Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Hawa CHADEMA ndo basi tena.

Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.

Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.

Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.

Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.

Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.

Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?

Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.

Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?

Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.

Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.

Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.

I don't think so Nyani Ngabu

Enemies of chadema have been attacking for years but their wall still stands.
May be imekuwa kosa kuahirisha maandamano na mikutano, may be not, but in any case, hii haiwezi ku-define mwisho wa chadema. Yalikuwepo matukio mengi na nyakati nyingi ambapo tuliambiwa chadema imefika mwisho, but it's still there.

Na hao walioahidi kuchangia damu hawakuwa nao hata kwenye UKAWA. Walikuwa na kila sababu ya kutoa kejeli kadiri walivyoona inawafaa.
 
Sijui kwa nini tu watu huwa hawajibu maswali.

Unamuuliza hiki yeye halafu yeye anakuja na ngonjera nyingine kabisa!

Ndo maana tuna mambo kama hayo ya UKUTA.
Toka cdm kumpokea EL hakuna mtu yeyote anaetafakari na kuwa na Uhuru wa fikra ataiunga mkono au kuwa na imani na cdm
 
Mleta andiko ana lack info za ndani.

Hakuna wakati Jpm kaonja joto la kisiasa maishani mwakebmwote toka awe mwanasiasa.

Upepo wa umaharufu umepotea kwa kasi ya ajabu toka jembe hadi.....teta.

Habari za serikali yake kukosa mvuto tena na media yote kutawaliwa na neno UKUTA na hofu na vituko vya jeshi la polisi.

Watu maarufu Nchi nzima kupigwa kigugumizi na kujikuta njia panda wasijue waseme nini na badala yake wachumia tumbo tu ndio wamethubutu kuja mbele za watu kubwabwaja vijineno.
 
I don't think so Nyani Ngabu

Enemies of chadema have been attacking for years but their wall still stands.
May be imekuwa kosa kuahirisha maandamano na mikutano, may be not, but in any case, hii haiwezi ku-define mwisho wa chadema. Yalikuwepo matukio mengi na nyakati nyingi ambapo tuliambiwa chadema imefika mwisho, but it's still there.

Na hao walioahidi kuchangia damu hawakuwa nao hata kwenye UKAWA. Walikuwa na kila sababu ya kutoa kejeli kadiri walivyoona inawafaa.

CHADEMA ni wanaume wa Dar😀.
 
Hakuna namna hapa ni kujipanga kupiga mazoezi na kufanya usafi mpaka 1st October
 
Hawa CHADEMA ndo basi tena.

Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.

Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.

Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.

Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.

Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.

Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?

Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.

Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?

Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.

Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.

Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.

Huwa nakukubali sana Nyani Ngabu
Ila kwa suala hili ujue CDM malengo yametimia kuliko walivyotarajia
 
Dah!

Sasa we mshikaji povu linakumwagika hadi unashindwa hata kuandika vizuri.

Safari ijayo msijenge ukuta wa matofali ya udongo.
Mkuu mbona hushangai waliokuwa wanapinga UKUTA leo wanasahangaa chadema kuhairisha zoezi hili? Binafc naona niuwamuzi wa busara kusitisha zoezi hili, fikiria kama wangekaidi agizo la jeshi, yakatokea maafa angelaumiwa nani? Mkuu nakuomba uendelee kuiamini Chadema.
 
Freedom of speech, freedom to assemble, free and fair elections are written in the African's constitution! :By Barack Obama while addressing African head of states.
 
Freedom of speech, freedom to assemble, free and fair elections are written in the African's constitution! :By Barack Obama while addressing African head of states.
Sometimes wakituangalia huwa wanatushangaa sana.
 
Sijui kwa nini tu watu huwa hawajibu maswali.

Unamuuliza hiki yeye halafu yeye anakuja na ngonjera nyingine kabisa!

Ndo maana tuna mambo kama hayo ya UKUTA.
Utamjibu nini anaeshangilia udikteta, uvunjwaji wa katiba unaofanwa na aliyeapa hadharani kuilinda. La msingi ni kumwonea huruma na kumpa pole, kwa hajui atendalo
 
Huo ni mchezo wa Draft,unachezwa na wakubwa wetu.Sie ni watazamaji wa mchezo kimoyomoyo tunasema "angecheza pale angekula" lkn mawazo yetu n tofauti na anaecheza kwani yeye ameiona KETE nyingine atakayokula bila kuliwa.
Binafs bado ninaimani na CHADEMA,naamini hawajakurupuka kwa maamuzi waliyofanya,bado wanazidi kuudhihirishia ulimwengu kwamba wao ni wapenda Amani na ndio maana wanatoa nafasi ya majadiliano.Japo ni tofauti na Serikali ambayo inajivunia Dola,na ilishajiandaa kuwashambulia waandamanaji .
 
Japo kuwa sijawahi kuwa mfuasi wao hawa jamaa kwa hili naomba niwatetee,

Nia ya Maandamano ilikuwa kuujulisha umma wa Watanzania kuwa haki Demokrasia na uhuru vinakandamizwa,
ukitazama karata zao walicheza vizuri sana sana,kwanza walitoa muda mrefu sana toka watangaze kuwa watafanya hayo maandamano yao,
Hapa ukitazama kwa nje utaona kama jamaa wamefail lakini ukweli hawajafail wameshinda sana tu,lengo lao lilikuwa kuwajulisha watanzania kuna tatizo nchini,
Serikali na Taasisi zake bila kujua au kwa kujua au kwa chuki wakaingia mkenge wa kuanza kuutangaza UKUTA kwa wiingi sana na nguvu kubwa mno kila sehemu na kila pembe ya nchi umejulikana na watu wamehoji maana ya UKUTA sasa hapo lengo na nia ya chadema imefanikiwa bila hata kuandamana,
Ingekuwa hata mimi Mbowe wala nisingeingia mtaani kwa sababu kama mashtaka waliokuwa wanataka kuyaleta kwa wananchi yamefika
Bashe aliwaambia Jamhuri inacheza ngoma ya Upinzani bila kutaka
Hawa fanatics wa ccm ni vipofu kiasi cha kutoyaona haya usemayo!
 
....me think kwamba chadema hawakuja na UKUTA ili kutafta imani/ama kuungwa mkono na wananchi...the basic issue was kufikisha ujumbe kwa watawala kuwa wanachofanya si sahihi kwa mustakabali wa demokrasia TZ...na ujumbe wao nadhani umefika ndani na nje ya nchi...

....Hili la kujitokeza na kuandamana pamoja na vitisho vyoote vya watawala nadhani ni secondary....na sidhani kama ingekuwa hekima kwa viongozi wa chadema kuwalazimisha wafuasi wao kuandamana mbele ya mitutu ya bunduki....ka hili la kusitisha maandamano nadhani ni busara zaidi ya kulazimisha maandamano....Btw...hata kama chadema wangeandamana sidhani kama watawala wangebadilisha msimamo wao dhidi ya demokrasia...jambo ambalo hata mleta mada amekua akilialia kila leo humu jf...kwamba watawala wanaendesha nchi kidikteta (kwa namna moja ama ingine)...ni busara kubadili upepo kuliko kulazimisha maandamano huku ukijua matokeo....
 
Back
Top Bottom