ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,570
- 119,646
Nilitoa shilingi yangu mwaka jana baada ya "landing gears" kurudishwa ndani na 'pipa' kutua kwa kutumia 'tumbo'.
Mbowe must step down, hana maono tena, aliniudhi sana last year, awaachie wengine wenye fikra mpya kuongoza chama. Matamko yasiyo na tija yanaipeleka chadema kuzimu.