Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Nyerere angeogopa na kukaa kimya baada ya kuwekwa mahabusu sijui kama leo ungekuwa unaanzisha thread namna hii katika nchi inayoitwa Tanzania.
Kwani nyerere asingezaliwa Tanzania tusingepata Uhuru?
 
kama mandela angekubali kuwa mnyonge Africa kusini haingekuwa hii kama Nyerere asingevumilia manyanyaso ya wazungu tusinge kuwa hapa kama moses kulola asinge vumilia yale aliyofanyiwa jera TAG haingekuwepo hapo ilipo na kama mbegu isipopokubali kuoza uzao usingekuwepo ni lazima kuwe na watu watakao kubali yote kwa ajili ya wengine jikumbushe kama sio wanajeshi kujitolea kufa vitani mipaka yetu haitakuwa salama
 
Mimi nina imani na CHADEMA.
Nyani Ngabu tengeneza uzi mwingine wenye vitufe vya ku vote ili research yako iwe na Maana
Huu mtego waliowekewa Chadema wangeingia mkenge ndio ungekuwa mwisho wao.

Watanzania tunaongoza kwa unafki, Nyani Ngabu yupo Marekani anataka wenzake wauwawe yeye abaki tu kwenye keyboard.

Nina imani kikao cha msajili kitapata ufumbuzi na mikutano itaruhusiwa kwa vyama vyote.

Malengo ya Chadema kisiasa yamefikiwa hakuna haja ya kutowa sadaka maisha ya watu na kusababishia ulemavu.
 
Mimi bado ninaimani na CHADEMA,umesikia sababu za kuahirisha? au ndio umefurahi kupata nafasi ya kupiga propaganda !
 
Mbona nyie mlikuwa mnapiga kelele kwenye Instagram huko na siku moja kabla ya siku ya siku ujumbe umepenyeza.

Ona hawa wenzio....hivi kweli wamekaa hata mkao wa ku rumble hawa?


Naomba tusianze kurushiana maneno hivi
 
Swali ni bado wapo wenye imani na chadema?
Ruttashobolwa

Nyani Ngabu

Je! swali limepata mtu wa kujibu???
#1. Walikataa kutomtambua raisi JPM..... Baada ya muda kidogo wanalalamika raisi ni dikteta...... Raisi yupi dikteta wakati hamumtambui??
#2. Walisema hawana imani na Tulia..... Lakini kwasasa wanajiandaa kuhudhuria bunge.
#3. Walisema wabunge na wanachama wa CCM wasikaribiane na wanaCCM... Mbunge Anatropia alimkaribia mbunge wa Ulanga.... Sasa mfalme wao Lowasa ameenda kuomba poo kwa JPM
#4. Shein alipogomewa kupewa mkono na Seif....Ilikuwa ni vifijo na nderemo.. Juzi ya Lowasa imekuwa tena vifijo na nderemo.



Ni punguani pekee anaweza kuwekeza imani kwa hawa chadema.
 
Vijana hapa Mtaani wana hasira...... Walishaahidiwa viroba vya bure...... Hili tamko limewakwaza sana
 
Mabavu Mbele ya Polisi Yangeleta Maafa Pande Zote!Hivi Watu Wakifa Faida ya Nani?
Kama Magufuli Atapita na Tingatinga Lake Kwa Ulaisi Baada ya UKUTA Kuhairishwa,Mbona Alipaniki Kuhusu UKUTA Hata Baada ya Bavicha Kushindwa Kwenda Dodoma?
Wengi Wanao Mdhihaki Mbowe Lengo Lilikuwa ni Kutaka Waone Watu Wakipigwa na Damu Kumwagika!
KWANINI MBOWE ALIANZISHA MOVEMENT AMBAYO HAIWEZI??

Umeshasema unapambana na dikteta lazima ujiandae kweli kweli.. Alifikiri polisi na Jeshi wangemchekea.
Vikao vya siku nne ndio huo waliojadili.
 
Mabavu Mbele ya Polisi Yangeleta Maafa Pande Zote!Hivi Watu Wakifa Faida ya Nani?
Kama Magufuli Atapita na Tingatinga Lake Kwa Ulaisi Baada ya UKUTA Kuhairishwa,Mbona Alipaniki Kuhusu UKUTA Hata Baada ya Bavicha Kushindwa Kwenda Dodoma?
Wengi Wanao Mdhihaki Mbowe Lengo Lilikuwa ni Kutaka Waone Watu Wakipigwa na Damu Kumwagika!
Wanatazama matukio hawaangalii fact
 
Mkuu binafsi nadhan nchi ikiingia kwenye machafuko yeyote ni doa kubwa sana.. Kuja kuiweka Sawa na hapo kugombana wenyewe kwa wenyewe Ndio Ugaid unapoanzia na tutayumba kwa uchumi nadhan bado kuna nafasi ya kumaliza kwa mazungumzo kwaajili ya usalama wa watanzania...

Hao wachache wasiokuwa na mvuto ndo wa kuiingiza nchi kwenye machafuko? Yuh can't be serious buana!!
Maongezi mmeambiwa kuwa mwamba alishaongea, siasa kila mtu akafanyaje kwao, kampeni mpaka 2020. Kama huridhiki nenda barabarani, ila at ur own risk...
 
Nyie endeleeni kuzungusha mikono tu.
ha ha ha Nakunywa Whsky yangu hapa taratibu nacheka kwa dharauu. Nyani nilikwambia hakuna UKUTA nilikwambia Mbowe msanii huyu atabadiri tu GIA Angani.. karibu karibu Glass ya Whsky
 
Ccm ndio imeangukia pua mgongoni mwa hao unaowaita vijana wa ngosha, tena nadhani wewe hukusoma hata elimu ya uraia maana ungejua yakuwa kwamba ngosha hana vijana bali vijana hao ni mali ya wananchi wa Tanzania yeye akimaliza miaka yake mitano ya hapo alipo atarudi kuwa mwananchi kama wengine.

Chadema wamethibitisha udume wao kwa kuwahenyesha hao vijana maana wamewabadirishia ratiba za kazi zao za kila siku lakini kuwapunguza vitambi vya tangia awamu zilizopita.
Katika hili nahisi hata ngosha kafurahi hasa ukizingatia yeye ni bingwa wa pushups hivyo kuwa na vijana wenye vitambi haiswihi.
Hili ccm hawawezi kuamrisha hawa vijana kubadiri ratiba hata kidogo!

Na hao kina Mwalimu wanaonyea kwenye debe naona umewasahau kabisa...
 
wapo ... na wapo kwa sababu hawawez ishi bila kua mfuasi/ mwanchama wa chma ch siasa, ila kujiunga na ccm hwawez kw kuogpa aibu, pia vyma vingne havna mashiko sasa
 
Back
Top Bottom