Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Pia hawa jamaa hata wakimpenda mwanamke si wanamvizia tu usiku wanamkula papuchi, au kumfanyia visa kidume yeyote na kumla mtandao pendwa
Mtandao pendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mshana Jr kuna binamu yangu aliwahi kupote kishirikina zaidi ya mwaka na nusu na baadae kuonekana na kusema alikuwa Gamboshi..na kule kuna baadhi ya watu waliokufa zamani alikuwa nao...ilikuwa mwka 2003...sasa ana Maisha yake na anafamilia je akumuasili kisaikolojia...

Haya mambo yapoooo
Kuna ulimwengu ambao wengi hatujui lakini upo na unafanya kazi
 
Nimewahi kupigiwa hadithi kama hii kabisa na mtu mmoja na ilimtokea yeye mwenyewe kuona majoka makubwa na manene kama mbuyu yakifungwa mnyororo wa ajabu na kupandishwa kutoka mtoni hapa Moro na kupotelea angani!
Hii nayo ni kali sijapata kusikia
 
Nimewahi kupigiwa hadithi kama hii kabisa na mtu mmoja na ilimtokea yeye mwenyewe kuona majoka makubwa na manene kama mbuyu yakifungwa mnyororo wa ajabu na kupandishwa kutoka mtoni hapa Moro na kupotelea angani!
Yaah hata mimi alienieleza alishuhudia kuna mambo mengi ya ghaibu ambayo hatuyajui na kuweza kuyathibitisha kwa macho na akili zetu ni kazi ngumu.
 
Kuna ulimwengu ambao wengi hatujui lakini upo na unafanya kazi
Mshana jr hebu nisaidie hili kuna baadhi ya hadithi katika maandishi au filamu nimepata kuziona zikizungumza kuhusu mtu kupoteza kumbukumbu mfano hai ni penye borne identity waqt Jason alipopigwa risasi na Carlos alipoteza kumbukumbu.
Hata jina lake akawa halikumbuki ila cha ajabu lugha ya kuwasiliana ni ileile na vitu vingine kama kufungua bastola na kuirudisha pia sanaa ya mapigano inakuwaje hivyo havifutiki?au haikai katika centre of memory?tafadhali ingawa nipo nje ya mada.
 
Kuna kiwango cha IQ huwa inabaki kwenye ufahamu wa mwanadamu hata awe chizi
 
UKIIJUA KWELI. HIYO KWELI ITAKUWEKA HURU NA UTAKUWA HURU KWELIKWELI. Ni mstari katika bible japo sikumbuki kitabu gani.
werrason kuna baadhi ya vitu sitaweza kuvijibu moja kwa moja...huu ni mtandao nataka mwisho wa siku nibaki mimi kama mimi
 
Wakati nasoma kule Bagamayo kuna wakati jioni kuna watu nishawashuhudia wakiingia majini na kupotelea huko! Bahari ina mengi..
 
Kuna kile kisiwa kiko karibu na mbegani siku moja tunatoka kule saa nne usiku mtumbwi ukazima katikati ya bahari nahodha akahangaika karibia saa nzima ikashindikana akasema hakuna jinsi lazima tulale
Ilipofika usiku wa saa sita tukaona watu sita warefu sana wanatembea juu ya maji kama mita 20 toka tulipokuwa kisha wakapotelea majini. ...baada ya pale nahodha akasema sasa tunaweza kuondoka! Na kweli alipowasha chombo Kiki moja tu chombo kikawaka tukaondoka ila aligoma katakata kutuambia kulikuwa na uhusiano gani kati ya wale watu na chombo chetu
 
Aisee..hiyo kali..[emoji1]
 
sasa mshana jr wewe ndio unatakiwa leo utuambie kwa nini io ilitokea na uhusiano wake maana ushakua expart kwa kiasi flan kwenye hii field
 
Troojan mambo ya bahari hata uwe mtaalamu vipi huwezi kuyajua yote
 
Back
Top Bottom