Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

hata mchawi akiangukia baharini utajuaje?nchi kavu sababu tunaishi tunaona wakianguka.
 
Ndio kama ilivyo tu kwenye dawa yoyote hata panadol utaambiwa kutwa mara 3
ukifanikiwa kujua siku yoyote nifahamishe mkuu hata kwa pm, haya maji me nina access nayo daily naishiaga kuogelea tu, kiuhalisia ni maji ya maajabu maana yanatakatisha mno
 
cariha said:
Wachawi wakubwa naona wakiona nyuzi za mshana Jr wanapaniki
Dah.. Siyo utani kiongozi ila tumemuwekea kikao cha kumshugulikia. Kikao bado kina endelea 😉🙂🙂
 
ukifanikiwa kujua siku yoyote nifahamishe mkuu hata kwa pm, haya maji me nina access nayo daily naishiaga kuogelea tu, kiuhalisia ni maji ya maajabu maana yanatakatisha mno
Ok wanasema yaendayo(maji kupwa) sio mazuri bali yale yajayo(maji kujaa) kwakuwa yametakasika
 
KENZY nilishawahi kulijibu hili siku za nyuma kwenye nyuzi nyingine pengine hukuona
Ni kwamba niliishi kusoma na kupractice mambo ya kiroho kwa miaka isiyopungua 20.[ Umeoa Mr?je mkeo na familia wanajua habar hii?Kama wanajua..hawakuogopi kweli???
 
Wapo majini wanaoishi baharini na wanaoishi nchi kavu na wanaoishi nchi kavu mara nyingi ni katika miti, milima, mabonde nk.
Na pia wapo wanaoishi katika mazingira yetu kama vile mashule, nyumba, nk.

KWA NINI WANAISHI MAZINGIRA YETU?
Wakati mwengine inatubidi kukata miti au kusafisha pori na kufanya makazi hivyo kama kulikuwa ni makazi yao hubaki kutuandama, na pia wakati mwengine hukaa ktk maeneo yetu sababu ya maagano ya zindiko nk
Wee kaka/Dada Jichawi....kwa nn umeamua kujiita jina hilo??Mbona kama nakuogopa hivi...ha ha ha
 
we umeacha uchawi au unaendelea..?..... Yesu akukumboe kwa damu yake iliyomwagika msalaban...
 
Back
Top Bottom