Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Acha kujipa matumaini hewa! Unataka kufananisha post zangu na hizo post zako za kishirikina na kichawi unazozirudia rudia tu humu kila kukicha? Kuuliza maswali ndio ikageuka kuwa uadui? Tatizo lako unapenda sana mteremko,akitokea mtu kukupinga na kukuuliza maswali basi unachanganyikiwa na kuanza kutoa kashfa za kitoto!
 
1.Nasikia Illuminate wamejenga mjengo chini ya Bahari.Ni kweli au ndo magazeti ya Udaku?
2.Kuna utofauti gani kati ya Ocean na Sea.
Ipi kati ya Ocean na Sea ambayo mchawi hawezi pita na kwanini nyengine ashindwe?
Sea is a large lake and ocean is a large sea.
 
Acha kujipa matumaini hewa! Unataka kufananisha post zangu na hizo post zako za kishirina unazozirudia rudia tu humu kila kukicha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you are such an amazing funniest guy ever....! No comment
 
DIVINE niliishi ulimwengu wa giza na nikafanya mengi (nikisema mengi namaanisha mengi hasa)ila kwa NEEMA NIKAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU KRISTO! sikufa because I was left to tell

Wengi niliokuwa nao hawapo tena duniani baadhi yao walikufa vifo vya mateso mno waliobaki wanaishi kwenye viapo na maagano vinavyowatesa mno na hawako huru kama mimi
Kweli ni yesu tu ndio awezae kumuweka mtu huru barikiwa sana mshana
 
DIVINE niliishi ulimwengu wa giza na nikafanya mengi (nikisema mengi namaanisha mengi hasa)ila kwa NEEMA NIKAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU KRISTO! sikufa because I was left to tell

Wengi niliokuwa nao hawapo tena duniani baadhi yao walikufa vifo vya mateso mno waliobaki wanaishi kwenye viapo na maagano vinavyowatesa mno na hawako huru kama mimi
tatizo mshana jr unasimulia kwa ufupi sana,,,
 
Wabongo hawa wanaoturoga huku Marekani wameuletaje? Yaani Wabongo wachawi balaa mpaka vibinti vidogo. Hawa hawajavuka nao baharini?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you are such an amazing funniest guy ever....! No comment
Huna jipya,ila nafsi yako inakusuta ulivyoteseka kwa maswali yangu na kushindwa kujieleza au kuyajibu,umebaki unahangaika tu na kashfa za kitoto kama Kuku aliyekatwa Shingo kisha akaachiwa.
 
Umenikumbusha mbali...tukio nililosafiri na fisi kwenda kuchukua fisi wa replacement ya mmoja tuliye muuwa tukiwa watoto wakubwa...ni hatareee...sitamsahau ng'wana makhuma...
 
Huna jipya,ila nafsi yako inakusuta ulivyoteseka kwa maswali yangu na kushindwa kujieleza au kuyajibu,umebaki unahangaika tu na kashfa za kitoto kama Kuku aliyekatwa Shingo kisha akaachiwa.
Usilazimishe kujibiwa siwezi kujibu upuuzi, bado ninachokwambia ni kile kile you are too low to me! At least you should clearly know it....na huu ukweli hautakaa ubadilike
Usijaribu kupambana na mimi hutaniweza kwakuwa u mwepesi mno!unakumbuka nilikuambiaje? You are shallow minded. ..hili si kosa lako ni makuzi na inferiority complex imekuharibu
Nimekupa changamoto uje na constructive criticism bado unashindwa na kubaki kwenye malumbano most likely your life is miserable! Ungekuwa unaishi social happy life usingekuwa na fikra zilizokunjamana
Niliweka dau la laki 5 unionyeshe hiyo ID yangu nyingine umeshindwa! Pal you know this is stupidity n too low for someone claiming to be clever king? Msijipe majina makubwa msiyoendana nayo...
 
Aah na wewe umekuja?karibu shujaa mimi nawapenda watu wanaokufa kishujaa,aah tu tayari tunainoa midomo yetu kama tai na mikuki yetu inang'aa katika miali ya jua.
Unakikumbuka kipande hicho kara shujaa?
Baba yule mtu alikuwa hatari, nilikisoma siku nyingi hicho kitabu.
Lakini sehemu ambayo mpaka leo siwezi kuisahau kwenye hicho kitabu, ni pale alipoilinda ngazi kuu(sijui ndio hiyo unaisema).
Mzuvendi alitembeza shoka kuilinda ngazi kuu huku adui mmoja baada ya mwingine wakidondoka na shoka kila lilipopiga lilipiga pigo takatifu.
Mwishowe adui walisimama kumshangaa kuwa alikuwa mtu wa aina gani.
Kala-Mzuvendi, kaka ile mashine ilikuwa hatari.
Pigo moja, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
Sijui Kama kile kitabu bado kipo kwenye maduka ya vitabu.
 
