia watu sio vizuri na haipendezi Mkuu.
Nikizushie kwa lipi kwanza sikufahamu. Angalia komenti zangu kama huwa nashughurika na kufuatilia mtu nisiyemfahamu kama sio wewe. Ni vibaya sana kumtuhumu mtu pasipo kufahamu anaishi vipi na anafanya kazi gani. Na tutaendelea kuwaonya mara kwa mara na mipasho yenu kama vikundi vya taarabu. Ni aibu sana mwanaume mzima unakomaa kuingilia posti ya mtu pasipo kumfahamu fani yake.
 
Huoni hata haya kuzua uongo wa kitoto ndani ya JF?

Eti mijitu mirefu baharini. Mkalala, kuondoka ndiyo boti ikafanya kazi.

Kwi kwi kwi

Hiyo ni paukwa pakawa.
Kumbe JF watu wenye upeo wa kupambanua vitu wapo wengi tu.
 
Nikizushie kwa lipi kwanza sikufahamu. Angalia komenti zangu kama huwa nashughurika na kufuatilia mtu nisiyemfahamu kama sio wewe. Ni vibaya sana kumtuhumu mtu pasipo kufahamu anaishi vipi na anafanya kazi gani. Na tutaendelea kuwaonya mara kwa mara na mipasho yenu kama vikundi vya taarabu. Ni aibu sana mwanaume mzima unakomaa kuingilia posti ya mtu pasipo kumfahamu fani yake.
Nimejaribu kukuuliza kistaarabu but naona ni kama u don't deserve it,umeshindwa kuthibitisha basi piga kimya tu,usijiingize na vikejeli vyako kwa mtu usiyemjua.
 
Back
Top Bottom