Maneno yako ni symptoms ya frustration na wivu ambao hauna jinsi ya kuuficha,possession of failure,eti unajilinganisha na post zangu!! Au ndio unajisifia ile post uliyoileta ya "Tabia za Kuku?" Hahahaaaa! Hapo ulibadili gia kidogo kutoka mipost ya kishirikina hata hivyo ulipigwa maswali mpaka ukawa mpole!
Unapoleta mada kuwa neutral kujibu hoja na uache hizo Personal attack,kumu attack mtu na kutoka nje ya mada ni dalili ya kushindwa,acha dharau acha kutukana watu usio wajua,acha kujifanya Much know,acha kutoa vitisho vya kitoto kwa mtu usiyemjua,halafu mtu mwenye akili huwa hajisifu hata siku moja! Narudia tena acha kudharau mtu usiyemjua!