Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa yanatokea yeye akiwa jikoni kabisa nina uhakika ana taarifa nyingi muhimu mno kwa kusomwa na vizazi na vizazi kwanza Badra alikuwa mwandishi Habari Corporations, hiyo kampuni ikaja kununuliwa na Rostam na kumfanyia debe la nguvu Kikwete na Lowassa waingie madarakani Badra was there.

Halafu aliwahi fanya kazi City water huko nako kulikuwa na a lot yalitokea Badra was there Akaenda Tanesco wakati wa kilele cha kashfa kibao hadi mkurugenzi Mhando akapelekwa mahakamani na Idrissa akafanyiwa kampeni ya kumng'oa Badra was there Halafu kutoka Tanesco akaenda wizara ya Nishati hadi kashfa ya Escrow inatokea Muhongo na Maswi wanaondolewa. Badra was there and still there.

Kwa kweli tungekuwa Marekani Badra angepewa offa ya mamilioni ili aandike kitabu aeleze yoote aliyoyajua kuanzia Habari Corporation hadi City water hadi TANESCO hadi Wizara ya Nishati ingawa tuko TZ naamini still Badra anaweza kujua jukumu lake la kizalendo la kuacha documentation ya mengi ambayo Taifa linahitaji kuyajua.

Aandike kitabu please

Pasco ...
 
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini
unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana

sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa
yanatokea yeye akiwa jikoni kabisa
nina uhakika ana taarifa nyingi muhimu mno kwa kusomwa na vizazi na vizazi

kwanza Badra alikuwa mwandishi Habari Corporations.....hiyo kampuni ikaja kununuliwa
na Rostam na kumfanyia debe la nguvu Kikwete na Lowassa waingie madarakani
Badra was there....

halafu aliwahi fanya kazi City water huko nako kulikuwa na a lot yalitokea
Badra was there

Akaenda Tanesco wakati wa kilele cha kashfa kibao hadi mkurugenzi Mhando akapelekwa
mahakamani na Idrissa akafanyiwa kampeni ya kumng'oa Badra was there

Halafu kutoka Tanesco akaenda wizara ya Nishati hadi kashfa ya Escrow inatokea Muhongo na Maswi wanaondolewa...Badra was there and still there.....

Kwa kweli tungekuwa Marekani Badra angepewa offa ya mamilioni ili aandike kitabu aeleze yoote aliyoyajua
kuanzia Habari Corporation hadi City water hadi TANESCO hadi Wizara ya Nishati......

ingawa tuko TZ naamini still Badra anaweza kujua jukumu lake la kizalendo la kuacha documentation
ya mengi ambayo Taifa linahitaji kuyajua.......aandike kitabu please......
Pasco ...
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she touches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

Kitabu atakuwa amekiandika siku nyingi labda ni kukiupdate tuu, the problem is sio kila kinachoandikwa ni lazima kiwe printed!, hata kuandika tuu moyoni na kukisave kwenye the safest savers (medula oblongata) inatosha!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco
 
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she torches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

saw mkuu....kumbe unamjuaa vizuri hako kabinti mixer kaa kiarabu na kisingidaaaa...hehehehe
 
Enzi za uhai wa Osama bin Laden yasemekana wapambe wake wa karibu walikuwa wakiandamwa na "ofa" za mamilioni ya dola za kimarekani wavujishe taarifa zake. LAKINI walikuwa na angalau busara ya kujua kuwa ukiishaipokea hiyo cheki ya "mamilioni" basi utafute pa kujizika; manake hata hiyo benki utaisikia katika ndoto tu kama sio kuzimu.

Aliyoshuhudia Badra bado mabichi sana; asubiri akikaribia "ubibi" ndipo aandike hicho kitabu. Ila sijui kama wakati huo ofa ya maana ya mshiko bado itakuwepo.
 
Nadhani Tanzania hatuna huo utamaduni. Ila kwa wenzetu Badra angeandika kitabu ana angekuwa milionea kwa mauzo.
 
Watu hawajata tu kufunguka, mi naona na shyrose bhanji aandike kitabu, why only badra.
 
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she torches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco
for the sake of curiosity Pasco,is she the wife of Masoud Kipanya?
 
Torches
= touches

Hii ndiyo mikanjanja inayojiita waandishi wa habari.

Rangi yake inahusu nini?

We have a long way to go.

I adore Badra but it has nothing to do with her color.
 
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she torches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco

Duh! Mwenyewe akisoma hapa si atakufungulia kesi ya "eeescrow" asee!
 
mzuri yule dada na bahati anayi

Bongo bahati ina nafasi ndogo sana, network ndio mpango mzima. Huko City water enzi hizo mzee mamvi waziri wa maji, Habari corp kwa Rostam biz partner wa mamvi, Richmond ilikuwa Rostam na mamvi.... October mamvi anaingia Ikulu na bahati inaendelea au network inaendelea. Connect dots hapo rafiki....

Pia Pasco wa JF anadaiwa ni Team mamvi..., ni dots kwa kwenda mbele
 
Umeeleza vizuri bossman. Lakini akiandika kuhusu yanayojiri na hapo tanesco, usisahau kesi ya kina mhando iko mahakamani na lazma yeye ni shahidi. Haya mambo ayaweke akiba, akifikisha umri wa miaka 55 astaafu kwa hiari na aandike bio yake. Kwa sasa asubiri, hata kina clinton na kina madiba waliandika baada ya kutoka ofisini.

Ila seriously Pasco, umenikwaza kuongelea muonekano wake na rangi yake wakati tunaongelea taaluma yake. Huu ni ubaguzi wa kijinsia. Inakera sana mwanamke ambae anapambana kufika alipo na kuanza kuwa related na rangi ama umbo lake.
 
Last edited by a moderator:
Dada huyu nilimsikia tangu tanesco leo yupo wizarani kesho tusishangae kawa waziri, yaweza kua huyu dada ni kichwa sana
 
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she torches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco

...at his best!

Hivi Pasco? Anyways nimekuelewa sana
 
Last edited by a moderator:
Bongo bahati ina nafasi ndogo sana, network ndio mpango mzima. Huko City water enzi hizo mzee mamvi waziri wa maji, Habari corp kwa Rostam biz partner wa mamvi, Richmond ilikuwa Rostam na mamvi.... October mamvi anaingia Ikulu na bahati inaendelea au network inaendelea. Connect dots hapo rafiki....

Pia Pasco wa JF anadaiwa ni Team mamvi..., ni dots kwa kwenda mbele

Ha ha ha !....
 
Back
Top Bottom