Kara alikuwa mtu wa zuvendi na mtiifu kwa malkia nyleptha na siku hiyo alikuwa amefungwa kamba na askari walio kuwa chini yake ni usaliti flan.
Walipofika makumazahn na umslopogaas ndo aliwafungulia mlango peke yake wakamkuta nyleptha ndo anaamka wakaenda kuangalia mlango wa kuingilia jamaa alikwisha udondosha usiku kukawa hakuna namna ila kuujenga ili wale waovu wasiingie.
Waqt wanaanza kujenga ndipo yule mtu mkubwa aliponiambia"makumazahn wakija watu waovu nitasimama kuilinda ngazi Kuu mpaka mlango uishe kujengwa usinikatalie rafiki yangu kwani kifo hiki kilitabiriwa na watu wa zamani
 
Baba yule mtu alikuwa hatari, nilikisoma siku nyingi hicho kitabu.
Lakini sehemu ambayo mpaka leo siwezi kuisahau kwenye hicho kitabu, ni pale alipoilinda ngazi kuu(sijui ndio hiyo unaisema).
Mzuvendi alitembeza shoka kuilinda ngazi kuu huku adui mmoja baada ya mwingine wakidondoka na shoka kila lilipopiga lilipiga pigo takatifu.
Mwishowe adui walisimama kumshangaa kuwa alikuwa mtu wa aina gani.
Kala-Mzuvendi, kaka ile mashine ilikuwa hatari.
Pigo moja, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
Sijui Kama kile kitabu bado kipo kwenye maduka ya vitabu.
Akajitupa chini na kulala tulikuwa tumejenga kama futi tatu ndipo kwa chini ya ngazi nikawaona wale waovu wanakuja nikamuamsha yule mtu mkubwa akajinyoosha na kusema aaah divai na usingizi vimenifanya nijisikie kijana tena aah kama taa inayopanda kabla haijazimika usiogope nitapigana vema.
Makumazahn nimeota ndoto mimi nawe tupo katika nyota na miguu yetu imeelekea dunia ila sikuweza kuuona uso wangu aah saa yetu imefika eeh mwindaji mzee na ije tumeishi si haba ila ningependa kuona vita vingine kama vile vya jana wanizike kwa desturi za kikwetu makumazahn wauelekeze uso wangu kuelekea nchi ya uzulu.
 
Usilazimishe kujibiwa siwezi kujibu upuuzi, bado ninachokwambia ni kile kile you are too low to me! At least you should clearly know it....na huu ukweli hautakaa ubadilike
Usijaribu kupambana na mimi hutaniweza kwakuwa u mwepesi mno!unakumbuka nilikuambiaje? You are shallow minded. ..hili si kosa lako ni makuzi na inferiority complex imekuharibu
Nimekupa changamoto uje na constructive criticism bado unashindwa na kubaki kwenye malumbano most likely your life is miserable! Ungekuwa unaishi social happy life usingekuwa na fikra zilizokunjamana
Niliweka dau la laki 5 unionyeshe hiyo ID yangu nyingine umeshindwa! Pal you know this is stupidity n too low for someone claiming to be clever king? Msijipe majina makubwa msiyoendana nayo...

Kijana wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango. Wewe kaa ujidanganye na udanganye manyumbu na wapwa zako.

Wengine humu JF wapo way above your thinking capacity. Wanachokijuwa, wanachofikiri na kukiwaza hata 2% hujaifikia na nizionavyo porojo zako humu hutafikia hata miaka 100 ijayo. Wawe capacity yako ilinganishe na yule punguani mwengine anaejiita MziziMkavu au mwengine anaejiita BAK.

Mambo hayo unayopiga porojo mwambie LIKUD akusaidie, ingawa nae ni amateur lakini humpati upeo wake hata 2%. Kumbuka hilo.
 
Kuna usemi Kuwa baadhi ya wavuvi ambao ni wanachama wa uchawi wa baharini huwa na mafanikio makubwa kila waendapo kuvua samaki huwa lazima wafanikiwe pia baadhi ya samaki hukutwa wakiwa na Vito matumboni mwao kama dhahabu ruby na almas sijui hilo lina ukweli?
 
Kijana wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango. Wewe kaa ujidanganye na udanganye manyumbu na wapwa zako.

Wengine humu JF wapo way above your thinking capacity. Wanachokijuwa, wanachofikiri na kukiwaza hata 2% hujaifikia na nizionavyo porojo zako humu hutafikia hata miaka 100 ijayo. Wawe capacity yako ilinganishe na yule punguani mwengine anaejiita Mzizi mkavu au mwengine anaejiita BAK.

Mambo hayo unayopiga porojo mwambie LIKUD akusaidie, ingawa nae ni amateur lakini humpati upeo wake hata 2%. Kumbuka hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya wahi hospital nzi wasizidi kukufuata , usifiche maradhi si jambo jema , pamoja na yote naweza kukusaidia private doctor kwa gharama zangu ili usizidi kuadhirika
 
Back
Top Bottom